Sawa, kila mtu ni wa kipekee kwa namna fulani...Bwana wewe wasengerema wachache hawawezi kunizuia kuandika ninachosikia humu, wengine comments ya kawaida wanaanza matusi hasa wasipopenda ninachoandika. Na Mimi nasema hata dunia nzima ikiniona punguani I don't care nitazidi kuwakeeera in manaras voice.
Acheeeeeni ni wakeeeeere jamani niacheni tu jinsi nilivo I won't change
Ni matunda ya mazao muliyoyapanda mkuu[emoji23][emoji23]Nilishauriwa hivi hivi, kwa heshima na taadhima nikatekeleza, nilipojaribu kurudi kundini hata kundi lenyewe halikuwepo tena ,yaani bi mkubwa akawa kichaa kuliko mchepuko na hivi sasa naenjoy maisha ya ubachela!! Yaani wee acha tu
Nadhani tatizo liko kwa mode,Sehemeu ya 21 ndio mwisho au, maaana nashindwa kupata muendelezo kwenye original post?
Nilishauriwa hivi hivi, kwa heshima na taadhima nikatekeleza, nilipojaribu kurudi kundini hata kundi lenyewe halikuwepo tena ,yaani bi mkubwa akawa kichaa kuliko mchepuko na hivi sasa naenjoy maisha ya ubachela!! Yaani wee ac
Du., hii nayo kashesheNilishauriwa hivi hivi, kwa heshima na taadhima nikatekeleza, nilipojaribu kurudi kundini hata kundi lenyewe halikuwepo tena ,yaani bi mkubwa akawa kichaa kuliko mchepuko na hivi sasa naenjoy maisha ya ubachela!! Yaani wee acha tu
Kosea watoto wako afu waache waishi na uchungu kwa kujidanganya "mzazi hakosei". Utavuna matunda ya uchungu waoUmrudie na Mungu kiukweli haswaaa ufanye toba ya kweli Mungu ni msamehevu sana!!na muombe msamaha mkeo pia watoto wako huna mamlaka ya kuwaomba msamaha hao ni watoto watulie tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mimi naona mpe taarifa bi mkubwa na umwambie una nyumba umwonyeshe pia na hilo shamba, ili siku bi mdogo akirudi kudai utakuwa na mtu wa kupigana upande wako.
Na bi mdogo akitambua issue ishafika kwa bi mkubwa atakosa nguvu
Sasa mke mkubwa umrudie wakati hata nguvu za kugegeda huna na ana watoto wakubwa unafikiri ningehangaika na wewe, wanawake huwa watulivu watoto wakishakuwa wakubwa utajiju mwenyewe. Tafta mke mwingine uoe
Uuuwi, haaa, wewe mwamba umenitoa machozi kweli,Mwitore, Mwitore,Mwitore. Nimekuita mara tatu! Mwache mwanamke huyo mahakamani kwa kufuata sheria zote. Pili, nyumba mwachie iwe yake na wanae lkn kabla ya kumkabidhi nyumba akugawie sehemu ya eneo lilobaki ingawa limeandikwa kwa jina la watoto,uza eneo hilo kawanunulie sehemu nyingine watoto mbali na hapo, baki na hati za eneo jipya ,utawakabidhi watoto baadae. Iwapo atakata acha kila kitu nenda zako na talaka mkononi. Mwitore, mwanamke huyu atakuua. Ama kwa kumtumia mchepuko au kwa magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza. Huyu ni bad news kwa sasa. Bi mkubwa na wanae wanakupenda na kukuhitaji. Usiwe selfish ukawapa majonzi ya ujane na uyatima! Rudi kwa mkeo na wanao na wala usigeuke nyuma tena. Utakuwa umejiepusha na mengi. Umekuwa mwema sana pande zote mbili, baba na mume bora kabisa kuwahi kutokea, muungwana, msomi, mwenye upendo, baba ambaye kila mtoto anatamani awe baba yake. Mwitore rudi kwa bi mkubwa kaa naye angalau kwa miezi mitatu bila kumfikiria huyu chizi uone ulichokikosa kwa kutokuwepo kwako! Rudi nyumbani Mwitore kumenoga
Wakati mwingine unanipa mawazo mazuri, wakati mwingine unanisimanga, wakati mwingine matusi, sasa upo upande gani, maana huna msimamo, unakuwa kama mbwa, ukipigiwa uruzi kuku upo, ukipigwa huku upoNa wanaume wengi wanarudigi kwa wake zao uzeeni, wameshajichokea apeche alolo. Muda huo mama anaenjoy matunda ya watoto wake, kwa kweli huyo mume liability wa kazi tena akwendreeeeee asiharibu vibe la maisha
