Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Da , pole sana ndugu yangu, huwa inafika wakati naona dunia ya leo neno ndoa halipo, sema tu sisi wanaume tumeumbwa na roho ya uvumilivu sana ndio maana tunaweza kuishi na hawa viumbe,

Ila na sisi wanaume tuna tatizo kubwa maana sisi ndio huwadanganya hawa viumbe,

Hebu niambie huyo mkeo sasa hivi ana maisha gani huko, alishaolewa na je umeweza kumsahau?
Aliko ana maisha magumu ña mabaya kuna kipindi nilitafuta no ya huyo jamaa yake nikampigia alionyesha kujutia nakusema aliambiwa eti ameachwa yaani ña mimi alipojua ukweli naoña aliogopa vita vya mapenzi akamtelekeza ,nimekua nikimsaidia mara 1 moja na niñampango next month ñitampa mtaji kama ishara kua alinizalia watoto baada ya hapo nitabroke mawasialiano milele, kumrudia nafsi inakataa na sijaoa tena mwaka wa 3 sasa ñalea DNA yangu
 
Huu mwandiko ingawa umepindishwa pindishwa ila unafanana sana na mwandiko wa SHIMBA YA BUYENZE

Tunaendelea kupokea somo.

Nkoyi. Sikuona hii tag nisamehe...Sikuiginoa makusudi...Na huyu siyo mimi. Mimi nikiandika utajua tu kwa sababu ushamba wa Kisukuma utajionyesha. Na misukosuko ya hivi sijapitia mimi japo nina kifua cha kubeba mambo mazito na magumu [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Angekuwa yeye mimi ningekuwa shahidi,akiwa na yule cheupe bonge tulikuwa tukiishi wote mitaa fulani Temeke.

Naam. Mtaa wa Njinjo pale kulikuwa na mjeda alinipenda sana aisee. Kidogo anipigishe pingu za maisha. Bulyaga kule nako likawepo limama Fideli. Jimama la Kichaga jeupe mkia mzito uwii. Ndiko nilikuwa namalizia boom lote la Mlimani. Halafu KaHalima.

Haka kalikuwa katoto kutoka Tanga - keupe karefu kacheshi bode dizaini fulani hivi kiuno chembamba halafu kimtako cha kishikaji matata sana. Nilianza kukafundisha tuition ya Economics form 5 halafu mambo yakaelekea ndiko siko.

Sitakaa niisahau mitaa ya Njinjo na Bulyaga kwa sababu mambo yangu mengi kama mwanaume nilijifunzia pale! Those good ole days !!!
 
Nkoyi. Sikuona hii tag nisamehe...Sikuiginoa makusudi...Na huyu siyo mimi. Mimi nikiandika utajua tu kwa sababu ushamba wa Kisukuma utajionyesha. Na misukosuko ya hivi sijapitia mimi japo nina kifua cha kubeba mambo mazito na magumu [emoji16][emoji16][emoji16]
Maelezo yako sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa baada ya kupokea lile fungu la kwanza
30m, mimi haraka sana nikaenda kupunguza madeni yangu, hata hivyo Hays kwisha,

Na yeye nikamwita kwamba tukae chini ili ile 15m yake tuipangie matumizi ya kwanza kabisa,

Ushauri wangu ilikuwa tununue kiwanja kwanza,

Sehemu ambayo sio ghari sana, Hapo sasa ndio kimbembe kilipoanza,

Ila kufupisha story nilimwambia basi wewe unataka tuanze na nini? Akanijibu hiyo pesa anataka afanyie biashara wakati ujenzi unaendelea, nikamwambia biashara mbona tumefanya na tunasnguka, hata hivvyo sio mbaya wewe kutaka kufanya biashara lakini ni bora tuwe na kiwanja kwanza.

Kusema kweli zogo lilikuwa kubwa ananipayukia na mimi natumia ubaba wangu sasa kulazimisha, ndio alipoamka kwenye kiti(tulikuwa tumekaa nje na watoto wanacheza hapo nje).

Alichoniambiakwa sauti kuu na kali ni kwamba

TOKA HAPA NA VISENTI VYAKO UNAVYONIPAGA,

Du ! Leo naambiwa visenti, yaani huyu mwanamke nimekopa pesa, nimempeleka ufundi cherehani, nimemfungulia saloon , grocer, mghahawa, dala dala, mtaji wa kuku wa kisasa.

