Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Wewe sasa umeongea sio wanaomponda hawajajua ya dunia,mi niewaambia huyo dem na wazazi wake lao moja.wamemroga
 
Kama vp chukulia mkopo bank halafu kula kona bimdogo apambane nalo.
 
Ndio demu kashajenga hadi kwao kilichobaki anataka pasu la nyumba ya mjini ajikatae,na kashamwambia yeye shida yake ni nyumba tu
 
Una element za kike
 
Mzee hiyo nyumba muachie bi mdogo tu maana ni urithi wa wanao rudisha majeshi kwa bimkubwa maisha yaendelee unavyozidi kumfikiria ndivyo unapata stress zaidi kubali tu mapenzi ya bimdogo kwako hayajawahi kuwepo toka mnaishi
 
Uza gawana na huyo mama mtoto wako pasu kwa pasu kisha fedha zote nenda nazo kwa mkeo mkafanyie mambo mengine

Hili liwe somo kwako, jitahidi tu kuyajenga na mkeo kama kweli unampenda kama ulivyotueleza hapa.
baadae akirudi je fedha zimeisha...?!
 
Wewe akili zako siyo nzuri,daima nitakwambia ukweli. Either huna malezi mazuri au kaelimu ulichonacho kanakufanya ujione unajua sana
Hii takataka haijielewi, iko very emotional and short tempered, kindly ipuuze
 
Hapa napata picha kwamba ulishatoka kwa bi mkubwa ukahamia kwa mchepuko ambaye unamuita mke. Na nachoona ni kwamba labda hukaribishwi tena kwa bi mkubwa kwa hiyo unaendelea kupambana na mchepuko.
Ila sielewi kwa nn unamganda mtu anayekutesa na asiyekupenda, hata km mapenzi upofu wewe sasa umezidisha. Miaka 50 unatakiwa kuwa na utulivu wa akili na aman tele ukijiandaa kwa kustaafu, sasa una matatizo km kijana wa 30s au early 40s.

Kwani kinachikuweka kwa huyo mwanamke ni nn kwa sababu bila kujua ni kwa nini ujitese hivyo basi hutapata ushauri wa maana. Kwa simulizi si ajabu hamna faragha kwa miaka, hajakuhudumia km mpenzi kwa miaka, sasa nini kinachokubakiza kwake?.
 
Hapa angalau umeanza kuongea km mwanaume, bado kimoja mali isikufanye uwe mtumwa. Kwa kuwa ana watoto na wewe hicho kiwanja waandikie watoto hati na wewe uwe msimamizi wao ili asiweze kuuza na uwaache waendelee na maisha yao.
 
Nakushaur


Badili hati waandikie watoto wewe uwe msimamizi kwa kuwa wapo chini ya 18. Kisha waache waishi hapo wewe tafuta amani yako kabla hujakutana na kitu chenye ncha kali ukapata ulemavu wa kidumu kama hutabahatika kufa.
 
Umenichekesha sana
 
Ahsanteni sana wapendwa, ushauri wenu,
Mmekuwa ni msaada mkubwa sana kwangu,

Kiujumla nitambua wapi nilikosea,baada ya ushauri wenu mzuri sana nimejifunza mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu hasa kwenye mambo ya mahusiaona,

Kwa wale waliokuwa na wasiwasi kuwa hiki kisa sio cha kweli, niwatoe wasiwasi huo kuwa ni cha KWELI hasa.

Uamuzi wangu wa mwisho baada ya ushaui wenu ni kupiga nyumba bei na kujenga nyingine kwa ajili ya Watoto,

Na sehemu ya kuijenga ni kati una nyumbani kwetu kijijini lakini mjini sio kijijini

Nimeamua niijenge huko kwa sababu mbili

Kwanza nimeamua nikistaafu kunako majaliwa nitahamia huko kijijini

Pili, sitaki mama siku aje arudi na kukaa nao huku tena na kufaidi tena nyumba ya guys kwa mgongo wa watoto

Vile vile ikiwa kule, itakuwa rahisi kuwa nao, na wenyewe wajione ni sehemu ya ukoo wetu kule karibu zaidi

Kwa hayo machache Ahsanteni sana.

Ombi kwa MODE,

Naomba nisamehe sana, najua kuna sehemu nilikosea, na ukanifungia,
Lakini ni mhemko ulinipatia sina tabia hizo za kihuni

Ahsante sana kwa kunielewa
 
Aise wewe mwanaume wa pekee, sijui mnakuwaga wapi jamani [emoji7][emoji7] hivi nikuulize bimkubwa akifanya haya si ndiyo mwanzo wakutafuta michepuko eti mke anazingua huko unaenda kujipoza?
 
Huyo uncle wako wasubili uzeeni labda aombe kuondoka mapema haaa haaa .
 
Hata wewe ulikuwa na matatizo flani samahani lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…