Mzee wangu acha kujifanya nunda, hujaja kubishana humu umekuja kuomba ushauri. Watu wote hawatakupa ushauri unaoutaka wewe, hivyo ni jukumu lako kuchambua vipi vya kubeba na vipi vya kuacha.Kwa nini ujue tabia ya mchepuko na sio hata mke wako, kwani mke naye si ni binadamu,
Ana tofauti gani na mchepuko?
Uza mpeleke mke mkubwa DREAM COUNTRY YAKE MKAALE BATA CORONA IKIISHA BABA ANGU PIGA CHINI HUYO PUGI KABISAAA...Usilaumu kidondaa angalia ulipojikwaa...OMBI WAKUU NA USHAURI
hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,
Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,
Ila bado haijaisha,
Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
Wewe ndio muongo, jamaa ni mkweli kabisa sema amependa/ ameikubali maku ya huyo demu/ mchepukoo[emoji848]Mwitore ni muongo! Alimpata huyo mchepuko akiwa na miaka 20, wameishi miaka 18 na sasa ana miaka 42. Hapo piga hesabu angalikuwa na miaka 38. Pili fumanizi zote tangu watoto wanamwambia rudi kwenu, yupo tu. Tatu analala kwa bi mdogo bila bi Mkubwa kusituka miaka yote 18. Huyo ni mke au jini. Hii story ya kubumba akina Shunie cariha Espy angalieni anawachota
Yaani sijui kwanini naamini kuna kubambikiziwa hapa. Nawaona majamaa wa kkoo kbs walishafanya yao. Hapa utapeli tu. Na watoto walivyolaanika wameshaanza ukurubembe wa mama yao. Mke halali milango ya riziki ikazidi kufunguka juu yako. Lolotelo baya likakukose.Nadhani hata hao watoto wanaweza wakawa sio wako
Hili ni neno,asilimia kubwa ya rafiki zake ni dhiki kwisha kazi, yeye maisha aliyonayoni kama yupo peponi, huwezi amini kila nikienda kwake lazima nipite Buchanan nichukue nyama ya kutosha, na mala nyingi ni steak au maini,Kuna watu wakiwa na misiba wakisikia na wewe rafiki yao una msiba wanapata faraja
Yaan ujue nampatia picha kuanzia appearance yake mpk dress code..Ni hivi, ukioa mwanamke mwenye level ndogo sana ya uelewa,shida hii lazima ikupate.
Nna kaka yangu alidanja kwa kesi ya,mwanamke mpuuzi kama huyu.
Huyu mpaka aje afike acceptance stage tutakuwa tumeshamzika.HuYu mzee yuko kwenye dennial stage. Bado hajaweza kumove on. Apelekwe kw wanasaikolojia. Lakini akubali hapakua na mapenZi toka mwanzo.
uko sawa kabisa mzee wamesha muonamoYaani sijui kwanini naamini kuna kubambikiziwa hapa. Nawaona majamaa wa kkoo kbs walishafanya yao. Hapa utapeli tu. Na watoto walivyolaanika wameshaanza ukurubembe wa mama yao. Mke halali milango ya riziki ikazidi kufunguka juu yako. Lolotelo baya likakukose.
Yaani kiujunla hapa hakuna ndoa. Piga spana mchepuko huo. Tena na watoto wake. Kama wanakukosea adabu wewe wa kazi gani. Hamna ndoa yoyote hapo. Ndoa ya kikristu ni moja tu. Na kama ndo ya katoliki tembea kifua mbele.
Zaidi nakuomba uza mjengo na kila kitu ambacho huyu mwanamke alikua associated nacho. Bajet nzima peleka mezani kwa mke halali. Fanyeni mahesabu na mipango. Uzaaa kila kituu shwnzi. Kanunie eneo sehem ya mbali kabisa. Tena weka majina ya watoto wa mke mkubwa kukomesha kbs. Mpk awe na adabu ndo uangalie namna ya kuwasaidia. Yaan mahawara bwana... yaani usimpe hata mia. Au nna roho mbaya mimi jamani?
Eeh, nataka kujua ni talaka gani hiyo anapewa. Ama kisa waliona mchungaji kaja? Halaf.mpaka sasa sijaelewa kwanini mchungaji alikuja. Alikujaje? Kufanya nini? Huyu mchepuko akiwa kama nani?Mmmmmh...[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji134]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mzee ebu sema funguka tukushauri wapi ?...hii story iache tu ..! Make Sasa umekua Kama daladala vituo Ni vingi mjin tutafika saa ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa unavyofikiri wewe huyu ni mgeni humu? [emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu umejiunga Leo tu jf lakini tayari ushaanza kutuingiza chaka.View attachment 1698495
Nachosikitika ni kwamba hataki maneno magumu. Ataponaje hapa sasa. Na yeye ndo ameruhusu haya yafike hukuHuyu mpaka aje afike acceptance stage tutakuwa tumeshamzika.
Mzee mbishiiiiii, pamoja na mchepuko kumfanyia visa vibaya lkn eti bado anaamini wataendelea kuwa wote[emoji38][emoji38]
Nimekuelewa Sana heka heka zipo kila kona binamu hata huko kwa mke mmoja kuna wamama wengi wametelekezwa baba kahamia kwa mchepuko anarudi uzeeni vituko asubuhi na jioni ndo maana watoto wengi wanahudumia mama zao Nina mifano mingi ya wanawake waliotelekezwa au wanaishi miserable life unajipa moyo wa kwako peke yako lakini wanaenjoi wengine kabisaa wewe unabaki na cheti cha ndoa km ushahidi tu....!!!!Bora kutambulika nijue tuko wanne vurugu zipo tu hiii jinsia ni tata kiukweli sema wengine wameamua tu kuishi Kinaafiki na ndo naona wanandoa wengi wanaishi hvyo akiwaza age goo hana namna tena lakini vaa viatu vya huyu mke halali siku amejua ukweli miaka yoote anadanganywa kama mtoto au zoba vile...Aseehh bora nijue tuko wawili mapemaBinamu nakusalimu katika Jina la BWANA.