Wakati mwingine unanipa mawazo mazuri, wakati mwingine unanisimanga, wakati mwingine matusi, sasa upo upande gani, maana huna msimamo, unakuwa kama mbwa, ukipigiwa uruzi kuku upo, ukipigwa huku upo
Kuwa na msimamo aunt
Some people here in JF wanaweza kukuchukia wengine ni stress za maisha tu, how can you hate someone you don't know,pia we differ kwanini utukane mwingine kisa eti comments zake huzipendi. Tujifunze uvumilivu temetofautiana tujifunze kuvumiliana that's all, na sio kuchukiana kisa different opinions
Kufa nitakufa tu,Achana na hiyo nyumba, hiyo mil unayoiwaza hata yeye anaiwaza na labda bwanaake naye anaiwaza, mwachie. Nyumba ndio itakuua. Kaa mbali nayo! Hiyo mil 300 kila mmoja anaitaka. Waachie na nyumba nenda. Bila huyu mjinga wewe una uchumi wa juu kabisa. Umefikia mahali pa kula bata la ukweli kwa kipato chako unaweza kabisa, hiyo nyumba ni downfall yako. Kaza roho nenda
Na wanaume hawajui mke anaweza kuishi na wewe vile hajawa vizuri kiuchumi na watoto wadogo, watoto wakishakuwa na wewe nguvu zimekuishia hamna tena heshima, maana wanawake kuna ukifika ukishakuwa na watoto mwanaume ni Minor issue. Bora ukijua ulimtesa ujana usirudi uzeeni eti akutunze kila mtu ale alipopeleka mbogaNa wanaume wengi wanarudigi kwa wake zao uzeeni, wameshajichokea apeche alolo. Muda huo mama anaenjoy matunda ya watoto wake, kwa kweli huyo mume liability wa kazi tena akwendreeeeee asiharibu vibe la maisha
Ahsante shemeji,Hahahaha hadi umenitilia huruma jamani. Kwa sababu leo wewe ndio muhanga, yote unayotupiwa wewe yapokee tu, kisha yatumie kujenga maisha yako. Though sidhani kama kuna comment ya matusi nimekutumia
Comments nyingine hazikuhusu wewe directly, zinahusu experiences za maisha tu kwa ujumla. So kuwa tu na amani shemeji.
Ahsante shemeji,
Lakini ujue nini, comment zenu kuna watu wengine zina wauma humu, wako kimya tu
Wanapapa experience through mimi
Ha ha ha ha
Mimi nimeshaziolea wala sina shida
Maana mambo mengine kuwa uyaone
Na wanaume hawajui mke anaweza kuishi na wewe vile hajawa vizuri kiuchumi na watoto wadogo, watoto wakishakuwa na wewe nguvu zimekuishia hamna tena heshima, maana wanawake kuna ukifika ukishakuwa na watoto mwanaume ni Minor issue. Bora ukijua ulimtesa ujana usirudi uzeeni eti akutunze kila mtu ale alipopeleka mboga
Cariha hilo ni nalo ni neno,Na wanaume hawajui mke anaweza kuishi na wewe vile hajawa vizuri kiuchumi na watoto wadogo, watoto wakishakuwa na wewe nguvu zimekuishia hamna tena heshima, maana wanawake kuna ukifika ukishakuwa na watoto mwanaume ni Minor issue. Bora ukijua ulimtesa ujana usirudi uzeeni eti akutunze kila mtu ale alipopeleka mboga
Mungu awasaidie wanaume matatizo mengi hujitakia wenyeweEeh si ndiyo tunasemaga tu "nipo tu kwa ajili ya watoto wangu". Fainali uzeeni
Uza tu kma inawezekana,huyo bwana ake amjengee yake kama ni rahis,mimi siwezi kwenda ishi kwenye nyumba alojenga mwanaume mwenzanguKufa nitakufa tu,
Hata kama sio nyumba hii,
Lakini kuishi naona anafaidi nyumba ya na dume mwingine bora nife tu, kuliko kuiumiza roho yangu mpaka nife,
Kuuza nitauza mimi lakini simwachii ng’ooo,
Hilo niwe tajili kama Bakhresa siwezi
Ni hili nimeshalisema sana humu