Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Mkisalitiwa nyie hua mnachanganyikiwa hatari.
Pole sana ngoja wazee wa busara waje.
 
Pole. Mwanamke akicheat jua fika hakupendi. Na Sheria ya mwanamke cheater ni kumuacha aendelee na maisha yake.

Sasa jifanye wewe ni kichwa ngumu umsamehe huyo Malaya. Ni lazima akuue.
 
Kinachowaponza wanawake kufanya hayo ni tamaa wala sio fedha au mavazi.Kwa kuwa unampenda msamehe na ajue kuwa unamaanisha kweli.Hii itamjenga upya kuwa alifanya upumbavu kwa mtu mwenye kwake.Na yule kijana msamehe ili uwe na amani.
Hakuna mwanamke anaweza ishi na mwanamme ambaye Hana uwezo wa kumuacha. Mwanamke anachukia udhaifu. Akicheat achana naye.
 
Mwanamke akikwambia amefanya nae mara mbili tu. Elewa kuwa amepunguza sana kiasi cha kuona kuwa kwa kiasi hicho huwezi chukia. Ila elewa tu kuwa sio mara mbili. Hata kama ukimbana huyo mgoni wako idadi ikalingana. Namba anayo kichwani.
 
Sikiliza moyo wako wa ndani unakwambia Nini maana wengine ni washauri tu majibu sahihi yapo moyoni mwako
 
Kama option ya kua nae haikupi amani,nadhani uangalie option nyingine ambayo ni kumuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…