Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

Mi naitaji kuanzisha hi biashara ya spare za pikpki ila Nina mtaji wa milion3 natafta location na fundi alaf Bei ya compressor ikiwa poa naitaji niiweke nayenyewe
 
Mi naitaji kuanzisha hi biashara ya spare za pikpki ila Nina mtaji wa milion3 natafta location na fundi alaf Bei ya compressor ikiwa poa naitaji niiweke nayenyewe
Kila LA kheri mkuu
 
Safi sana mkuu na mimi nitakutafuta unipe maarifa zaidi nina mpango wa kufanya hii biashara ingawa lengo langu ni kufikia kuuza vipuri, urembo na matengenezo kwa magari lkn kutokana na mtaji pia na mazingira nimeona nianze kwa pikipik na bajaji nikiwa na weka spare za magari kidogo kidogo maana kwa sasa nimehamia mkoani tabora. Changamoto niliyokuwa nayo ni kupata location nzuri lkn namshkru mungu nimepata eneo ambalo tumelewana na mwenye kiwanja nijenge then niweke biashara yangu alafu tutakatana kwenye kodi . Tathimin ya fundi wangu leo kwa ujenzi wa chumba cha biashara (frame ) pamoja na store yake ambayo itatumika pia kulala mtu kwajili ya ulinzi ni 4.5m inakamilika kila kitu. 🙏🙏🙏 Tuombeane uzima.
 
Nina mwaka nimeanza biashara hii kiukweli ni nzuri faida unaiona japo changamoto zipo nyingi hasa kwa mafundi na bodaboda wenyewe, huwezi kukaa dukani siku zote so mda unatoka ukimuacha fundi kama sio muaminifu lazima akupige ukija kwa bodaboda ukimkopesha ndo umemfukuza ukimnyima pia ndo umempoteza. Wanaoanza hii biashara inabidi mtafute sehem wanayouza spare kwa bei rahisi kama hilo duka la sayuni alilolisema mchangiaji vifaa vyake ni bei rahisi kiukweli ndio duka langu ninalonunulia spare zangu kwa sasa.
 
Mkuu Kila la kheri, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
 
Barikiwa sana
 
Mi biashara nafanyia huku kibaha maporini kwenye mikaa.Wateja wangu wengi Ni wabeba mikaa kwa pkpk(Busta) spea wanazonunua Sana Ni original za haojue,sinoray na fekon.Na Bei zake sio mbaya sn ukinunua direct kutoka kwao.
Safi sana kiongozi. Piga kazi

Tunachokijua:
 
Mi biashara nafanyia huku kibaha maporini kwenye mikaa.Wateja wangu wengi Ni wabeba mikaa kwa pkpk(Busta) spea wanazonunua Sana Ni original za haojue,sinoray na fekon.Na Bei zake sio mbaya sn ukinunua direct kutoka kwao.
Unazichukulia wap ( dukani) chief hizo spare!
 
Ni faraja sana kusikia hivyo... tunaomba pia kama hamtojali mtujuze ni spea zipi zinauza haraka ili mtu anaeanza awe na uhakika mzuri wa kuuza akiwa na mtaji mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…