Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Bwana wewe wasengerema wachache hawawezi kunizuia kuandika ninachosikia humu, wengine comments ya kawaida wanaanza matusi hasa wasipopenda ninachoandika. Na Mimi nasema hata dunia nzima ikiniona punguani I don't care nitazidi kuwakeeera in manaras voice.
Acheeeeeni ni wakeeeeere jamani niacheni tu jinsi nilivo I won't change
Sawa, kila mtu ni wa kipekee kwa namna fulani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemeu ya 21 ndio mwisho au, maaana nashindwa kupata muendelezo kwenye original post?
Nadhani tatizo liko kwa mode,
Maana hata mimi kuna reply nyingi sana nashindwa kuziona, lakini zipo kwenye inbox
Nilishauriwa hivi hivi, kwa heshima na taadhima nikatekeleza, nilipojaribu kurudi kundini hata kundi lenyewe halikuwepo tena ,yaani bi mkubwa akawa kichaa kuliko mchepuko na hivi sasa naenjoy maisha ya ubachela!! Yaani wee ac
 
Nilishauriwa hivi hivi, kwa heshima na taadhima nikatekeleza, nilipojaribu kurudi kundini hata kundi lenyewe halikuwepo tena ,yaani bi mkubwa akawa kichaa kuliko mchepuko na hivi sasa naenjoy maisha ya ubachela!! Yaani wee acha tu
Du., hii nayo kasheshe
 
Umrudie na Mungu kiukweli haswaaa ufanye toba ya kweli Mungu ni msamehevu sana!!na muombe msamaha mkeo pia watoto wako huna mamlaka ya kuwaomba msamaha hao ni watoto watulie tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosea watoto wako afu waache waishi na uchungu kwa kujidanganya "mzazi hakosei". Utavuna matunda ya uchungu wao
 
Inategemea na bi mkubwa yuko vipi. Ukute ndiyo sasa hivi yuko busy anakula matunda ya uzao wake afu aanze kujipa stress za kujiingiza kwenye migogoro asiyoijua. Halafu kuna sehemu alisema bi mkubwa alipogundua kuwa kuna watoto wa nje alimwambia tu awajengee nyumba yao hukohuko, hataki ushirika kwenye nyumba yake. Leo ndiyo atakubali akapigane vita isiyomuhusu?
Mzee mimi naona mpe taarifa bi mkubwa na umwambie una nyumba umwonyeshe pia na hilo shamba, ili siku bi mdogo akirudi kudai utakuwa na mtu wa kupigana upande wako.

Na bi mdogo akitambua issue ishafika kwa bi mkubwa atakosa nguvu
 
Na wanaume wengi wanarudigi kwa wake zao uzeeni, wameshajichokea apeche alolo. Muda huo mama anaenjoy matunda ya watoto wake, kwa kweli huyo mume liability wa kazi tena akwendreeeeee asiharibu vibe la maisha
Sasa mke mkubwa umrudie wakati hata nguvu za kugegeda huna na ana watoto wakubwa unafikiri ningehangaika na wewe, wanawake huwa watulivu watoto wakishakuwa wakubwa utajiju mwenyewe. Tafta mke mwingine uoe
 
Mwitore, Mwitore,Mwitore. Nimekuita mara tatu! Mwache mwanamke huyo mahakamani kwa kufuata sheria zote. Pili, nyumba mwachie iwe yake na wanae lkn kabla ya kumkabidhi nyumba akugawie sehemu ya eneo lilobaki ingawa limeandikwa kwa jina la watoto,uza eneo hilo kawanunulie sehemu nyingine watoto mbali na hapo, baki na hati za eneo jipya ,utawakabidhi watoto baadae. Iwapo atakata acha kila kitu nenda zako na talaka mkononi. Mwitore, mwanamke huyu atakuua. Ama kwa kumtumia mchepuko au kwa magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza. Huyu ni bad news kwa sasa. Bi mkubwa na wanae wanakupenda na kukuhitaji. Usiwe selfish ukawapa majonzi ya ujane na uyatima! Rudi kwa mkeo na wanao na wala usigeuke nyuma tena. Utakuwa umejiepusha na mengi. Umekuwa mwema sana pande zote mbili, baba na mume bora kabisa kuwahi kutokea, muungwana, msomi, mwenye upendo, baba ambaye kila mtoto anatamani awe baba yake. Mwitore rudi kwa bi mkubwa kaa naye angalau kwa miezi mitatu bila kumfikiria huyu chizi uone ulichokikosa kwa kutokuwepo kwako! Rudi nyumbani Mwitore kumenoga
Uuuwi, haaa, wewe mwamba umenitoa machozi kweli,

