Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

Biashara ya mchele Mwaka huu imekua ngumuu balaa, usidhani ni wewe peke yako..🤔 pia Michele ni mingi mno.! Ila usibadilishe biashara endelea tuu labda ubadili location.
Sahih mwaka huu mchele ni mwingi mno aisee
 
Nadhani kimahesabu ya kihasibu biasharainaleta faida, lakini faida haikidhi mahitaji yako, napata hisia hiyo kwa kuzingatia ulichoandika.

Jiulize juu ya ubora wa mchele wako, kama uko vizuri jiulize pia juu ya wateja ulio nao.

Je ni wateja wa mara moja moja au wanajirudia?

Una list ya majina ya wateja ambao umewahi kuwauzia mchele,na namba zao za simu? Jitahidi mteja akija uchukue namba ya simu, jina na u record pembeni kiasi cha mchele alichonunua.
Hata kama ni mteja wa mara moja moja au ndio unamuona kwa mara ya kwanza.

Kwa uzoefu wangu binafsi MAHUSIANO na MAWASILIANO yanafanya kazi sana katika biashara, ni kuwa MBUNIFU tu katika kuyaanzisha na kuyaendeleza. Mfano kama mteja wa mara moja moja hajaja siku nyingi na wewe una faida kubwa au nafuu, unaweza mcheki ukampa mchele ofa akale na familia mfano kilo mbili, huyu hatakusahau kuna muda atajiskia kulipa fadhila kwa kuendelea kununua au kuwa na confidence ya kukupa wazo juu ya biashara yako au nyingine.

Tengeneza target ya mchele wa kuuza kwa siku isipungue. Mfano kilo 70

Tathmini soko lako, una deal au uko location ina watu wa kipato gani?

Tengeneza soko au wateja wako, mfano hakikisha una mama ntilie kadhaa, familia kadhaa, wafanyabiashara wa shughuli kama harusi na misiba (foods and catering kadhaa). Mtaa unaokaa angalia familia za wafanyakazi hata 10, kajipigie promo ya kuwa unawapa mchele kwa kuzingatia mahitaji yao kisha watalipa mwisho wa mwezi.

Angalia uwezo wa ku pack na kufanya delivery..... download ramani hata google kisha angalia ulipo, kadiria kilomita 3 mpaka 5 kwa kuzungushia duara kuna taasisi na watu wa aina gani, waza na kuwazua unaweza vipi ku push mchele wako kwao. Kuna shule mfano? kipindi cha mitihani kaongee na mkuu wa shule omba kuwa utatoa mchele kilo mojakwa mfano kwa kila mwanafunzi atakaeshika nafasi ya kwanza, hapa walimu utakuwa umejenga nao mawasiliano na mahusiano kuna watakaokuwa wateja wako.

Kwa kifupi hustle ya kuitaka pesa ya mteja INABOA kuliko kutongoza mwanamke asiekutaka ila kwa consistency na vishawishi unaweza ambulia hata one nigh stand. Ni jambo linakera kwelikweli lakini unatafuta hela. Ikitanuka biashara unaweka mbishi mmoja asiechoka kukataliwa akufanyie marketing hiyo.

Kuhusu kubadili biashara ni mapema sana kwa miezi saba, labda kama unapunguza mchele na kuweka bidhaa nyingine ya chakula
 
Habarii wana JF natumai wote mko salama.

Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam
Nauza jumla na rejareja.

Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana ndo mara yang ya kwanza hii biashara.

Lakini changamoto amabyo imenipelekea kuandika huu uzii ni hapa ambayo nimetumia njia zote nimeshindwa biashara naiendesha kwa hasara sipatii faida hata kidg na basi ikipatikana inakuwa ni ndgo sana..

Hiyo changamoto ni kwamba kila nikileta mchele kweny store yang wateja wanarukaruka kwamb mchele wanaona siyo mzurii najitahidii kugradee jambo amablo linapelekea faida yang yote kuishia huko ilimradii tu niwateke wateja kwa vitu vizurii lakini wapi nimejikuta napoteza mtaji wang nusu nzima mpka sasa.

Na kingine mimi nipo mbagala dar es salaam nzima wanasifia mbagala kuuza mchele bei rahisii ni kwelii huku bei ni rahissiii jana nimetoka nimeenda sehem nyingine nimekuta mchele naouza mimi huku 1400 wao wanauza 1600
Sasa niko nawaza nifunge hapa flemu nikatafute sehem nyingine niendelezee baishara hiii hii ya mchele au nitafutee tu biashra nyingine nifanye naomba mnisadie sana.

