Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Hajafika huyu mwamba??!! maji mazito ninii??
km hajafika ngoja tumuongezee na Mshana Jr anaweza mpa ushauri huyu Mtu ya Musoma, maana imetekwa hasa na katoto ka nyanda za juu
Kiukweli huyu jamaa atakuwa sasa kastaafu na hana 50 yrs, ila km sio ulimbukeni kalogwa maana Nyumba ndogo kagongewa sana na jamaa wa Kariakoo na dalili kaziona zote yeye Mwitore bado anang'ang'ania nyumba ya 300m kwa cash hiyo mwambieni kwa usawa wa Magu hapati, sanasana anajitengenezea kaburi na ataviacha vyote
 
Hiyo kiuandishi wa hapa jf inaruhusiwa
Sababu kuu ni kuficha identity yake
Akiwa wazi Sana Kuna wanao mfahamu
 
Tena atakuwa mjeda huyu
 
Tatizo lake hataki kukubaliana na ukweli.
 
Katika bahati walizo pata waislam ni pamoja na kuhalilishiwa ndoa za wake wanne....sasa ona mama wa miaka 42 anaishia kuitwa demu🙆
 
Hongera kama hii ID yako imesadifu jina lako, basi utakuwa na upendo sana. Ubarikiwe.
 
Ni kweli, nilitangaza kupiga bei nyumba, kipindi watoto wapo shule, alivyosikia tu, maana unajua binadamu tena, sio wote watamchukia yule, basi walimpigia simu akarudi, mchezo ukaishia hapo
 
Woow[emoji7]

So many congrats brother. Much respect to u. Hongera sana sana sana. Umeepuka shari kubwa. Hakujawahi kuwa na usawa asilani katika ndoa ya zaidi ya mke mmoja. Na shetani akupitie mbali.

That was so deep.
Mmh mbona unaamini vitu vya kutype haraka haraka hivyo, ...??[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mpumzisheni mzee wa watu jmn[emoji38][emoji38][emoji38]
 

[emoji23] [emoji23]
 

Mi naomba niulize hivi bi mkubwa huwa unamuachaje unapokuwa unashinda huko nyumba ndogo mbona kama unaishi kwa bi mdogo sana
Mbona kama mkeo anajua tayari kwa jinsi wanawake tulivyo kweli asiwe amehisi chochote [emoji848]
 
Mmmmmh...[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji134]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…