Anaanguka namyanyua, anakopa vicoba anashindwa kumaliza nammalzia,

Nalipa watoto karo kwa mwaka jaribia Mil 6 na bado watoto ndio kwanza wanasafari, kwa nini ananivunjia heshima namna hii?

Kusema kweli sikujua kama niliokota jiwe au mti au ufagio, nimpige nao akawahi kukimbia, na mimi nikaanza kumfukuza, kama sijamrushia kila kitu ambacho mpaka leo sikijui, nikaanguka chini, yeye akaendelea sijui wapi , kusema kweli sikumwona,
Kuangalia nyuma naona watoto, kumbe na wenyewe wakawa wameshika mawe wanataka kunipigia nayo, nikaamka ili niwafukuze nikaenda chini tena , sasa hapo ndio nikaanza kusikia maumivu, na watoto wale kule wamesimama, sasa na wenyewe wanapaza sauti,
KWA NINI UNAMPIGA MAMA YETU SI UENDE KWENU!!!!!

Nitaendelea
"Kwanini unampiga mama yetu si uende kwenu"

That sumerize the lies she has been feeding your kids in your whole life [emoji24]
 
Poa,
Mimi baba yangu mdogo ana wake wanne na watoto zaidi ya 38, lakini leo anafanya vibarua vya kulimia watu, wanawake wakubwa wapo kwa watoto zao, na alikuwa ana ng’ombe za kutosha, wote wameisha kwa kusomesha watoto na mambo mbalimbali ya kufanilia. Na amekumbia kijiji kabisa kutokana na chuki za wake zake.

Wanaume ni ukweli mtakatifu , anza kuandaa future yako wewe mwenyewe,
Katika hii story, hili ndio somo kuu nililolivuna

Nitaendelea kuijali familia yangu huku nikiwa nimebeba hili somo moyoni
 
Katika hii story, hili ndio somo kuu nililolivuna

Nitaendelea kuijali familia yangu huku nikiwa nimebeba hili somo moyoni
Ni kweli ndugu yangu, bora wewe umepata hii akili, wengine humu mpaka yawakute ndio waanze kujuta na majuto ni mjukuu ( unajua watu wengi huwa wanatumia huu msemo kama kawaida tu hawajui maana yake ni kubwa sana, )

Maana yake hasa ni kuwa, wewe sasa umeshakua babu, ujana wote umepita, sasa hupendezi, huna pesa, huna kazi, nguvu huna,

Huna chochote cha kukuendeshea maisha, watoto wana familia zao, in short wewe ndio umekuwa mtoto tena, lakini watoto wenzio wanatunzwa,,

Kiujumla muda umepita na huwezi kuurudisha,

WANAUME ANDAENI MAISHA YENU YA BAADAYE!,

MAJUTO NI MJUKUU
 
"Kwanini unampiga mama yetu si uende kwenu"

That sumerize the lies she has been feeding your kids in your whole life [emoji24]
Ni kweli, ile kitu ni mmbwa kabisa,
Yaani nimemchukia huyo mtu,

Hata hivyo mtoto wa kwanza last week nimeenda kwenye graduation yake ya kumaliza form six, niliona kama kaanza kutambua kitu, maana sio introduction hizo kwa marafiki zake huku amenishika mkono kabisa,

Mama yake hakuja
 
Ni kweli ndugu yangu, bora wewe umepata hii akili, wengine humu mpaka yawakute ndio waanze kujuta na majuto ni mjukuu ( unajua watu wengi huwa wanatumia huu msemo kama kawaida tu hawajui maana yake ni kubwa sana, )

Maana yake hasa ni kuwa, wewe sasa umeshakua babu, ujana wote umepita, sasa hupendezi, huna pesa, huna kazi, nguvu huna,

Huna chochote cha kukuendeshea maisha, watoto wana familia zao, in short wewe ndio umekuwa mtoto tena, lakini watoto wenzio wanatunzwa,,

Kiujumla muda umepita na huwezi kuurudisha,

WANAUME ANDAENI MAISHA YENU YA BAADAYE!,

MAJUTO NI MJUKUU
Ndio maana huko Ulaya kwenye baadhi ya nchi, Wazee wengine huwa wanakwenda kuishi kwenye Vituo vya Wazee... Pengine kule kunakuwa pazuri socially kuliko nyumbani
 