Ushaurii wenu unahitajika hii biashara hemu imagine miezii saba sasa haijawah kunipa faida hata kidg nimevumilia nimechoka nahisii napoteza tu kila siku.

Maduka ya mchele sasa yamejaa kila kona kila mtu anauza mchele, na wakulima hawajkaa mbalii kila mkoa unalima mchelee.

Miaka yotee huu mwezii wa tisaa michele inapanda bei ila mwaka huu mpka mchele wa 1300 ninao mimi ofisini afu baishara haiendii kabisa yaniii

Nitafute eneo linginee au nibadilishe baishara msaada wenuu wakuu
Pole sana kwa changamoto unazopitia kwenye biashara. Kuna mambo kadhaa unayoweza kuzingatia kabla ya kufanya uamuzi wa kubadilisha eneo au kubadili biashara kabisa:

1. Tathmini ya Wateja: Inaonekana wateja wako wanakuwa na malalamiko kuhusu ubora wa mchele. Jaribu kuchunguza kwa kina zaidi ni nini hasa kinachowafanya waone mchele si mzuri. Inawezekana kuwa mchele unaonunua haukidhi viwango vyao vya ubora, au kuna aina nyingine wanazozipendelea. Je, kuna uwezekano wa kuwasiliana na wasambazaji wengine wa mchele ili upate bora zaidi?

2. Bei na Ushindani: Kama ulivyosema, bei ni ya chini Mbagala ukilinganisha na maeneo mengine. Hii inaweza kuwa sababu ya ushindani mkubwa kwenye eneo hilo. Kabla ya kuhamia eneo lingine, fanya utafiti wa kina kuhusu maeneo mengine ili uone kama wateja wanaweza kulipa zaidi na kama kuna ushindani mdogo.

3. Kuboresha Mikakati ya Masoko: Je, unatumia mbinu gani kuvutia wateja? Labda unahitaji kuboresha mikakati ya masoko, kama vile matangazo kwenye mitandao ya kijamii, kuweka ofa maalum, au kuanzisha huduma ya usambazaji kwa wateja wanaonunua kwa jumla.

4. Weka Mipango ya Fedha: Ukiangalia kwa undani zaidi. Je, una mipango mizuri ya fedha? Wakati mwingine tatizo linaweza kuwa jinsi unavyotumia faida au kudhibiti gharama.

5. Maamuzi ya Kubadilisha Eneo au Biashara: Kama unaona changamoto hizi ni kubwa sana na eneo lina ushindani mkubwa, utafiti wa soko la eneo lingine unaweza kusaidia. Hakikisha unafanya maamuzi ya kiuchumi zaidi ili usipoteze mtaji tena. Pia, unaweza kufikiria biashara mbadala kama unaona hii haiendi.

Kumbuka, ni kawaida kwa biashara mpya kukumbana na changamoto nyingi mwanzoni, lakini pia ni muhimu kuwa na mipango inayojikita kwenye uhalisia wa soko.

Ova
 
Niko sehem sahih ila naona ushindanii ni mkubwa sana watu wanamitaji kuanzia 100M na kuendelea kuna frem hapa jamaa aliuza tani 30 siku moja so unaweza ona kama niko sehem sahih ila biahsra inanikataaa tu yani
Biashara ya mazao ndivyo ilivyo hata ukiuza mihogo au viazi usishangae kuona mihogo yako inabaguliwa hata kama mmechimba shamba moja mpaka mkongwe amalize mzigo ndipo wewe utauza au mpaka mkongwe awe hana kabsa ndipo waje kwako na wenyewe watakuja na sababu kibao , labda umpe dalali.
 
Habarii wana JF natumai wote mko salama.

Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam
Nauza jumla na rejareja.

Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana ndo mara yang ya kwanza hii biashara.

Lakini changamoto amabyo imenipelekea kuandika huu uzii ni hapa ambayo nimetumia njia zote nimeshindwa biashara naiendesha kwa hasara sipatii faida hata kidg na basi ikipatikana inakuwa ni ndgo sana..

Hiyo changamoto ni kwamba kila nikileta mchele kweny store yang wateja wanarukaruka kwamb mchele wanaona siyo mzurii najitahidii kugradee jambo amablo linapelekea faida yang yote kuishia huko ilimradii tu niwateke wateja kwa vitu vizurii lakini wapi nimejikuta napoteza mtaji wang nusu nzima mpka sasa.

