- Thread starter
- #1,101
Nili
taka kuwafunza adamu tu!Kaka ulikosea,usingewafkuz watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
taka kuwafunza adamu tu!Kaka ulikosea,usingewafkuz watoto
km hajafika ngoja tumuongezee na Mshana Jr anaweza mpa ushauri huyu Mtu ya Musoma, maana imetekwa hasa na katoto ka nyanda za juuHajafika huyu mwamba??!! maji mazito ninii??
Hiyo kiuandishi wa hapa jf inaruhusiwaMwitore ni muongo! Alimpata huyo mchepuko akiwa na miaka 20, wameishi miaka 18 na sasa ana miaka 42. Hapo piga hesabu angalikuwa na miaka 38. Pili fumanizi zote tangu watoto wanamwambia rudi kwenu, yupo tu. Tatu analala kwa bi mdogo bila bi Mkubwa kusituka miaka yote 18. Huyo ni mke au jini. Hii story ya kubumba akina Shunie cariha Espy angalieni anawachota
Haipendezi mwanaume kusutwa.Bado mpaka uzalishwe tena kila mtoto na baba yake utelekezwe tena.Utakuwa single mother daima.
Tena atakuwa mjeda huyukm hajafika ngoja tumuongezee na Mshana Jr anaweza mpa ushauri huyu Mtu ya Musoma, maana imetekwa hasa na katoto ka nyanda za juu
Kiukweli huyu jamaa atakuwa sasa kastaafu na hana 50 yrs, ila km sio ulimbukeni kalogwa maana Nyumba ndogo kagongewa sana na jamaa wa Kariakoo na dalili kaziona zote yeye Mwitore bado anang'ang'ania nyumba ya 300m kwa cash hiyo mwambieni kwa usawa wa Magu hapati, sanasana anajitengenezea kaburi na ataviacha vyote
Makunhataan.....kimbunga hicho hukoo marekani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]makuhmazan
Tatizo lake hataki kukubaliana na ukweli.Kwa story yako mpk hapoo!mke mkubwa na watoto wake wanajua kila kitu nakuambia sema wanakuchora tu kama wajinga vilee ndo maana madogo wanakudiss na kiukweli lemme be honesty ulibase sana kulala huku kwa bimdogo mnoooooo yaani yaonesha ubavu ulizidi sehemu moja baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika bahati walizo pata waislam ni pamoja na kuhalilishiwa ndoa za wake wanne....sasa ona mama wa miaka 42 anaishia kuitwa demu🙆Samahani km ntakwaza watu lakini mi naupenda uislamu wangu uliohalalisha wake wanne. Kwa kweli toka dunia ianze wanaume hawajawahi kutosha huyo Dada Leo miaka 20 na zaidi anaishia kuitwa mchepuko wakati angekua muislam angemuoa.
Kingine mbona wakurya wana mitala nnao huku kanda maalum yaani mitala kama zote .
Huyo demu nae kimeo 20yrs unakubali kufichwa km Arv vile...!!! Au ndo tamaa ya pesa mweee!pole yake aseh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kama hii ID yako imesadifu jina lako, basi utakuwa na upendo sana. Ubarikiwe.Ampe talaka kwani alimuoa? Mwanamke mshenzi sana huyo. Tapeli wa mapenzi na mali... yaan alipoonaga gari tu akachanganyikiwa. Ukute hata alimloga baba wa watu.
Halafu huyo staff mwenzie na mzee alivyomwambia mbona huyu mwanamke si wa hadhi yako kwenye graduu tuondoke yaani mngejua nilivyompatia picha kuanzia alivyo mpk mavazi na attitude yake![]()
![]()
Huyu baba ana upendo sana na haupimiki. Yaan kuna watu makatili sana duniani. Huyu MCHEPUKO huyu ni kiasi cha muda tu kuyalipia haya. Namfeel huyu baba. Natamani ningemsindikiza kwa mkewe amwelezee A to Z. yatakwisha tu no matter what
Ni kweli, nilitangaza kupiga bei nyumba, kipindi watoto wapo shule, alivyosikia tu, maana unajua binadamu tena, sio wote watamchukia yule, basi walimpigia simu akarudi, mchezo ukaishia hapoIla wewe baba ni kiazi kweli kweli!
Imagine unahangaika na mtu hakutaki, anawanaume wengine anawaleta hadi nyumbani, bado unahangaika nae wakati umeacha mkeo nyumbani na watoto? Ukute mkeo ni mrembo mpole na anakupenda sana lkn kutwa kuhangaika na kunguru asiyefugika?