Ni kweli, ile kitu ni mmbwa kabisa,
Yaani nimemchukia huyo mtu,

Hata hivyo mtoto wa kwanza last week nimeenda kwenye graduation yake ya kumaliza form six, niliona kama kaanza kutambua kitu, maana sio introduction hizo kwa marafiki zake huku amenishika mkono kabisa,

Mama yake hakuja
Huo ndio ukweli, uzuri watoto wanapozidi kukua, wanautambua ukweli

Cha msingi ni kutowachukia watoto sababu ya vibweka vya mama yao

Kingine, fikiria suala la watoto wako kutoka nyumba zote mbili wafahamiane
 
Daa

Nasikitika kuchelewa kuuona huu Uzi.

Hongera sana kwa mapenzi mazito uliyokuwa nayo.

Huyo mke anatukukumbuka huko aliko.
 
Mzee wangu nadhani kwa maelezo yako hofu yako kubwa ni what if bi mkubwa akijua; hili ndo lakuua ndani kwa ndani pasi kujua. Pole sana aisee

Ushauri wangu;

1. Wote tunakosea huku duniani, so nenda kwa bi mkubwa kaombe msamaha na funguka kila kitu itamuuma sana but she will finallyunderstand ( Hili litakufungua sana and you will be free thereafter)

2. Bi mkubwa akishajua then huna cha kupoteza, just take care of wale watoto wako but achana na huyo bi mdogo once and for all asikuzamishe tena in love.

3. Utaishi maisha poa sana after that, na utastaafu bila majuto
 
Ahsante sana ndugu yangu
Kwa taarifa yako namshukuru sana Mungu, kwani huyu kiumbe nimeshaanza kumsahau,
Na sasa nipo katika wakati mgumu sana wa ku recall mambo aliyokuwa ananifanyia
Mpaka sasa hivi mashangaa niliezaje kuvumilia namna hii

Ila mambo yanayoniuma sana ni majibu aliyokuwa akijibu sijui alikuwa anajiamini nini

Nitakuambia majibu matatu tu ila ni mengi sana nimeandika kwenye diary yangu

1.nilpomuuliza sana kama ni kweli kaleta mwanaume ndani,alikuja kunijibu
HUJANIBIKILI WEWE

2,nilipokuwa namkumbusha huna shukrani pamoja na kukujengea nyumba, alinijibu
MWANAUME SIO WEWE TU,HATA WENGINE WANGENIJENGEA

3,nilipomwambia kuwa kuna siku tutaachana kwa kwa sababu ya tabia yako mbaya, alinijibu
MIMI KWA SIKU NATONGOZWA NA WANAUME AROBAINI, kwa hiyo usinibabaishe

Mwanaume wa mwisho niliyegundua analala naye, nimepata habari ana mchumba wake anasubiri amalize chuo aoe

Mambo ni mengi,

Kuhusu mke wangu tayari anajua ni watoto, ila kuwaleta kwake kagoma, anasema niwajengee huko huko

Na sasa hivi nimerudisha majeshi nyumbani nipo poa tu,
Nafikiria maisha yangu na maendeleo yangu mengine,

Namshukuru Mungu sijachelewa sana katika maisha yangu ya Maendeleo, hata gharama nyingine zimepungua,

Fikira 400000 per month nabaki nayo sasa hivi, sio mchezo, Mungu ni mkubwa
 
Ahsante sana ndugu yangu
Kwa taarifa yako namshukuru sana Mungu, kwani huyu kiumbe nimeshaanza kumsahau,
Na sasa nipo katika wakati mgumu sana wa ku recall mambo aliyokuwa ananifanyia
M
Jamani nipo safarini nje ni wiki ya tatu sasa huyu mtu nimeambiwa amerudi ,nisaidieni nifanyeje, mimi narudi wiki ijayo.amesikia nimesafiri na mtoto alibaki pale nyumbani ,katumia mwanya huo kurudi
 
jamani nipo safarini nje ni wiki ya tatu sasa huyu mtu nimeambiwa amerudi ,nisaidieni nifanyeje, mimi narudi wiki ijayo.amesikia nimesafiri na mtoto alibaki pale nyumbani ,katumia mwanya huo kurudi
Kwamba aliondoka nyumba uliyomjengea alafu amerudi tena au...??? Nyumba hiyo si umfukuzeee????
 
