Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi
Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba mwanamke anachomoa lakini kila siku anasumbua suala la matumizi ya mtoto haipiti siku mbili anataka fedha mwezi uliopita mumewe kapata kazi mkoa wa mwanza kutokea morogoro ambapo ndio walipokua wanaishi na mimi pia nipo morogoro lkn bado ansisitiza nitoe matumizi kama hapa jirani tu ilikua mbinde kumuona mwanangu huko itakuwaje nafikiria kusitisha huduma naombeni ushauri wenu