Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

Uko sahihi… anaweza akaiacha hivyo hivyo na akaendelea kipata fedha.. inategemeana tu anai market vipi!
Watu ni mimi na wewe,tumuunge mkono atimize ndoto zake,agiza ata kitu kimoja kidogo kama simu pcs adapts ni vitu original sio kama fake tunauziwa mtaa,tukifanya hivyo tutakuwa tumempiga jeki,akifanykiwa akatuletea dharau tutakuja hapa na kuibua hizi coment zetu nakumkubusha maana baadhi ya wabongo tunakasumba tukifanyikiwa tunasahau tulikotoka,nitakuwa wakwanza kumkumbusha.
 
Watu ni mimi na wewe,tumuunge mkono atimize ndoto zake,agiza ata kitu kimoja kidogo kama simu pcs adapts ni vitu original sio kama fake tunauziwa mtaa,tukifanya hivyo tutakuwa tumempiga jeki,akifanykiwa akatuletea dharau tutakuja hapa na kuibua hizi coment zetu nakumkubusha maana baadhi ya wabongo tunakasumba tukifanyikiwa tunasahau tulikotoka,nitakuwa wakwanza kumkumbusha.
Mna account ngapi mkuu mnazo promote humu?
 
Nilfungua website nikajisajili nikaingia ndani kisha nikaagiza bidhaa ili kujifunza nakupata cha kumshauri ,baada ya kufanya hivyo nikaja hapa nikatoa ushauri,tatizo la wabongo tunapenda sana kutoa ushauri bila kufanya uchambuzi au kufanya uchambuzi bilakufanya utafiti

Hivi website ikiwa classified au woo commerce utanunua bidhaa za shilinga ngapi kama umeshindwa hata kujisajili au kushare hata kwa watu 10 au kwenye mitandao ya kijamii au kununua bidhaa ya elfu 10 ukajifunza nakujua inafanyaje kazi.

katika ulimwengu waki digital uwezi kusema kwamba website nilazima ifanane ya kampuni fulani bali unatakiwa kufanya utafiti ingiza kitu kipya kichwani mitazamo hii ndio maana kunatatizo la ajira kwasabu ya watu kutokubadilika kifikra na kupokea mambo mapya nakuamini njia tunazozijua badala kutengeneza njia mpya tunabaki nyuma na mambo yale yele matoke yake kuna wimbi kubwa la watu kukosa ajira kwasabu ya kukosa ubunifu na kupuuza mawazo ya watu wengine na kuwakatisha tamaa bila sababu za msingi,

Huyu bwana ni mbunifu na mpambanaji,anatakiwa kuungwa mkono na watanzania wote wenye akili timamu ,akifanyikiwa ni mafanyikioya Watanzania wote tujenge utamaduni kama wa wenzetu kupendana na kuacha kuongea sana na kushabikia mambo ya kijinga, kuna watu wanapata umaarufu bilasababu mtu anaongea pumba mitandaoni napata umarufu bilasabu na watu mashindwa kijihoji mtu anapata umaarufu kwasabu gani kasaidia nini jamii au watu wanajifunza nini kutoka kwake tunawabeza watu kama hawa,

Siokwamba na mtetea ukweli usemwe huyu bwana kawekeza ni nfano wakuiga kila mtu awe balozi,hii website yake ni dynamic na smart, kuna huduma nyingi zinatolewa zaidi ya kuuza na kununua nfano unaweza kuuza kituchochote kwenye website yake kama utakua Tanzania Japan au South Africa tayari kuna ajira za watu hapo jambo amablo uwezi kulifanya kwenye website za classified au woo commerce, kuna huduma za matangazo, unaweza kumpa akutengeneze Tangazo na kulibandika unamlipa tayari ni fursa hiyo,kuna vifurushi anauza kwajili ya kushiriki kwenye midanada ya online hizo zote fursa za online business lakini hapa watu wanawaza kutapeliana mitandao kila sehemu ni utapeli tnawabaze watu kama hawa tunategemea nini huko mbeleni,wekeza mtandao lipia gharama achana na plaform za watu tuwe na vitu vyetu wenywe uwe na uchungu na kitu chako ukilipia kama huyu bwana alivyo fanya,

Ushauri wangu kwa leo tengeneza app watu wa download kwenye simu zao nimegundua kuna tatizo la kupush notifications email inachelewesha kunjulisha mtu, baada ya hapo utakuwa kwenye nafasi mzuri sana ya kuachana na ajira nakuendesha biashara yako songa mbele Mungu atabariki kazi ya mikono yako.
Asante ubarikiwe kwa ushauri nakunipambania app nimuhimu sana nitatengeza.
 
huwa naona unajitangaza humu JF tu kwa acc yako nyingine..

