Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chukua Ti boot kubwa hata balance ipo ukipakia kamzigo kidogoHapa ndipo palipo nichanganya
I dont know nichukue ipi
Ile gari ni nzuri kwakweli, hivi bado zinapatikana showrm ? Maana hizi new model naona kama hazikufanya vizuri sana sokoni.Hiyo chombo ni nyoko, Haikuwahi kunipa stress! though ina share vingi na Carina!
OK kijiji kwenu wapi? Kuna lami? Kwa mkeo je? Wapi ni mbali kwa mkeo au kwenu? Una familia kubwa kiasi gani? Je unapenda kwenda sehemu za starehe?Siyo mimi nimependa mkuu wengi hapa wanasema Carina T.i na hapa nilifata ushauri kati ya T.I na IST yote nayapenda.
Sijaona aliyeponda T.I,
Mimi ni mfanya biashara mdogomdogo mkuu
Ni moshi mkuu ila hakuna lami ila pia magari yote yanafika madogo kwa kwenda polepole. Familia ndogo sana ndo naanza familiaOK kijiji kwenu wapi? Kuna lami? Kwa mkeo je? Wapi ni mbali kwa mkeo au kwenu? Una familia kubwa kiasi gani? Je unapenda kwenda sehemu za starehe?
Zipo japo kwa nadra! Ni mashine nzuri sana kwa wanaojua magari!Ile gari ni nzuri kwakweli, hivi bado zinapatikana showrm ? Maana hizi new model naona kama hazikufanya vizuri sana sokoni.
Nunua ungo yaani safari ndefu ndio kibokooooWakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako
Basi kamata Cresta Gx 100 vvti ule mwendo wa maana.D4 is not good engine mkuu kwa mtazamo wangu.
Consider vvti engine
Hili jambo hata mimi linanishangaza sana.Carina TI roho ya Paka ... Acha kufananisha Carina TI na Vitu vya Kijinga...
Go For Carina ... Mimi nikimuona mwanaume mzima amejipinda ndani ya KiVitz, Ist na vibaby walker vingine Huwa natamani niwe " I WISH I COULD BE TRAFFIC "
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mungu wangu itabidi ambulance ifuate nyuma
Mkuu umeongea kweli, yani ukipaki sehem watu hawajui kama ni tex au vipi?Ivi unamaanisha gari hiii![]()
Wasikudanganye hawa
Hii gari wakati wake ushapita. Bora ata IST
Duh!!!! Kweli kuna wa2 wanataste za ajabuajabu
Mkuu hii gari fation ishapitwa
Kama sio hii poa ila kama ni hii utajutia maisha
Bora ununue
Allion
Au premio
Au subaru
Au zile cololla mpya za mil9
Au subaru
Bora mafuta yawe juu kidogo ila iwe haikusumbui na shoo iwe nzr kuliko kuwa na mkweche
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu
Hahahaa.... utakuja kujuta ukifuata huu ushauri...Mtoa mada achana na vigari vya kipuuzi puuzi, chukua Cresta gx 100 vvti utastarehe.