TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Ahsante Mkuu. Nadhani hii ya chumba - master, sebule na jiko ni nzuri zaidi.Mkuu, ukitaka uenjoy, jenga nyumba ya kupangisha bachelors wenye pesa,
Jenga chumba jiko choo,
Chumba sebule jiko choo,
Hizo hapo juu zina pesa, pia soko lake ni zuri na wateja wake wana kipato hivyo hawasumbui sana kulipa,
Kama upo dar,
Chumba jiko choo, utaweza kudai 80-100 inategemeana na eneo
Chumba choo sebule jiko utadai 100-150 kulingana na eneo
Hili swali lako gumu kwa sasa. Ngoja tuongee kienyejienyeji kwanza.unataka apartment ngapi kwa kila jengo? bajeti yako kiasi gani? unategemea kuingiza return ya kiasi gani?
Ina tegemea na kiwanja,Ahsante Mkuu. Nadhani hii ya chumba - master, sebule na jiko ni nzuri zaidi.
Hii ujenzi wake unakuwaje, suppose nataka kuwa na nyumba za hivi sita (chumba - master, sebule na jiko), je, ni vizuri ziwe separate au kuna namna zinaunganika ?
vyumba vikishea ukuta unaokoa gharama,ila ushauri wangu mkuu,tuambie kwanza bajeti yako uliyopanga ni kiasi gani,na tuambie unategemea kupata kodi kiasi gani,ili tuone return itakuwaje.Ahsante Mkuu. Nadhani hii ya chumba - master, sebule na jiko ni nzuri zaidi.
Hii ujenzi wake unakuwaje, suppose nataka kuwa na nyumba za hivi sita (chumba - master, sebule na jiko), je, ni vizuri ziwe separate au kuna namna zinaunganika ?
Mimi nategemea kuwa na seti ya chumba - master, sebule, jiko, six times na return ya 150k kwa kila combination ya chumba, sebule, jiko. How much nataka kuinvest ndio bado sijapiga hesabu.vyumba vikishea ukuta unaokoa gharama,ila ushauri wangu mkuu,tuambie kwanza bajeti yako uliyopanga ni kiasi gani,na tuambie unategemea kupata kodi kiasi gani,ili tuone return itakuwaje.
hapo unaongelea return ya 900k kwa mwezi...kuhusu ni kiasi gani inabidi uwekeweze ngoja injinia waje,je hela yako inafika milion 100?Mimi nategemea kuwa na seti ya chumba - master, sebule, jiko, six times na return ya 150k kwa kila combination ya chumba, sebule, jiko. How much nataka kuinvest ndio bado sijapiga hesabu.
Hebu nipe uzoefu Mkuu, how much hii inaweza kunicost?
Around mil 60.hapo unaongelea return ya 900k kwa mwezi...kuhusu ni kiasi gani inabidi uwekeweze ngoja injinia waje,je hela yako inafika milion 100?
Badilisha mawazo jenga lodge ya vyumba hata 5, vya elfu 15k each ela yako itarudi mapema bila usumbufu, kudai kodi na kwenyewe ni mtaala uwekwe vyuoni.Around mil 60.
Daaa kaka,milion 60 ndio ikupe return ya laki 9 kwa mwezi? hizo apartment sita unazotaka kujenga kwa hiyo hela zina ubora gani? Una uzoefu na ujenzi wowote? Anyway ngoja tupeane uzoefu,nilikuwa na pesa nilitaka kuiwekeza kama wewe,hiyo option ya kujenga nyumba ya wapangaji niliiwaza,lakini kiukweli nikaja kuona hailipi...unaweka hela nyingi kwenye ujenzi lakini return ni ndogo sana. Ngoja mainjinia waje lakini hiyo hela ukijenga nyumba standard unaweza kupata apartment mbili au tatu tu. Kwahiyo tegemea kuingiza 300k mpaka 450k kwa mwezi. Ujenzi ni gharama sana sa hivi.Around mil 60.
Kwa hesabu za haraka fanya hivi at the minimum na kuassume apartment zimeungana; (m=meter, sqm=square meters)Mimi nategemea kuwa na seti ya chumba - master, sebule, jiko, six times na return ya 150k kwa kila combination ya chumba, sebule, jiko. How much nataka kuinvest ndio bado sijapiga hesabu.
Hebu nipe uzoefu Mkuu, how much hii inaweza kunicost?
Hii Biashara hua naona ni Kwa matajiri ambao tayari wanapesa na kwamba hapa ni mahala pa kuhifadhi pesa na sio "kutafutia" pesa.... Yaani uwekeze 108m upate return ya 900k ambapo ni around 10.8m kwa mwezi... Kwamba inahitajika zaidi ya miaka kumi kurejesha tu fedha yako.... Noway!!Kwa hesabu za haraka fanya hivi at the minimum na kuassume apartment zimeungana; (m=meter, sqm=square meters)
1. Master bedroom 3.5x4m=14sqm (upate room 3x3m na washroom 1x2m na kabati 0.5x2m)
2. Sitting room 3.5x4m=14sqm
3. Jiko 2.5x2m=5sqm
4. Entry porch/balcony/baraza/upenuni 1.5x2m=3sqm
5. Walls thickness (0.23m) not considered; most of other things are kept constant (plot size, landscape, location, availability of materials etc)
So roughly hapo jumla kwa apartment moja=36sqm
36x6=216sqm
Approx ujenzi per sqm ni 500k
216x500,000=108,000,000
Kwa ukubwa wa eneo nadhani haitakuwa issue, ni kama sqm 1500.Kwa hesabu za haraka fanya hivi at the minimum na kuassume apartment zimeungana; (m=meter, sqm=square meters)
1. Master bedroom 3.5x4m=14sqm (upate room 3x3m na washroom 1x2m na kabati 0.5x2m)
2. Sitting room 3.5x4m=14sqm
3. Jiko 2.5x2m=5sqm
4. Entry porch/balcony/baraza/upenuni 1.5x2m=3sqm
5. Walls thickness (0.23m) not considered; most of other things are kept constant (plot size, landscape, location, availability of materials etc)
So roughly hapo jumla kwa apartment moja=36sqm
36x6=216sqm
Approx ujenzi per sqm ni 500k
216x500,000=108,000,000
Kusema ukweli ni msala. Miaka 10+, bado gharama za matengenezo. Kuna muda nawaza ukumbi wa sherehe. Sijui hilo nalo likoje!Hii Biashara hua naona ni Kwa matajiri ambao tayari wanapesa na kwamba hapa ni mahala pa kuhifadhi pesa na sio "kutafutia" pesa.... Yaani uwekeze 108m upate return ya 900k ambapo ni around 10.8m kwa mwezi... Kwamba inahitajika zaidi ya miaka kumi kurejesha tu fedha yako.... Noway!!
108m Ina alternative nyingi Sana ya quick return!
Mtu yeyote atakayekupa ushauri bila kujua location ya hiyo project, usimtilie maanani sana.Mimi nategemea kuwa na seti ya chumba - master, sebule, jiko, six times na return ya 150k kwa kila combination ya chumba, sebule, jiko. How much nataka kuinvest ndio bado sijapiga hesabu.
Hebu nipe uzoefu Mkuu, how much hii inaweza kunicost?
Kigamboni, maeneo ya Mwembe Mdogo.Mtu yeyote atakayekupa ushauri bila kujua location ya hiyo project, usimtilie maanani sana.
Bado hayo maelezo hayatoshi kupewa ushauri nzuri. Kuna apartments nyingi mitandaoni zinauzwa.Kigamboni, maeneo ya Mwembe Mdogo.