Uislam ni mzuri kuhusu issue ya wake wanne; kwa wanaume ambao hawajaamua kuridhika; na kwa wanawake ambao wanaenda kuolewa mke wa 2, 3 au 4. Ila kwa mke wa kwanza, suala la wanawake wanne kwake laweza kuwa shubiri;au kwa mke wa 2 na 3 pale anapoongezewa mke mdogo na yeye ndiyo utajua sasa kama wanafurahia kuongezewa wake wenzao.
The bitter truth; mtu asipoamua kuridhika hakuna idadi ya wanawake itakayomridhisha. Kwa sababu kuoa wake wanne haimaanishi ndiyo kwamba wakifika wanne tu na tamaa ya mwanaume inakufa. Ataendelea kutamani, na since hawezi kuoa mke wa 5,6..... basi atawafanya michepuko.
Na huo uke wenza uliohalalishwa; kwa kweli hekaheka zake tunaziona humu mtaani na duniani(especially insta). Hata wanawake tumeumbwa na ubinafsi, kilicho changu sitopenda kushare na mwingine period. Majority wanaolewa wake wenza kwa sababu tu ndiyo dini inataka hivyo na hawana option; lakini hawapendi. Ila most likely kadri unavyoongeza idadi ya wanawake, ndivyo unavyoongeza stress. Mara nyingi kila mwanamke atavutia upande wake na watoto wake ili wapendelewe zaidi wao. Na unaweza kuwatreat wake wote sawa; ila huwezi kuwapenda the same kuna sehemu tu upendo utazidi. Muda sio muda mabifu yanaanza, mara kukamatana uchawi n.k.. kwa zile hekaheka za wake wa mzee Yusuph au Queen Darleen na Sabra; kwa kweli naushukuru Ukristo. Na wanawake wanapeleka chuki zao hadi kwa watoto wa mke/wake wengine; watoto wengi wa kutoka kwenye familia za mitala hawapendani kwa sababu ya sumu wanazolishwa na mama zao.
Binadamu haturidhiki kwa sababu kiuhalisia kila siku kuna matamanio mapya; ni vile inafika hatua unasema na kuamua ngoja tu niridhike. Ni sawa tu na idadi ya partners; usipoamua kuridhika utaoa na kuacha kila siku. Usipojua/jifunza kuutiisha mwili wako; hakuna idadi ya wanawake itakayokutosheleza. Na kwa familia zetu hizo za uchumi wa kuvumiliana: wanawake wengi=umasikini
Na kwa shuhuda chache tu za watu walizozileta humu kuhusu ndugu zao waliokuwa na wake wengi; unaona kabisa jinsi fainali uzeeni inavyo-apply kwa wanaume. Mpende na kumuheshimu mke wa ujana wako.
Huyu mtu alikuwa anakufanya unaishi kwa presha sana mkuu dah!! Yaan mifuko ya zawadi tena anaona unamdhalilisha!! Huyu alikuchokaHili ni neno,asilimia kubwa ya rafiki zake ni dhiki kwisha kazi, yeye maisha aliyonayoni kama yupo peponi, huwezi amini kila nikienda kwake lazima nipite Buchanan nichukue nyama ya kutosha, na mala nyingi ni steak au maini,
Siku wanawake wenzake wanamwambia ‘ee mume kwa kubeba vimifuko hajambo “ naye akaja kuniambie, siku moja tumegombana,
Si akanikashifu eti sitaki hivyo vimifukofuko vyako, SIKUAMINI!
Kuna watu vyupi ndo asili yao ndodo km zote!Wa kiislamu mbona wameruhusiwa lakini nao ndio wale wale tu?[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Ndugu yangu hili neno kibabu, inabidi nikubali tuTupo irrational sana, 50yrs ni kibabu?, labda kama kwao lishe ni duni ila umri huo kama mtu yupo healthy hawezi kuwa kibabu. Najua wengi wanaongea hivyo ili kumpa psychological torture na hivyo wanajisikia furaha...
Mi naomba niulize hivi bi mkubwa huwa unamuachaje unapokuwa unashinda huko nyumba ndogo mbona kama unaishi kwa bi mdogo sana
Mbona kama mkeo anajua tayari kwa jinsi wanawake tulivyo kweli asiwe amehisi chochote [emoji848]
Mheshimiwa kutaka kubishana na walimwengu ni kujitaftia kazi ya kukupa stress bure, waache waite wanavyo jiskia!! Usichukulie serious sanaNdugu yangu hili neno kibabu, inabidi nikubali tu
Maana kila nikiwaona vibabu na mimi ninavyoonekana mpaka naanza kujishuku “ hivi na mimi ndio niko kama huyu babu kweli “
Hapana sio kweli, mbona nipo physical fit kuliko hata hapa wanaojiita vijana,
Nadhani inabidi sasa tuanze kuitana majina yetu hata hata kama mtu kakuzidi umri kia gani,
Wazungu wamefika hulo tayari