Naomba ushauri kuhusu hili

Naomba ushauri kuhusu hili

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
246
Reaction score
228
Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi

Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba mwanamke anachomoa lakini kila siku anasumbua suala la matumizi ya mtoto haipiti siku mbili anataka fedha mwezi uliopita mumewe kapata kazi mkoa wa mwanza kutokea morogoro ambapo ndio walipokua wanaishi na mimi pia nipo morogoro lkn bado ansisitiza nitoe matumizi kama hapa jirani tu ilikua mbinde kumuona mwanangu huko itakuwaje nafikiria kusitisha huduma naombeni ushauri wenu
 
Wanawake huwatumia watoto kama njia kujipatia pesa. Sidhani kama kuna mwanaume anaweza kushindwa kumhudumia kula mtoto wa mwanamke akategemea pesa itoke kwa baba wa mtoto labda ije swala la kusomesha, kulipa Ada au sikukuu hasa swala la mavazi.

Hii ni njia nyingine ya wanawake kujipatia pesa, maana hayo matumizi ya siku mbili ni yapi?
 
Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi

Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba mwanamke anachomoa lakini kila siku anasumbua suala la matumizi ya mtoto haipiti siku mbili anataka fedha mwezi uliopita mumewe kapata kazi mkoa wa mwanza kutokea morogoro ambapo ndio walipokua wanaishi na mimi pia nipo morogoro lkn bado ansisitiza nitoe matumizi kama hapa jirani tu ilikua mbinde kumuona mwanangu huko itakuwaje nafikiria kusitisha huduma naombeni ushauri wenu
Chukua mwanao umleee kwa msaada zaidi nenda ustawi wa jamii watakupa namna nzuri ya kumchukua mwanao
 
Wanaume sisi ni wagumu kupeleka malalmiko mahali husika.
Nenda ustawi usaidike.
 
Tatizo ni hapo kuhamia mwanza na sio kumuona mtoto. Ulitegemea utakua unapasha kiporo utakavyo
 
Back
Top Bottom