Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

It's your choice broo but remember there's no turning back once umeach kazi Kaka..
 
Hebu kaa ufanye kazi..kazi gani isiyowezekana? Unajitafutia majuto badae
 
Nimepanga mkuu
Bas achana nayo hio kaz kumbe unaweza kupambana..after all sio kaz nzur kudai mikopo sijaona kama inakujenga career yoyote labda ya ubandidu tu.wewe unasema mim kiaz ni sawa ila we acha .sis tushaacha had kuandika notis of 24hrs na hela tukakatwa wala sikuuliza ushaur
Sema hujajibu swali
Ilikaweje ulie kwa mzee in a way mpaka aka ku connect na kaz ilihali ulikua na mishe zako????
Kwanin ulishindwa kujenga hoja labda kwenu kwamba sasa una kaz yako/mishe yako hivyo hio kaz wanayotaka waone haina maana kwako.
Sisi wote tunajua inaweza mtu akatokea kwneye familia hata kama anafanya kibarua na anajitegemea kama hayuko kwenye ofis flan unaonekana ni useless tu.
 
Mtafute na umwambie kuwa umepata ugonjwa wa ajabu Waambie kuwa macho hayaoni ukifika kazini ila ukiwa nje ya ofisi yanaona hadi ndani ya sketi.
Hiyo lazima waamini umelogwa watakutema kistaarabu siku hata vyuma vikikaza Zaid unaweza kurudi ukawaambia sahiv macho hayaoni tena ndan ya sketi ila nikiwa nafanya kazi ndo yanaona zaidi
 
Kwahyo anatomy na pharmacology zilikuwa zinapanda mkuu [emoji847][emoji847]
Uzuri nilikuwa najisomea sana mixer google na you yube alafu mimi O level nilipata PHYSICS B BIOLOGY-B MATHS-A CHEMISTRY-B enzi zetu elimu ya kushindana
 
Ishu sio kazi au kupuyanga juani remote area, hiyo kazi unalipwaje ndo ishu ilipo
SI unajua Suply ya Labors ikiwa kubwa kuliko demand kinachofuata ni kushushwa mshahara halisi
 
Sasa kama umeshaamua kuacha kazi unataka ushauri wa nini?

Labda mwambie kuna wateja ukiwaambia hawana sifa za kupata mikopo wanazungumza kama wanakutishia

So, unaogopa
 
Maza fanta, blali fatu, laskazone muruta altu gatulilah bull shit......yaani unamsumbua mzee wa watu then unataka kusema uache kazi? Hutokuja pata kazi tena.
 
Siyo atakavyo response. Sema atakavyo respond.
 
Maneno mengi yamesemwa, ushauri mwingi ameshauriwa. Hayo yote kwangu si chochote wala si lolote.
Naungana na wewe na maneno yako ya kwenye aya ya pili. Haya kwangu ndiyo masikitiko yangu maana amesababisha wenye uhitaji wa kweli kutopata hiyo kazi.

Nafsi imsute sana.
 
Kuna kampuni moja niliajiriwa kama CSO ghafla nikakabidhiwa na kitengo cha kudai madeni ya wadaiwa sugu wengine toka mwaka 2004 huko. Hakuna kazi ngumu kama kudai deni , kwanza wadeni wanakera sana na hawalipi pili management haikuelewi kabisa. Nilikuwa nalia kila siku kutokana na kusemwa na kutukanwa ma boss baadae nikaachia ngazi tuu.

Bro fanya kile moyo wako unakutuma , wewe mpigie simu mzee mwambie ukweli jinsi unavyohisi najua atakuelewa tuu. Watu watakusema na kukutukana ila hawajui ugumu wa hii kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni roho ya kushindwa na kukata tamaa hata kwenye mishe zako utakata taama Tu,Mimi pia huwa nakata tamaa pale ninapokutana na magumu kazini but always wife ananiambia "hamna kazi isiyo na changamoto".I will push forward always mpaka nipate
 
Sahihi kabisa
 
Nipo katika hii situation kwa sasa, mtoa mada nilimuona hajielewi ila kumbe mpaka yakufike. Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…