Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

9- march mwishoni, naona nvua za masika zinakaribia na paa robo nzima lipo wazi,
Naamua ku apply mkopo bank, napata 3 m
Namalizia bati na pesa ya fundi

10-April. Muda tuliopewa tuhame umefika,
Nyumba haina milango, oops nilisahau bahati nzuri tulishaweka order ya magril ya nyumba nzima, tunayapachika lakini milango ya mbao wala aluminum hakuna,
11- april hiyohiyo anarudi lakini nimepata taarifa kumbe alienda kwao kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba yake huko kwao,
Napiga kelele naambiwa, ameondoka kule nyumba ipo kozi ya 4
 
Huyo Ni wewe Sasa siye Mimi ..nanina shukuru msimamo wangu huo umenisaidia mpaka leo
Kuna kisa kilinitokea,mpaka sasa sina hamu ila nimekubali matokeo.

Kuna kibinti nilianza nacho mahusiano kilipomaliza form 4
mwanzo nilikua nakala kwa mipira,baadae nkajua mzunguko wake wa hedhi
nikaanza kuwa navizia siku salama,napga mzigo nyama nyama

Siku zimeenda sana,kuna muda nilikua nasafir kama miez 6 narudi,nakula mzigo
virafik vyake vingi vikawa vinapata ujauzito,vingne vna watoto hadi wawili,nkamuuliza mbona wew hupat mimba kama wenzio,maana niliamin sio mim tu ninae kula lazima kuna njemba tulkuwa tunashare.
kilnijibu kuwa kina matatizo hivyo hakiwez shika ujauzito(mwanaume nkajisemea kimoyo moyo kuwa haka katanifaa kuwa kamilele kwa matumizi ya kula raha).tena kakanihakkshia kuwa kuna kipind kalkuwa kananidanganya siku zake za hedhi nikawa nakula na siku hatari lakini hakakupata mimba.

Kipindi fulan nikawa fresh kpesa,nkaona ili kukafaid zaid nkaona nkapangishie
nikakaweka gheto,nikaanza kula vitu kwa uhuru
kumbe chenyewe kkaona kmeolewa kabsa,kumbe kilikuja na dawa za kienyej za kusaidia kupata ujauzito
mwezi mmoja tu,demu ananiambia ana mimba,nawakat anakuja alkuwa yupo kwenye siku zake kavaa na pedi kabisa
mwanaume nikachanganyikiwa,mwisho wa siku nikakubal matokeo,ila nmerudsha azae kwanza baadae nmrudishe aendelee kuwa mpango wa kando

ila kwasasa niko makini mno,hawa watu hawataweza tena nifanya nisiifurahie dunia
obama siyo mjinga kuwa na watoto wawili.
 
Pengine mzee Chizi huyu yani muda wa kula matunda kwa wingi na mboga mboga eti ana miaka zaidi ya 50+ ana chimba msingi wa nyumba ndogo!!
 
Huyu jamaa inaelekea ameenda shule lakini amezidiwa maarifa na bi mdogo ambae inaelekea elimu yake ni kama ya kwangu tu.
 
13.- sasa tunafukuzwa kabisa kule nyumbani kwetu,
Namwona nwenzangu anasusua kuondoka, naagiza gari linafika saa kumi usiku, tunapakia mizigo by saa11 asubuhi, tunaondoka
Makao mapya tunafika saa saa mbili asubuhi asubuhi,


Milango miwili wa mbele mkubwa na wa jikoni
Nilinunua pale pale alaf, ile mieupe, sikumbuki vizuri bei yake ila nadhani ni kama 200000
 
Kuna watu wanajidai majasiri humu ila yakiwakuta wanalialia wakati hatuwaoni,mpaka hapo kaka uko vizuri.you are mentally very strong.
Mkuu jipange ukisha fikisha miaka 50 sio huna muda wa kushauriwa tena ni muda kama una nguvu ni muda wa kuangalia fursa na kutafuta usingizi usiku sio muda wa kuangaika na mipango ya kando pengine kama ulijipanga vizuri ni muda wa kucheza na wa jukuu
 
Duh.. ila mzee unavotuweka roho juu [emoji3][emoji3] andika kabisa kipande utupie
 
14-tupo ndani mwetu, lakini sakafu ni mashimo tupu, vibarua wanajaza udongo,
Na mama anapika nje huko,

15- may naona mama kiburi kimeanza hata simuelewi, mala nyigune hataki hata kuongea na mimi namuona huyu, labda alishaingia ukichaa au kule tulipoondoka alikuwa na watu wake sasa hana ujanja wakuwaona
 
Huu uhondo nlikuwa nafwatilia tokea jana hapa kama mgeni, imebidi ni log in ili walau niseme chochote.

Brother mkasa unasisimua hauchoshi na unafundisha, bado nakufwatilia kwa ukaribu sana, na nnaamin kuna ma elfu ya watu wanakusoma hapa ambao sio member walio jisajili ila somo linawafikia, , tafadhali endelea tuokote viwili vitatu kaka.
 
Pengine mzee Chizi huyu yani muda wa kula matunda kwa wingi na mboga mboga eti ana miaka zaidi ya 50+ ana chimba msingi wa nyumba ndogo!!
Wanaume huwa mnajitesa pasipo sababu kwa kweli😃😃 Hapo kaka mkubwa Mwitore anaona wivu kumwacha wenzie watafaidi bila kujua uwepo wake ndio wanafaidi zaidi😅😅😅😅

Cha mlevi huliwa na mgema
 
16- May hiyohiyo mpaka june naanza kuona simu za wanaume wawili tofauti wakiwasiliana, nikimuuliza hawa ni nani ananijibu ni watu tu, naanza kutia mashaka
17- June ananifokea mbele za watu wakati nimekwama kumsaidia kufunga mpira wa maji vizuri, namtukana na yeye ananirudishia tusi hulo hilo namfukuza nampata namtia Vinson’s vitakatifu, tunaamriwa
 
Samahani lakini mzee pimbi kweli ujuwe asipo ambiwa ukweli atazidi kuwa pimbi miaka 50 ni miaka ya kukusanya kodi yeye ndio ana chimba msingi wa nyumba ndogo
Amekula ujana vibaya kwa kweli hafu anatafta huruma humu, mgeni wa bunye
 
Wanaume huwa mnajitesa pasipo sababu kwa kweli😃😃 Hapo kaka mkubwa Mwitore anaona wivu kumwacha wenzie watafaidi bila kujua uwepo wake ndio wanafaidi zaidi😅😅😅😅

Cha mlevi huliwa na mgema
Hebu fafanua zaidi "uwepo wake ndio wanafaidi zaidi"
 
Wanaume huwa mnajitesa pasipo sababu kwa kweli😃😃 Hapo kaka mkubwa Mwitore anaona wivu kumwacha wenzie watafaidi bila kujua uwepo wake ndio wanafaidi zaidi😅😅😅😅

Cha mlevi huliwa na mgema
Ajuwe hizo ni mbio za sakafuni!
Huko aliko ata usiku akiosha vyombo akifua nguo wahuni wanaweza fanya yao bila yeye kujuwa ebow
 
17- watoto wapo likizo naona mimi natengwa tu,
Hakuna anayenizungumzisha, nakula nalala naamka,

18, July, nafuma kwenye simu yake ujumbe wa sms, kuna mwanaume kaja hapo nyumbani

Yule mwanaume ndio nimeona ujumbe wake akimwambia,basi sawa nitakuja siku ukiwa poa,
Au tufanye wiki ijayo........ poa poa ,.......... nikukute upo fresh fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…