Ningekuwa mimi wala nisingefika huku, the minute ameniacha ameenda kwao ningepiga bei nyumba na viwanja vyote, pesa ningeenda kufungulia watoto akaunti nikarudi kwa mke wangu na wanangu niugulie maumivu!!
Bwana eeh pambana tu na hali yako mzee! Na hapo ukacheki afya kabisa
Mmh mbona unaamini vitu vya kutype haraka haraka hivyo, ...??[emoji848]Woow[emoji7]
So many congrats brother. Much respect to u. Hongera sana sana sana. Umeepuka shari kubwa. Hakujawahi kuwa na usawa asilani katika ndoa ya zaidi ya mke mmoja. Na shetani akupitie mbali.
That was so deep.
Mpumzisheni mzee wa watu jmn[emoji38][emoji38][emoji38]Ila nlichokigundua we jamaa una ufala fulani, mtu ni mchepuko, viwanja ulinunua wewe ili umpe hifadhi saivi unahangaika sjui mpelekane ustawi mara unamuogopa jamaa anayemkaza mchepuko wako, mara una bond na watoto lakini mkizinguana na mchepuko nao waja juu eti toka kwetu khaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu unaogopa mchepu adi unaenda polisi
Nadhani hata hao watoto wanaweza wakawa sio wakoNi kweli, nilitangaza kupiga bei nyumba, kipindi watoto wapo shule, alivyosikia tu, maana unajua binadamu tena, sio wote watamchukia yule, basi walimpigia simu akarudi, mchezo ukaishia hapo
Hahaaaa!!!!daahKatika bahati walizo pata waislam ni pamoja na kuhalilishiwa ndoa za wake wanne....sasa ona mama wa miaka 42 anaishia kuitwa demu[emoji134]
HuYu mzee yuko kwenye dennial stage. Bado hajaweza kumove on. Apelekwe kw wanasaikolojia. Lakini akubali hapakua na mapenZi toka mwanzo.Hongera kama hii ID yako imesadifu jina lako, basi utakuwa na upendo sana. Ubarikiwe.
Kwa muda aliokaa nae hiyo kiserikali ni ndoa tayari, anatakiwa kufuata utaratibu kisheria kumuacha la,si hivyo itakula kwake.Kuna talaka ya MCHEPUKO?
Ni hivi, ukioa mwanamke mwenye level ndogo sana ya uelewa,shida hii lazima ikupate.HuYu mzee yuko kwenye dennial stage. Bado hajaweza kumove on. Apelekwe kw wanasaikolojia. Lakini akubali hapakua na mapenZi toka mwanzo.
Mwisho wa hii story wakati nakushauri Nitgawa wtu makundi kdhaa.kuna kundi moja nitamkabidhi joka jeusi adeal nalo,hayo mengine nitadeal nayo Mimi mwenyewe.kuna watu wanatamani hizo opportunities na chance ulizompa shemej.Wengi wana maisha ya shida sana wanaokukejeli,na shida hizo hawajazitafuta.lakini kwa vile ni wajinga na wapumbavu wanataka wakukatishe tamaa.Wengi hao ni wanawake,hawajui baba zao huko nje wanamabalaa gani.sana assume they have perfect lives makwao ila siku ile can of warms ikifunguliwa hell will break lose. Wengine ni vijana ambao wapo 20's.Badala ya kufuatilia what you are going through wajifunze kitu kisiwakute wanaona wana akili.
Hatujawasiliana toka aondoke kesho anafunga mwezi,
Namshukuru Mungu sasa hivi wala roho yangu haiumii tena, nimeshamwona taka taka, na kusema kweli na mchukia vibaya sana, usiku na mchana naomba asirudi maana sijui ninaweza kumfanya kitu gani
Ameshanitamkia kuwa yupo hapa kwa ajili ya nyumba tu sisi mimi,
Ameshanitamkia mpaka tugawane vyumba,
Mmmmmh...[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji134]Ampe talaka kwani alimuoa? Mwanamke mshenzi sana huyo. Tapeli wa mapenzi na mali... yaan alipoonaga gari tu akachanganyikiwa. Ukute hata alimloga baba wa watu.
Halafu huyo staff mwenzie na mzee alivyomwambia mbona huyu mwanamke si wa hadhi yako kwenye graduu tuondoke yaani mngejua nilivyompatia picha kuanzia alivyo mpk mavazi na attitude yake[emoji23][emoji23]
Huyu baba ana upendo sana na haupimiki. Yaan kuna watu makatili sana duniani. Huyu MCHEPUKO huyu ni kiasi cha muda tu kuyalipia haya. Namfeel huyu baba. Natamani ningemsindikiza kwa mkewe amwelezee A to Z. yatakwisha tu no matter what