heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Jenga kama madarasa tu chumba kikubwa dai 40k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Biashara hua naona ni Kwa matajiri ambao tayari wanapesa na kwamba hapa ni mahala pa kuhifadhi pesa na sio "kutafutia" pesa.... Yaani uwekeze 108m upate return ya 900k ambapo ni around 10.8m kwa mwezi... Kwamba inahitajika zaidi ya miaka kumi kurejesha tu fedha yako.... Noway!!
108m Ina alternative nyingi Sana ya quick return!
Mkuu mbona unacomplicate sana mambo?Bado hayo maelezo hayatoshi kupewa ushauri nzuri. Kuna apartments nyingi mitandaoni zinauzwa.
Tatizo ni location.
Aina ya watu wanaokaa mwembe Mdogo.
Idadi Yao.
Umbali kutoka barabara kuu, umeme na maji upatikanaji wake pamoja na huduma za jamii.
Wastani wa kipato na source ya kipato Chao.
Hahahha watu hawataki hizo,Jenga kama madarasa tu chumba kikubwa dai 40k
Milioni 100 uingize laki tisa kwa mwezi?hapo unaongelea return ya 900k kwa mwezi...kuhusu ni kiasi gani inabidi uwekeweze ngoja injinia waje,je hela yako inafika milion 100?
SahihiMkuu mbona unacomplicate sana mambo?
Kujenga ni suala moja, kuanza kukusanya faida ni suala jingine.
Sijawahi fika eneo linalozungumziwa, kwa uzoefu wangu, wateja ni kama maji ya bahari, kuna muda wanaongezeka na kuna muda wanapungua, kikubwa kitega uchumi mtu anakuwa nacho, kajenga kawekeza.
Apate kidogo ama kingi ni uwekezaji wa kudumu huo.
nmependa ushauri wako wa namna ya ujenzi.Ina tegemea na kiwanja,
Ila vya kuzingatia,
Inabid ziungane, ila make sure wapangaji hawaonani, yan zisikae kama frame 😂😂😂
Ukiweza kuweka maget mawili au matatu inakuwa fresh, ili wapangaji wasionane 😂😂 wapangaji wana maneno 😂😂 so unaweza weka vyumba viwili viangalie mbele, viwili kulia viwili kushoto,
Epuka kuweka shared mita kwa watumiaji wengi, ukiweza weka wawili wawili, itakupa advantage kwenye kupata wateja wenye hela,
Point sana hii, kama mtaji mdg target inatakiwa iwe watu wa chini ila eneo liwe na mchanganyiko sanaJenga kama madarasa tu chumba kikubwa dai 40k
Complicate??Mkuu mbona unacomplicate sana mambo?
Kujenga ni suala moja, kuanza kukusanya faida ni suala jingine.
Sijawahi fika eneo linalozungumziwa, kwa uzoefu wangu, wateja ni kama maji ya bahari, kuna muda wanaongezeka na kuna muda wanapungua, kikubwa kitega uchumi mtu anakuwa nacho, kajenga kawekeza.
Apate kidogo ama kingi ni uwekezaji wa kudumu huo.
uzi ungeishia hapa cha msingi ajenge kitu standard asibanie pesa maana nyumba ni kitu inakaa maishaMkuu, ukitaka uenjoy, jenga nyumba ya kupangisha bachelors wenye pesa,
Jenga chumba jiko choo,
Chumba sebule jiko choo,
Hizo hapo juu zina pesa, pia soko lake ni zuri na wateja wake wana kipato hivyo hawasumbui sana kulipa,
Kama upo Dar,
Chumba jiko choo, utaweza kudai 80-100 inategemeana na eneo
Chumba choo sebule jiko utadai 100-150 kulingana na eneo
Yes mzee mbona watu wanapanga vizuri tena wanabook hata kabla nyumba haijaisha, point viwe vikubwa tu ata hamsin unachukuwa aya vyumba kumi yani yan tano huku tano huku kati veranda unakuja 500k monthlyPoint sana hii, kama mtaji mdg target inatakiwa iwe watu wa chini ila eneo liwe na mchanganyiko sana
Yes boss,Yes mzee mbona watu wanapanga vizuri tena wanabook hata kabla nyumba haijaisha, point viwe vikubwa tu ata hamsin unachukuwa aya vyumba kumi yani yan tano huku tano huku kati veranda unakuja 500k monthly
Nondo za kunyoosha, unamaanisha 'used'?Yes boss,
Pia hata ujenzi wake ni nafuu (return chap chap) maana kodi nayo ndogo
Mimi niliwaza nijenge tofari kwa kuchorea namalizia ndani nje naacha bati napiga nyeupe
Tiles reject, sink nanunua zile za mtaani aka pre loved,
Nondo nachukua zile za kunyoosha, dirisha wavu kawaida, milango kama ile ya mageti nmeona wanaweka moshi wanachanganya na kioo
Yes boss nilikua nafatilia video moja nkaona mtu kajenga vizuri kupitia hivi vitu used....Nondo za kunyoosha, unamaanisha 'used'?
Wapi huko wawezapata hadi nondo na masinkiya mtumba?
Nondo ama sinki ukishavipachika mjengoni nani atakayeelewa ulipiata kamseleleko?
Kama kuna mi wallput ama gipsum ya mtumba pia nishitue kiongozi.
3*3 nini Mkuu?Bora ukajenga za kupanga kivyake na ya kuja kuishi wewe kivyake. Usiwaze kuja kuishi kwenye iyo nyumba uliyopangishia mtu.
Pia kama mdau alivyoshauri hapo juu kabisa, jenga chumba sebule choo pia uwe na parking ya magari. Usiwe na mawazo ya wapangaji hawana magari 😂.
Ila hizi za chumba kimoja cha 3*3 aisee zinasumbua na hazilipi.
Kweli kabisa. Biashara ya kupangangish nyumba unafanya investment kubwa ila Return yake ndogo. Let's hapo hata kiwanja bado.Daaa kaka,milion 60 ndio ikupe return ya laki 9 kwa mwezi? hizo apartment sita unazotaka kujenga kwa hiyo hela zina ubora gani? Una uzoefu na ujenzi wowote? Anyway ngoja tupeane uzoefu,nilikuwa na pesa nilitaka kuiwekeza kama wewe,hiyo option ya kujenga nyumba ya wapangaji niliiwaza,lakini kiukweli nikaja kuona hailipi...unaweka hela nyingi kwenye ujenzi lakini return ni ndogo sana. Ngoja mainjinia waje lakini hiyo hela ukijenga nyumba standard unaweza kupata apartment mbili au tatu tu. Kwahiyo tegemea kuingiza 300k mpaka 450k kwa mwezi. Ujenzi ni gharama sana sa hivi.
Bila kusahau na kastoo ka kiainaMkuu, ukitaka uenjoy, jenga nyumba ya kupangisha bachelors wenye pesa,
Jenga chumba jiko choo,
Chumba sebule jiko choo,
Hizo hapo juu zina pesa, pia soko lake ni zuri na wateja wake wana kipato hivyo hawasumbui sana kulipa,
Kama upo Dar,
Chumba jiko choo, utaweza kudai 80-100 inategemeana na eneo
Chumba choo sebule jiko utadai 100-150 kulingana na eneo