Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

Huyu mtoto kuna asilimia kubwa akawa si wako! Pengine kawaambia ndugu zake ukweli hili na wao wanashindwa wakusaidiaje!
 
Mkuu kama kama una ndoa kwa nn ukimpeleke kwenye dawati la jinsia.
 
Ushauri mzuri ila unamaneno machafu,yaani kinywa chako kichafu.Samahani kama ntakukwanza maana umetamka shit.
Am sorry....! Mwenzenu nina tatizo nikiona mwanaume anafanyiwa ujinga na mwanamke huwa inanivuruga akili cos sipendi hii kitu toka moyoni
 
Ushauri mzuri sana
 
Kwani mtoto mwenyew anasemaje mkuu
 
Kuna kitu hebu niwaeleze wanaume wenzangu.

Huo upumbafu wa kujisema mimi na mtoto ni kopi moja ufuteni kabisa vichwani mwenu, mimi kuna mwanamke namahusiano nae ana mtoto, ukinikuta na yule mtoto huulizi kuwa si mwanangu.

Tunafanana huulizi, hata tabia zetu nyingi zipo sawa, mara ya kwanza mawifi wa yule mwanamke waliponiona wakamuuliza mama mtoto, hebu tuambie ukweli kuhusu baba mtoto. Sikuwahi kukutana nae kabla ya kuzaliwa huyu mtoto na ajabu sasa mtoto huyu tunabond hatari.

Faza huyo mtoto kajiridhishe kwanza kama ni wako kweli.
 
Kwenye swala la maamuzi kweli tunatofautiana mnooo!

Huwa sina urafiki na upumbavu, naishi na mwanamke, aniletee machejo kwa ujinga wake worse enough aondoke nyumbani bila kuniaga mimi nianze kuweweseka kumtafuta! Never.

Kuna mwanamke nilikuwa naishi nae, tukatofautiana ile jumamosi kabla ya kimbunga kutahadharishwa, jumapili ya kimbunga nimeondoka zangu kazini, kurudi jioni nakuta giza nikajua tu mtu keshasepa na mbaya zaidi kuna vitu vyangu aliondoka navyo, sikutaarifiwa wala kuagwa.

Nikaangalia baadhi ya vitu vyangu nikavikuta basi nikafuta namba zake nikaenda jikoni kupika nikala nikaanza maisha mapya. Mpaka leo hii sijamtafuta wala sina mpango huo.
 
Halafu baadae mtoto akikua mama anammezesha sumu baba ako aliniacha na baada ya hapo hakuwahi kutoa huduma.Na mtoto anaamini maneno ya mama na kuweka chuki dhidi yako.Kina mama sie sometimes tunazingua.
 
Halafu baadae mtoto akikua mama anammezesha sumu baba ako aliniacha na baada ya hapo hakuwahi kutoa huduma.Na mtoto anaamini maneno ya mama na kuweka chuki dhidi yako.Kina mama sie sometimes tunazingua.
Yeah possible coz lengo la kumficha mtt ni kutaka atengeneze mazingira ya kuonekana badae kuwa yeye pekee ndo aliemtunza mtoto na ndoivo anakusudia kukifanya kwangu.
 
weee!! kweli jembe!!! Ila kumbuka sisi ke ni wachawi sana!!! Kupitia kwa mama zao!!! Na siku akiondoka hakufungui!!

Mtu amendoka mwenyewe umesha mkunyuga weeee!! Masiku bwena Mpaka vijambo kajampa weee!! Anakutisha nini??

Just huyu amekupunguzia mzigo shukuru Mungu huenda angekuua na ukimwi!!! Tena ikibidi msindikizie na kadawa ka kufukuza mtu mbali asikufirie kamwe!!

Ke wooote!! hawa utakuja pata ke bomba!! wewe mpaka ujiulize!!
" pale kwenye takataka ile nilitaka nini?? amini usiamini kuna mema yanakuja!! Utaliaaaa....
 
Yeah possible coz lengo la kumficha mtt ni kutaka atengeneze mazingira ya kuonekana badae kuwa yeye pekee ndo aliemtunza mtoto na ndoivo anakusudia kukifanya kwangu.
Loool!! Tuliza ball!! Hata akitengeneza wkt siyo kweli haikuhusu!! Ni yao hayo@!!

Hata akikutelekeza!! Akikujali hii ni kwa faida yake mwenyewe!! Hakwepi!! Respond yake kwako yeye itakuwa mara dufu!!
Hata kabla uzee haujamfika hivi...tulia nia yako njema itakuokoa...
 
Mmh jamani, kwani ulidhani mi ni gaidi???
Teeeh!!tetetw!! yaani ulivo vaa!! Vaa! Tu best daaa! Kwenye hiyo avatar yako!!
Nikaona hapa naweza pigwa risasi
.nikae mkao wa kula...

Avatar bana inaendana na mtu!! Wengine mnawekaga za ukweli...
 
Teeeh!!tetetw!! yaani ulivo vaa!! Vaa! Tu best daaa! Kwenye hiyo avatar yako!!
Nikaona hapa naweza pigwa risasi
.nikae mkao wa kula...

Avatar bana inaendana na mtu!! Wengine mnawekaga za ukweli...
Mi ni mpole kuliko hata upole wenyewe 😊, usitishwe na avatar
 
Fungia vioo huyo mwanamke, na weka tinted kabisa...

Pili, tafuta msaada wa kisheria ili mwisho wa siku kama huyo ni mwanao kweli akiwa mkubwa ajue kuna babaye (anaweza akalishwa sumu ya maneno kuwa uliwatelekeza)
 
There's some truth
 
Pole sana,,,kisa chako kinafanana na changu kabisa..Ila utofauti ni kwamba Mimi nilienda Mererani kumchukua mwanangu mdogo wa miaka miwili,,.. Nakuja nae Mbeya mpaka mwezi huu wa nane anatimiza miaka minne naishi nae poa Sana,,,,...
 
Mtoto anarithi pande mbili aidha kwa mama au kwa baba unaweza kuta akili ya wazazi na binti yao ni inafanana,kwa mawazo yangu atafute mwanamke mwingine ajiridhishe kama kweli anampenda azae nae kingine akili yake yote apambane kutafuta pesa mtoto hajawahi kumkataa baba mwenye pesa labda kuwe sababu nyingine na asimpigie simu kabisa wa kuulizia kuhusu huyo mwanamke kama ni matumizi ya mtoto atume kupitia kwa bibi wa mtoto sisi ndo tunavyoishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…