Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Chukua Ti maana ist ni ndogo sana na zinamuonekano wa vijana, haipendezi mwanaume na hasa mwenye family kuwa na kigari kama ist .
 
Chukua Ti maana ist ni ndogo sana na zinamuonekano wa vijana, haipendezi mwanaume na hasa mwenye family kuwa na kigari kama ist .
Sawa mkuu wangu nakushukuru mno
 
Hiyo chombo ni nyoko, Haikuwahi kunipa stress! though ina share vingi na Carina!
Ile gari ni nzuri kwakweli, hivi bado zinapatikana showrm ? Maana hizi new model naona kama hazikufanya vizuri sana sokoni.
 
Siyo mimi nimependa mkuu wengi hapa wanasema Carina T.i na hapa nilifata ushauri kati ya T.I na IST yote nayapenda.
Sijaona aliyeponda T.I,
Mimi ni mfanya biashara mdogomdogo mkuu
OK kijiji kwenu wapi? Kuna lami? Kwa mkeo je? Wapi ni mbali kwa mkeo au kwenu? Una familia kubwa kiasi gani? Je unapenda kwenda sehemu za starehe?
 
OK kijiji kwenu wapi? Kuna lami? Kwa mkeo je? Wapi ni mbali kwa mkeo au kwenu? Una familia kubwa kiasi gani? Je unapenda kwenda sehemu za starehe?
Ni moshi mkuu ila hakuna lami ila pia magari yote yanafika madogo kwa kwenda polepole. Familia ndogo sana ndo naanza familia
 
Ile gari ni nzuri kwakweli, hivi bado zinapatikana showrm ? Maana hizi new model naona kama hazikufanya vizuri sana sokoni.
Zipo japo kwa nadra! Ni mashine nzuri sana kwa wanaojua magari!
 
Wakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako
Nunua ungo yaani safari ndefu ndio kibokoooo
 
Carina TI roho ya Paka ... Acha kufananisha Carina TI na Vitu vya Kijinga...

Go For Carina ... Mimi nikimuona mwanaume mzima amejipinda ndani ya KiVitz, Ist na vibaby walker vingine Huwa natamani niwe " I WISH I COULD BE TRAFFIC "
Hili jambo hata mimi linanishangaza sana.
 
Mtoa mada achana na vigari vya kipuuzi puuzi, chukua Cresta gx 100 vvti utastarehe.
 
Mkuu umeongea kweli, yani ukipaki sehem watu hawajui kama ni tex au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…