Ujue nimehisi hata ukute mke mkubwa ameshajua ila amemute tuu. Yaan babangu anijali maisha yangu yote halafu nimpotezee? Kuna shida mahali.

Baba dai Mzee Abdul alisema kuzaa si kupata.
Nachoamini mzee wetu ni kwamba bado hajakubaliana na ukweli kwamba mchepuko haukuwahi kumpenda. Tunamwambia ukweli sisi kama wanawake. Aliona hapa ndo uhakika ndo maana akakazia hapohapo. Angeenda jiua basi. Huyo mchepuko na yeye aliwaza maumivu ya mke mkubwa? Its all about her. Kila kitu anawaza juu yake hawazii mke halali.

Haijawahi kutokea mchepuko akawa na upendo wa kweli angali anajua kbs jamaa ana mkewe halali. Lazima ajipooze. Na tumeona makandolando toka mwanzo anashinda kkoo na wafanyabiashara. Kuna mengine nadhan mzee wetu anamsitiri mchepuko.

Yaani natamani sana aweze pata ujasiri wa kumweleza mkewe kila kitu. Kama wewe ni mchagga njoo tuchukue ukoo mzima tukusindikize na masale
emoji23.png
emoji23.png
utasamehewa na utapata amani kabisa.

Mungu amsaidie maana namhurumia sana. Yaani nisivyopendaga stress zaman ningeshajipeleka kwa mke wangu nimweleze kinaga ubaga.

Mapenzi ya namna hii hayajawahi fika kabisa mbali. Hayadumugi. Fedha ikiisha na kila kitu kimeish

Ujue nimehisi hata ukute mke mkubwa ameshajua ila amemute tuu. Yaan babangu anijali maisha yangu yote halafu nimpotezee? Kuna shida mahali.

Baba dai Mzee Abdul alisema kuzaa si kupata.
Nachoamini mzee wetu ni kwamba bado hajakubaliana na ukweli kwamba mchepuko haukuwahi kumpenda. Tunamwambia ukweli sisi kama wanawake. Aliona hapa ndo uhakika ndo maana akakazia hapohapo. Angeenda jiua basi. Huyo mchepuko na yeye aliwaza maumivu ya mke mkubwa? Its all about her. Kila kitu anawaza juu yake hawazii mke halali.

Haijawahi kutokea mchepuko akawa na upendo wa kweli angali anajua kbs jamaa ana mkewe halali. Lazima ajipooze. Na tumeona makandolando toka mwanzo anashinda kkoo na wafanyabiashara. Kuna mengine nadhan mzee wetu anamsitiri mchepuko.

Yaani natamani sana aweze pata ujasiri wa kumweleza mkewe kila kitu. Kama wewe ni mchagga njoo tuchukue ukoo mzima tukusindikize na masale[emoji23][emoji23] utasamehewa na utapata amani kabisa.

Mungu amsaidie maana namhurumia sana. Yaani nisivyopendaga stress zaman ningeshajipeleka kwa mke wangu nimweleze kinaga ubaga.

Mapenzi ya namna hii hayajawahi fika kabisa mbali. Hayadumugi. Fedha ikiisha na kila kitu kimeisha.
😅😅😅😅 Umenikumbusha masale... Nilifanyaga kosa bwana nikafukuzwa nyumbani (Ila wazazi bna, cjui wanawazaga nn) nikasepa nikaenda kujipanga kimaisha nikarudi kuomba msamaha ili wasiseme maisha yamempiga ndo naamua kurudi... Dada yangu ndo akaniambia nitafute hayo majani.... Yeye aliyaita isaalee
 
Jamani nipo safarini nje ni wiki ya tatu sasa huyu mtu nimeambiwa amerudi ,nisaidieni nifanyeje, mimi narudi wiki ijayo.amesikia nimesafiri na mtoto alibaki pale nyumbani ,katumia mwanya huo kurudi
Kinyago umechonga mwenyewe saivi kinakutisha! Inamaana hauna maamuzi kabisa! Si na nyumba ulisema unauza na umerudi kwa bi mkubwa sasa tena mchepu karudi wapi?
 
Back
Top Bottom