Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Demu hasomeshwi. Acha kujivesha jukumu la wazazi wake.

Labda kama unamsaidia tu, just like msaada to a stranger, WITH NO expectation of 'pay back'.

Ila kama unaamua kumsomesha kwa 'romantic expectations'... jiandae kulilia chooni in near future! 😎

-Kaveli-
 
FB_IMG_16865052098840542.jpg

Angalia vidole vyake ukikuta vipo namna hii kimbia maana atakula hadi maisha yako
 
Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali

Kama umeamua kumsomesha just kumsaidia without expecting anything na uwe na uhakika hata akikuacha hautaumia its okay msomeshe

Ila ukumbuke MCHUMBA HASOMESHWI

Ukiona hiyo hela inakuwasha zaidi naomba niazime mimi nna matumizi nayo ntakurudishia[emoji3]
 
Ww hujui kuandika unamsomeshaje dem
Yan nipo njia panda mkuu huyu binti saiv ndo anataka kuanza chuo yan first year nimekuwa nae kwenye mahusiano tangia yupo anasoma advance ila mimi nimempita sana kiumri na kimaisha naifahamu familia yao haiko sawa kiuchumi sasa juzi alikuja kunitembelea mjengoni kwenye maongezi ndo akaniomba hivyo ninacho mpendea ni msikivu sana kwangu na mtiifu sana na siyo mtu wa kuomba hela kabisa hili ndo lililo nivutia tangia mwanzo ndo nikawa nae hadi leo sasa limekuja hili la kuomba nimsomeshe ndo nipo njia panda hapa
 
Back
Top Bottom