Pole sana dada yangu kwa maswahibu yanayokukuta,najua unapitia wakati mgumu sana katika tatizo hilo ambalo limekuwa ni sugu kwa vijana walio wengi.
Labda tu nikuambie kuwa si wewe peke yako ,waumini wa hicho chama ni wengi mno.tena wengine hujisifia na kujiona kuwa wapo sahihi kwa hicho wakitendacho cha kudhurumu nafsi zao.
Katika vitendo vibaya na vichafu ni kuangalia picha za uchi na kupiga punyeto,unapokuwa unaangalia picha hizo usizani kuwa unakuwa peke yako,la hasha,kundi kubwa la malaika wachafu huwa linakutazama na kushuhudia uzaifu wako katika shughuri zako zote hizo za kujichua na kuangaria porn,nao hao malaika wachafu ,pepo huwa wanatazama na kusifu uovu huo wakishilikiana na wewe kuutukuza uovu maana wao ni watoto wa muovu na asili yao ni uovu tangu zamani.
Hao wanaocheza sinema hizo ni mawakala wa shetani na hata pepo wachafu hushiliki pia, wakiwa wamevaa sura na umbo la kibinadamu kutekeleza uovu huo na wa hali ya juu na hata kumtolea maneno ya kashifa na matusi Muumba wetu,unapoangalia unakutana na sura za pepo wachafu na wengine humuingia mtazamaji moja kwa moja,na hivyo humfanya kuwa adicted na pornograph
Utazamaji wa porn unamadhara makubwa kiroho,kwani mtazamaji humfanya kuondokewa na ulinzi wa Mungu na kumuacha yeye kama alivyo,hivyo neema na baraka zote hutoweka na kubaki wewe kama wewe.
Kwa maana tendo la kutazama picha hizo ni uasi mkubwa mbele za mwenyezi Mungu na hautakuacha salama,madhara makubwa ya porn ni pamoja na kukosa kibali mbele za Mungu,kubeba pepo wachafu pindi unapotazama hali itakayo pelekea wewe kukosa mchumba bora wa kuoa/kuolewa maana unakuta kuna pepo wachafu wameshakuoa tayari au umeshawaoa bila kujijua.
Pia utakuwa mtu wa kujiona unahatia mda wote pindi umalizapo tendo hilo chafu la porn/kutazama au kijichua.
Jinsi ya kuacha,
Mkabidhi mungu mwili wako na roho yako,mwambie wazi kuwa unahitaji msaada wake.weka nia ya kuacha mara moja na umushilikishe mungu wako,Weka nia na uahidi mbele za Mungu kuwa hautatazama tena picha chafu kwa macho aliyo kupa ,wengi hawana macho hawajui hata jua lipoje,hawajui hata mbuzi yupoje wala kuku maana wamezaliwa hawaoni,iweje wewe uliyejaaliwa macho unayatumia kwa kumuudhi aliyekuumba!,
Muogope Muumba wako kwani anaweza kufanya lolote kwako na hata kwa kizazi chako,unaweza kukupa laana na ukazaa watoto machangudoa kwani mapigo yake yanaweza yasiishie kwako pekee,
Weka nia kuwa hautashika shika sehemu zako kwa nia ya kujilizisha mwenyewe tena ,na hautatazama uovu huo tena kwa macho yako mwenyewe,imeandikwa ni heri kiungo chako kimoja kipotee kuliko mwili wako mzima,basi ukiona jicho lako la kuume linakukosesha ni heri uling'oe ulitupe kule maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee kuliko mwili wako mzima utupwe katika jehanamu ya moto.
Epuka tamaa ya macho na tamaa ya mwili,jikane mwenyewe,mwili ni mdanganyifu siku zote ,hupenda anasa na kujirishisha,
Ubarikiwe.
Sent using
Jamii Forums mobile app