Je kuna platform yyte nyingine unayojitangaza?

Unajitangaza kwa namna gani?

Ni bidhaa gani hizo ulileta bongo kwa container hazikuuzika na sasa hivi bado online napo hupati wateja?
Nyingi sana najitangaza
 
1713928834554.png
 
Spare orginal ambazo zimetengezwa Japan kwa soko la Tanzania itakuangusha,kuna mtu aliniagiza Piston rings za Engine ya 2NZ zinafungwa kwenye Engine IST bei yake laki 7 wakat hapo dar madukani zipo za bei rahisa hadi elfu 80 hizo genuine utamuzia nani?
Kwani analeta mpya sini mtumba au sijamuelewa?
 
MAgari kila siku yanaharibika yanahitaji spare yeye anatwambiaje spare zinakaa sana?
Tatizo uweza wa watu kununua spare mpya genuine ,bongo 80% watu wananunua Magari used,gharama ya Engine mpya nisawa na bei ya Gari used
 
Tatizo uweza wa watu kununua spare mpya genuine ,bongo 80% watu wananunua Magari used,gharama ya Engine mpya nisawa na bei ya Gari used
Hakuna spare used huko?? Nilishawahi kufanya biashara ya kuvunja magari yaani nanunua savaged cars ninaanza kuuza spare kiufupi uuzaji wa spare used ni biashara inayotembea sana hasa dar kwan hakuna spare used huko mzee naamini gharama zitakuwa rafiki huku hela ipo
 
Hakuna spare used huko?? Nilishawahi kufanya biashara ya kuvunja magari yaani nanunua savaged cars ninaanza kuuza spare kiufupi uuzaji wa spare used ni biashara inayotembea sana hasa dar kwan hakuna spare used huko mzee naamini gharama zitakuwa rafiki huku hela ipo
Gari zipo nyingi kupitia kwenye mfumo mpya tunaweza kufanya kazi vizuri, www.dgxam.site
 
Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana
1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora.
3.Mtu mwingine anataka akilipia Engine yake moja hataki kujua habari za usafiri wa kushare anata ipakiwe hiyi Engine moja container liondoke.
4.Mteja analipia mashine moja ya kuchonga vyuma baada ya miezi miwili ndio unapata mtu mwingine anataka Engine ya boat a Gari nikashindwa.

nikashindwa kwasabu ya hizo changamoto sikutaka kuingia kwenye migogoro na wateja,ikabidi niachane na hii biashara niombe kazi ya kuajiriwa nikafanya,kwasasa nimechoka kufanya kazi za kuajiriwa je nikianza tena hii biashara nitumiembinu gani ili nisipitie kwenye hizo changamoto?


Hapa Kuna bidhaa nyingi sana za mtumba zenye ubora tatizo nikupata wateja wakutosha kununua bidhaa mbalimbali za kujaa kwenye container angalau 20ft
www.digxam.site fungua hii site Kisha jisajili baada ya kujisajili nipe maoni yako niambie tatizo lake nini.
Safi!
 
pakia mizigo kwenye kontena tunakuja kuuzia hukuhuku. mbinu nyingine chukua hii. ukija bongo tafuta mbia mmoja mgeni "mweupe" wapo wafilipino wapo wazungu njaa. watz wanakuamini sana wakiona mgeni wa nje ktk jambo lako.
mm zamani nilikua na mfilipino jamaa alfanya nifanye biashara kiwepesi sana.
wateja walimuamini sana akiongea imo.
maana watz wana prefer quantity over quality..
Umenifanya nifikirie kuhusu M-bolovia anayeuza car paints Mikocheni usikute ni mbia na jamaa wa Ilala!
 
Back
Top Bottom