Lakini kuhusu mahakamani ataenda yeye, nilifanya ujinga wa kumpeleka mahakamani 2018, bahati nikafuta, kesi, nilitonywa na mtu anayemfahamu vizuri tabia zao, akaniambia nisithubutu kukubali kuuza nyumba na kugawana naye
Maana hana adabu, atachukua pesa, akajenge nyumba yake, halafu atakuwa ananitumia mapicha na mahawara zake kwenye whatspat kuninanga,
Yule bwana alisema hapo ndio nitakuwa chizi kabisa,
Nilipofuta ile kesi ndio akaishiwa matumaini kabisa

Nilienda mahakamani ili nyumba iuzwe, sasa hivi aende mwenyewe kudai hicho anachofikiri ni chake,
Tutapambana hukohuko,
Lakini mimi naendelea na mipango ya kupiga bei,

Hapo umesema nimwachie nyumba halafu niuze kiwanja nikawajengee tena watoto,
Shida yote ya nini hiyo
 
Na wanaume wengi wanarudigi kwa wake zao uzeeni, wameshajichokea apeche alolo. Muda huo mama anaenjoy matunda ya watoto wake, kwa kweli huyo mume liability wa kazi tena akwendreeeeee asiharibu vibe la maisha
Wakati mwingine unanipa mawazo mazuri, wakati mwingine unanisimanga, wakati mwingine matusi, sasa upo upande gani, maana huna msimamo, unakuwa kama mbwa, ukipigiwa uruzi kuku upo, ukipigwa huku upo

Kuwa na msimamo aunt
 
Hahahaha hadi umenitilia huruma jamani. Kwa sababu leo wewe ndio muhanga, yote unayotupiwa wewe yapokee tu, kisha yatumie kujenga maisha yako. Though sidhani kama kuna comment ya matusi nimekutumia

Comments nyingine hazikuhusu wewe directly, zinahusu experiences za maisha tu kwa ujumla. So kuwa tu na amani shemeji.
Wakati mwingine unanipa mawazo mazuri, wakati mwingine unanisimanga, wakati mwingine matusi, sasa upo upande gani, maana huna msimamo, unakuwa kama mbwa, ukipigiwa uruzi kuku upo, ukipigwa huku upo

Kuwa na msimamo aunt
 
Sawa, kila mtu ni wa kipekee kwa namna fulani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Some people here in JF wanaweza kukuchukia wengine ni stress za maisha tu, how can you hate someone you don't know,pia we differ kwanini utukane mwingine kisa eti comments zake huzipendi. Tujifunze uvumilivu temetofautiana tujifunze kuvumiliana that's all, na sio kuchukiana kisa different opinions
 
Achana na hiyo nyumba, hiyo mil unayoiwaza hata yeye anaiwaza na labda bwanaake naye anaiwaza, mwachie. Nyumba ndio itakuua. Kaa mbali nayo! Hiyo mil 300 kila mmoja anaitaka. Waachie na nyumba nenda. Bila huyu mjinga wewe una uchumi wa juu kabisa. Umefikia mahali pa kula bata la ukweli kwa kipato chako unaweza kabisa, hiyo nyumba ni downfall yako. Kaza roho nenda
Kufa nitakufa tu,
Hata kama sio nyumba hii,

Lakini kuishi naona anafaidi nyumba ya na dume mwingine bora nife tu, kuliko kuiumiza roho yangu mpaka nife,

