Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

Uko sahihi… anaweza akaiacha hivyo hivyo na akaendelea kipata fedha.. inategemeana tu anai market vipi!
Watu ni mimi na wewe,tumuunge mkono atimize ndoto zake,agiza ata kitu kimoja kidogo kama simu pcs adapts ni vitu original sio kama fake tunauziwa mtaa,tukifanya hivyo tutakuwa tumempiga jeki,akifanykiwa akatuletea dharau tutakuja hapa na kuibua hizi coment zetu nakumkubusha maana baadhi ya wabongo tunakasumba tukifanyikiwa tunasahau tulikotoka,nitakuwa wakwanza kumkumbusha.
 
Mna account ngapi mkuu mnazo promote humu?
 
Asante ubarikiwe kwa ushauri nakunipambania app nimuhimu sana nitatengeza.
 
huwa naona unajitangaza humu JF tu kwa acc yako nyingine..

Je kuna platform yyte nyingine unayojitangaza?

Unajitangaza kwa namna gani?

Ni bidhaa gani hizo ulileta bongo kwa container hazikuuzika na sasa hivi bado online napo hupati wateja?
Nyingi sana najitangaza
 
Kwani analeta mpya sini mtumba au sijamuelewa?
 
MAgari kila siku yanaharibika yanahitaji spare yeye anatwambiaje spare zinakaa sana?
Tatizo uweza wa watu kununua spare mpya genuine ,bongo 80% watu wananunua Magari used,gharama ya Engine mpya nisawa na bei ya Gari used
 
Tatizo uweza wa watu kununua spare mpya genuine ,bongo 80% watu wananunua Magari used,gharama ya Engine mpya nisawa na bei ya Gari used
Hakuna spare used huko?? Nilishawahi kufanya biashara ya kuvunja magari yaani nanunua savaged cars ninaanza kuuza spare kiufupi uuzaji wa spare used ni biashara inayotembea sana hasa dar kwan hakuna spare used huko mzee naamini gharama zitakuwa rafiki huku hela ipo
 
Gari zipo nyingi kupitia kwenye mfumo mpya tunaweza kufanya kazi vizuri, www.dgxam.site
 
Ukishajisajili niambie niku elfu 10 yako.
 
Safi!
 
Umenifanya nifikirie kuhusu M-bolovia anayeuza car paints Mikocheni usikute ni mbia na jamaa wa Ilala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…