Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

Ziko wapi?
Kama hizi mkuu
IMG_20240311_104326.jpg
 
Kuhusu uaminifu fungua ofice bongo pia..tuma mizigo uuze ofisini kwako tz..pia tafuta wanunuzi wa jumla wenye magarage au maduka ya spare
Amazon or Alibaba Hana warehouse. Hizo unamuingiza kwenye gharama zingine. Ukilipia kwa hao jamaa aanakiambia Ni lini utapata mzigo wako,Uber and taxify hawana gari hata Moja pia Warren buffet Hana kampuni ama biashara yoyote Bali anawekeza kwenye kampuni yako akiona Ina management and good value kwa mbeleni huko anaweka mpunga. Dunia imechenji ,binafsi sipendi niwe na tangible business ama yenye physical location. Huko USA and Europe watu Wana ofisi ziko mtandaoni tu ukitaka uende ofisini kwake na kila kitu unamalizia mtandaoni. Jamaa labda kwa ushauri sajili kampuni online Ila iwe Ni ya japani na aweke wadada na wakaka wa kijapani. Yaani kampuni iwe legimate sema Sasa baadaye yeye ndie aingie hapo Kama mswahili. Ni Kama huyo jamaa aliyesema kuwa aliweka mfilipino akawa anapiga hela. Watu huwa wanakuwaga na kaushamba fulani kwa watu wageni hata nje ndanindani huko ukienda black unawala watt wakizungu mpaka unachoka Mana wanashobo pia wamezoea kuwaona blacks kwa tv tu na kwa mikanda ya ngono so anakuwa anataka ajaribu ladha mpya. So huu Ni ushamba wa dunia nzima

Ni sawa ukiwa na demu wa kizungu mademu wa kibongo watakuwa anajileta kwako free uwagonge ,hii Ni saikolojia ya binadamu
 
Mkuu umetoa ushauri mzuri ila mwishoni umejikita sana kwenye kubanduana lol😀😀😀😀😀😀
 
Mbona na wewe umeona kubanduana tu mengine hujayaona kweli am ubongo wako umenasa kubanduana tu mkuu kweli. Poa bana nimeelewa brain is highly gravitated to kubanduana hakuna namna ngoja tubanduane Mana Hakuna namna
 
Kumechukua sehemu kubwa ya ushauri.
 
Kwani watu wananunuaje Magari na vitu vingine huko Amazon na Ebay, kwani wanatumiwa kwanza ndio wanalipa hii inawezekana vizuri sana, tatizo ni kupata watu serious na namatangazo pia mtu akisumbua anarudishiwa pesa yake.
Apa unaongelea site ambazo zimeshatengeneza jina, zina miaka mingi their reputation is world class known.. amazon owner is among the richest men on earth.. kwahivyo don't blame people for not trusting you.. build a reputation for people to trust on... it takes time but you can do it.. befoward saiz ana physical offices karibu kila mkoa apa tz.. clear people's doubts first, this is your greatest setback..
 
Basi sawa kama ndio hivyo kazi bado sijaacha.
 
huwa naona unajitangaza humu JF tu kwa acc yako nyingine..

Je kuna platform yyte nyingine unayojitangaza?

Unajitangaza kwa namna gani?

Ni bidhaa gani hizo ulileta bongo kwa container hazikuuzika na sasa hivi bado online napo hupati wateja?
 
Rudi mwanzo kwenye bandiko langu usome vizuri nilichokiandi.
 
Mkuu kwa ushauri wangu hii website ni nUri kwa blogging na hata ukiangalia ina blog post ndio zinatangaza biashara..

Nafikri mleta mada anapaswa kuwa na website ya
classified ads or woocommerce …. Marketplace

Sio hii yenye muundo wa blog
Nilfungua website nikajisajili nikaingia ndani kisha nikaagiza bidhaa ili kujifunza nakupata cha kumshauri ,baada ya kufanya hivyo nikaja hapa nikatoa ushauri,tatizo la wabongo tunapenda sana kutoa ushauri bila kufanya uchambuzi au kufanya uchambuzi bilakufanya utafiti

Hivi website ikiwa classified au woo commerce utanunua bidhaa za shilinga ngapi kama umeshindwa hata kujisajili au kushare hata kwa watu 10 au kwenye mitandao ya kijamii au kununua bidhaa ya elfu 10 ukajifunza nakujua inafanyaje kazi.

katika ulimwengu waki digital uwezi kusema kwamba website nilazima ifanane ya kampuni fulani bali unatakiwa kufanya utafiti ingiza kitu kipya kichwani mitazamo hii ndio maana kunatatizo la ajira kwasabu ya watu kutokubadilika kifikra na kupokea mambo mapya nakuamini njia tunazozijua badala kutengeneza njia mpya tunabaki nyuma na mambo yale yele matoke yake kuna wimbi kubwa la watu kukosa ajira kwasabu ya kukosa ubunifu na kupuuza mawazo ya watu wengine na kuwakatisha tamaa bila sababu za msingi,

Huyu bwana ni mbunifu na mpambanaji,anatakiwa kuungwa mkono na watanzania wote wenye akili timamu ,akifanyikiwa ni mafanyikioya Watanzania wote tujenge utamaduni kama wa wenzetu kupendana na kuacha kuongea sana na kushabikia mambo ya kijinga, kuna watu wanapata umaarufu bilasababu mtu anaongea pumba mitandaoni napata umarufu bilasabu na watu mashindwa kijihoji mtu anapata umaarufu kwasabu gani kasaidia nini jamii au watu wanajifunza nini kutoka kwake tunawabeza watu kama hawa,

Siokwamba na mtetea ukweli usemwe huyu bwana kawekeza ni nfano wakuiga kila mtu awe balozi,hii website yake ni dynamic na smart, kuna huduma nyingi zinatolewa zaidi ya kuuza na kununua nfano unaweza kuuza kituchochote kwenye website yake kama utakua Tanzania Japan au South Africa tayari kuna ajira za watu hapo jambo amablo uwezi kulifanya kwenye website za classified au woo commerce, kuna huduma za matangazo, unaweza kumpa akutengeneze Tangazo na kulibandika unamlipa tayari ni fursa hiyo,kuna vifurushi anauza kwajili ya kushiriki kwenye midanada ya online hizo zote fursa za online business lakini hapa watu wanawaza kutapeliana mitandao kila sehemu ni utapeli tnawabaze watu kama hawa tunategemea nini huko mbeleni,wekeza mtandao lipia gharama achana na plaform za watu tuwe na vitu vyetu wenywe uwe na uchungu na kitu chako ukilipia kama huyu bwana alivyo fanya,

Ushauri wangu kwa leo tengeneza app watu wa download kwenye simu zao nimegundua kuna tatizo la kupush notifications email inachelewesha kunjulisha mtu, baada ya hapo utakuwa kwenye nafasi mzuri sana ya kuachana na ajira nakuendesha biashara yako songa mbele Mungu atabariki kazi ya mikono yako.
 
Uko sahihi… anaweza akaiacha hivyo hivyo na akaendelea kipata fedha.. inategemeana tu anai market vipi!
 
Back
Top Bottom