Kuuza nitauza mimi lakini simwachii ng’ooo,

Hilo niwe tajili kama Bakhresa siwezi

Ni hili nimeshalisema sana humu
 
Na wanaume wengi wanarudigi kwa wake zao uzeeni, wameshajichokea apeche alolo. Muda huo mama anaenjoy matunda ya watoto wake, kwa kweli huyo mume liability wa kazi tena akwendreeeeee asiharibu vibe la maisha
Na wanaume hawajui mke anaweza kuishi na wewe vile hajawa vizuri kiuchumi na watoto wadogo, watoto wakishakuwa na wewe nguvu zimekuishia hamna tena heshima, maana wanawake kuna ukifika ukishakuwa na watoto mwanaume ni Minor issue. Bora ukijua ulimtesa ujana usirudi uzeeni eti akutunze kila mtu ale alipopeleka mboga
 
Hahahaha hadi umenitilia huruma jamani. Kwa sababu leo wewe ndio muhanga, yote unayotupiwa wewe yapokee tu, kisha yatumie kujenga maisha yako. Though sidhani kama kuna comment ya matusi nimekutumia

Comments nyingine hazikuhusu wewe directly, zinahusu experiences za maisha tu kwa ujumla. So kuwa tu na amani shemeji.
Ahsante shemeji,
Lakini ujue nini, comment zenu kuna watu wengine zina wauma humu, wako kimya tu

Wanapapa experience through mimi

Ha ha ha ha
Mimi nimeshaziolea wala sina shida

Maana mambo mengine kuwa uyaone
 
Hahaha wapo wengi tu shemeji, wanagugumia kimya kimya. Lakini at least inawapa experiences kuwa wake za ndoa na watoto huwa wanajisikiaje na wanapitia vitu gani kisa tu nyie mmeamua kuchepuka. Na hata matokeo ya usaliti yalivyo; so wengine wabadili mienendo yao kabla haijawa too late.
Ahsante shemeji,
Lakini ujue nini, comment zenu kuna watu wengine zina wauma humu, wako kimya tu

Wanapapa experience through mimi

Ha ha ha ha
Mimi nimeshaziolea wala sina shida

Maana mambo mengine kuwa uyaone
 
Eeh si ndiyo tunasemaga tu "nipo tu kwa ajili ya watoto wangu". Fainali uzeeni
Na wanaume hawajui mke anaweza kuishi na wewe vile hajawa vizuri kiuchumi na watoto wadogo, watoto wakishakuwa na wewe nguvu zimekuishia hamna tena heshima, maana wanawake kuna ukifika ukishakuwa na watoto mwanaume ni Minor issue. Bora ukijua ulimtesa ujana usirudi uzeeni eti akutunze kila mtu ale alipopeleka mboga
 
Na wanaume hawajui mke anaweza kuishi na wewe vile hajawa vizuri kiuchumi na watoto wadogo, watoto wakishakuwa na wewe nguvu zimekuishia hamna tena heshima, maana wanawake kuna ukifika ukishakuwa na watoto mwanaume ni Minor issue. Bora ukijua ulimtesa ujana usirudi uzeeni eti akutunze kila mtu ale alipopeleka mboga
Cariha hilo ni nalo ni neno,
Lakini ngoja nikuambia, uwe umemtesa au hujamtesa, ulikuwa na mchepuko au hukuwa nao, wewe tegemea lolote laweza tokea,

Sasa Wanaume wenzangu nadhani mmeona hoja za hawa wamama,kama unauwezo PONDA MAISHA LEO, huku ukijiandalia maisha yako ya baadaye (YAKO WEWE BINAFSI IN CASE YAKITOKEA HAYO)

Lakini tu za familia kwa kiasi usijiumize ukajisahau,

Hawa watu sio ndugu zetu, ndugu yako ni mama yako tu

Shauri yenu, mimi hili nilishakijua muda mwiiiingiiii,

Kuna mwengine eti kaniambia niuze nyumba nimpe pesa mke wangu!!!!????

SIMPI NG’OOO NIMESHAJANJARUKA
 
Kufa nitakufa tu,
Hata kama sio nyumba hii,

Lakini kuishi naona anafaidi nyumba ya na dume mwingine bora nife tu, kuliko kuiumiza roho yangu mpaka nife,

Kuuza nitauza mimi lakini simwachii ng’ooo,

Hilo niwe tajili kama Bakhresa siwezi

Ni hili nimeshalisema sana humu
Uza tu kma inawezekana,huyo bwana ake amjengee yake kama ni rahis,mimi siwezi kwenda ishi kwenye nyumba alojenga mwanaume mwenzangu
 
Back
Top Bottom