Eng Nyahucho
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 688
- 1,152
Itakula kwako ndugu yangu, mtu pekee wa kumsomesha ni watoto wako, Dada/kaka zako au ndugu wa karibu yako..
Kwa umri niliofikia, nina mke na watoto lakini mwanamke kuaminika ni ngumu sana ndugu yangu, utaachwa na maumivu makali sana tena sana, hawa viumbe shukurani yao ni ndogo sana.
Labda kama una hela nyingi sana na usitegemee kumuoa hata kwa 25%, namaanisha fanya kama unasaidia tu lakini kuweka malengo juu yake achana kabisa.
Ningekupa mifano hai kama minne hivi lakini humu tumo watu tofauti tofauti hivyo haitaleta picha nzuri.
Lakini elewa bora umsaidie mshikaji wako wa kiume atakuwa na shukurani huko mbeleni kuliko mwanamke ambae atakuacha kwa mbwembwe, matusi, kejeli, dharau na kiburi. Hawana kumbukumbu hata kidogo, kuona kwao ni kufupi mno hasa ikifika sehemu ya kurudisha shukurani.