Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Dawa pekee,tafuta mume...tatizo lako litakuwa limeisha.
 

miaka 3 wewe utakua na matatizo sio bureeeee<afu kwa nn nyie wanawake mnakua waongo sana
 
Soma vitabu vya dini kwa wingi, fanya mazoezi na epuka kukaa peke yako kwa muda mrefu!
Mbona mna shauri ujinga jibu ni kuwa aolewa basi kwisha, "SI VEMA MTU AKAE PEKE YAKE....utamalizia mwenyewe.

Mungu si mjinga kuumba jinsi mbili, ata hao wanaofanya porno wako wawili wa jinsi tofauti ukiacha hiyo mifrauni iloamua kupingana na kawaida/normal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itaziba bure! "Use and disuse"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya wanawake 10, saba kati yao wanaangalia porn. Na kati ya wanauke 10, wanne kati yao ni waangaliaji porn.

Sent using my Nokia Torch
 
Ushauri wa kiuchumi:Angalieni tu ili waliogiza hizo movie waendelee kupata kipato na ajira iongezeke.
 
Pole dada kwa hyo hali.
Lakin jaribu kujikeep bze hata unapokuwa mtandaoni kama ukimaliza kucheki/kufanya mambo ya msingi jitahdi uwe unazima data ili kuepusha kuperuzi hayo madude.
Pia kuwa msomaji mzuri wa vitabu vya dini nayo itakupunguzia hyo hali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sante kwa neno zito..! Karibuni wengi tuanzie hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo madude yana mapepo ndani yake ambapo kama hujajikabidhi kwa Mungu ipasavyo basi itakula kwako mazima.

Mimi nilikuwa bize sana kuhusu kibarua, mazoezi, ruti za kwenda chuoni kusoma kila siku na mishe mishe za mitaani lkn sikufanikiwa kabisa kuyaacha.

Rafiki yangu naye aliathirika kufikia hatua asipoyaangalia hayo madude basi hata hisia za kuduu na mkewe hawezi kuwa nazo kabisa.

Mungu pekee ndiye mbabe wao kwa kumuomba sana mara kwa mara, kufunga na kuomba kwa imani na Yesu hushinda yote.

Ebu fikiria tangu 2005-20013 ni zaidi ya miaka mingapi kama si 8?

Miss natafuta piga sana maombi 7bu hakuna kinachoshindikana kwa Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kugegedwa na miwanaume isiyo na shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukataa kuna miwatu ya hivyo ila mbona wanaume wa kukustiri na kukuheshimu wapo kibao ,maana kwa maumbile ya mwanamke asiye malaya anapenda awe na msiri wake mmoja wakupeana maunono ,give it a try kuliko kuadhibu waote kwa kuficha asali kwa kuificha dalini ,usitufanyie hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…