Na kingine mimi nipo mbagala dar es salaam nzima wanasifia mbagala kuuza mchele bei rahisii ni kwelii huku bei ni rahissiii jana nimetoka nimeenda sehem nyingine nimekuta mchele naouza mimi huku 1400 wao wanauza 1600
Sasa niko nawaza nifunge hapa flemu nikatafute sehem nyingine niendelezee baishara hiii hii ya mchele au nitafutee tu biashra nyingine nifanye naomba mnisadie sana.

Ushaurii wenu unahitajika hii biashara hemu imagine miezii saba sasa haijawah kunipa faida hata kidg nimevumilia nimechoka nahisii napoteza tu kila siku.

Maduka ya mchele sasa yamejaa kila kona kila mtu anauza mchele, na wakulima hawajkaa mbalii kila mkoa unalima mchelee.

Miaka yotee huu mwezii wa tisaa michele inapanda bei ila mwaka huu mpka mchele wa 1300 ninao mimi ofisini afu baishara haiendii kabisa yaniii

Nitafute eneo linginee au nibadilishe baishara msaada wenuu wakuu
Swali fikirishi je huo mzigo ukifika unaupima kabla ya kuingiza stoo?

Angalizo
Ukienda Sehemu nyingine kupata wateja itakuchukua muda, (customer base)

Swali jingine je huwa unapata mrejesho wa huduma yako kwa wateja?

Wazo
Kabla ya kuhamia huko unakotoka kuhamia nenda kaanzishe hiyo biashara kwa mtaji kidogo wa majaribio
 
We jamaa unakitu kwenye chimbo hapo umenena mimi bado cjalifahamu chimbo la kuchukua mzgo ili kushindana na ushindani mkubwa huu nilionao aisee
Mimi nipo shamba nalima mpunga, sema unataka mchele wa wapi nikupe machimbo, huku niliko mchele supper hua unakua mpaka Tsh 850/= per kilo
 
Habarii wana JF natumai wote mko salama.

Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam
Nauza jumla na rejareja.

Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana ndo mara yang ya kwanza hii biashara.

Lakini changamoto amabyo imenipelekea kuandika huu uzii ni hapa ambayo nimetumia njia zote nimeshindwa biashara naiendesha kwa hasara sipatii faida hata kidg na basi ikipatikana inakuwa ni ndgo sana..

Hiyo changamoto ni kwamba kila nikileta mchele kweny store yang wateja wanarukaruka kwamb mchele wanaona siyo mzurii najitahidii kugradee jambo amablo linapelekea faida yang yote kuishia huko ilimradii tu niwateke wateja kwa vitu vizurii lakini wapi nimejikuta napoteza mtaji wang nusu nzima mpka sasa.

Na kingine mimi nipo mbagala dar es salaam nzima wanasifia mbagala kuuza mchele bei rahisii ni kwelii huku bei ni rahissiii jana nimetoka nimeenda sehem nyingine nimekuta mchele naouza mimi huku 1400 wao wanauza 1600
Sasa niko nawaza nifunge hapa flemu nikatafute sehem nyingine niendelezee baishara hiii hii ya mchele au nitafutee tu biashra nyingine nifanye naomba mnisadie sana.

Ushaurii wenu unahitajika hii biashara hemu imagine miezii saba sasa haijawah kunipa faida hata kidg nimevumilia nimechoka nahisii napoteza tu kila siku.

Maduka ya mchele sasa yamejaa kila kona kila mtu anauza mchele, na wakulima hawajkaa mbalii kila mkoa unalima mchelee.

Miaka yotee huu mwezii wa tisaa michele inapanda bei ila mwaka huu mpka mchele wa 1300 ninao mimi ofisini afu baishara haiendii kabisa yaniii

Nitafute eneo linginee au nibadilishe baishara msaada wenuu wakuu
Pole sana
 
Kwanza weka namba hapa tuanze kukuungisha kgs kadhaa

Pili maeneo hayo u Swahili mwingi sana
Ukiweka kuuza online sawa au tafuta wateja wa jumla tu
 
ningekushauri ila Tatizo hamuamini Wataalam wa Jadi. Biashara mjini bila Kizizi hutoboi.
 
Back
Top Bottom