Usimsomeshe kimbia kabisa. Naleta kisa changu mwenyewe kimenitokea wiki ilopita baada ya dem kumaliza chuo tena cheti tu cha uhasibu
Oole sana mkuu ulipitia njia ambayo mimi ndo naipitia sasa hivi.
Mm nlianza mahusiano na binti mmoja mrembo tu wa kiwango chake. Alikuwa anatokea familia maskini iliyokuwa disorganised yaaan baba mama hawaelewani mzee hahudumii familia mama anahudumia kwa shida sana kuna mda watoto wanadanga ili walete chakula.
Binti huyu nlitaka nimfanye awe mke mdogo japo tunatofauti kubwa ki umri maana namzidi miaka 20 na kidogo, kwake hili halikuwa tatizo kabisa kwani alisema hapendi kudate na wavulana 20s ambao ndio lika lake. By the time tunaanza mahusiano alikuwa na 17ysr secondary school leavel. Nlimpenda kiasi kwamba nlikuwa tayari kufanya chochote kwa ajili yake haijalishi ninacho ama sina.
Baada ya mwaka mmoja kwenye relation aliniomba nimsomeshe, nikakubali kwa ahadi akiwa semester ya 2 atabeba mimba anizalie kwa vile nina tatizo la uzazi kwa shemeji yenu niliona nimepata mkombozi.
Binti huyu ieleweke ana tabia sio nzuri kimahusiano at 17 nlikuja kujua alishatoa mimba 5 na alikuwa na kijiti cha kuzuia mimba, nlijua hili mwezi wa 2 tushaanza ugomvi usioisha ila bado nlikuwa namhudumia kila kitu but tayari alikuwa ameshaanzisha mahusiano na wanaume wengine 2 au zaidi. Wa chuoni alikokua na mmoja wa huku mkoa ninapoishi nahisi walikutana kwenye bus wakapeana naamba.
Mwezi wa 2 aliniambia simu yake imeharibika anataka mpya coz ililipuka kwenye chaj nikamwambia why usipeleke ikatengenezwe maana kilichoharibika ni kitu hakizidi elf 10 mi nikakataa kununua simu mpya. Kumbe simu haikuharibika bali ilikuwa ni ujanja wa kutaka kuniblock whatsap ili nisione anachokipost. Basi akasema amenunua simu ndogo ndo tukawa tunawasiliana.
Mwezi wa 2 alikuja likizo na alikuwa anafikia kwangu akati anaondoka simu ndogo akasema inazingua pia na alisema imeharibika alivyopanda bus akasema anatumia simu ya abiria mwenzake so alivyoshuka simu ikatoweka hewani. Huwa naenda kumpokea nangari binafsi almost 250km away hivo ni return route ya 500k, hii ni kwa ajili nlitaka ajiona namjali.
Nlimuuliza ile smart mbovu nlikwambia uje nayo ipo wapi, akasema kaisahau, na simu ndogo ipo wapi, akasema ipo nitakuonyesha mpaka anaondoka sikuwahi kuiona.
Mojawapo ya makubaliano akirudi mwezi wa 3 chuon tuondoa kijiti ili hotmone zikae sawa tayari kwa mwezi wa 7 kubeba mimba, nlivyomgusia hii ishu alikataa akasema nisubiri amalize chuo.
Nikachukia japo hakujua nikagoma kutoa matumiz sababu katika kufuatilia nligundua kweli sim kubwa ililipuka system charger ili ilirekebishwa tu kesho yake.
Tumeenda miezi3 bila kumhudumia, wiki 2 zilizopita akawa ananiomba nauli za kurudia huku ambayo ni hela kidogo tu km elf80 kweli sikutuma.kumbe aliomba kwangu na kwa huyu bf2wahuku. Nlivyokataa dem alisafiri hadi kwa jamaa.
Ila one day before asafiri nlimwambia its over coz siku nipo na rafiki y3ake sehem tulikutana tu sehem mi nakula gambe na yeye yupo na jamaa yake akampigia videocall naona na rafiki yake ashaniambia kila kitu kuwa dem wako alitengeneza sim zaman tu na ana mwanaume arusha anakosoma chuo.
Sikuwa namwamini tafiki yakealivomaliza maongezi ndo akaniambia umeamini sasa shrm. Mm kupiga simu video cal haiiti andika sms hazimfikii.nikafanya trick nlikuwa na namba yangu ingine siitumii whatsap na anayo coz nina namba 3 nikadownload whatsap ingine nikainstall nikamtumia sms ilikuwa usiku akiwa tayari asharudi ila mm hajaniambia kama week hivi.asubuhi nikakuta ameipokea na ameniunblock kwenye line ya zaman naona status na kila kitu nikaona yupo na jamaa yake wamepiga picha wamelewa balaa.
Nliumia sana sana mpaka leo siko vizuri. Tena akaniambia nimekuona sehem. Sikumjibu aisee ila nlikuja kumpigia simu ya kuachana. And hili lilitokea wiki ilopita nlipo nina siku ya 4 siwezi kula naezakula kitumbua 1 asubuhi nisile tena hadi kesho yake,, nina vidonda vya tumbo nahisi utumbo unakatika, akili imevurugika nimepata kitu kinaitwa brain fog yaanbsiwezi kufanya chochote nafika job nakaa tu kamammgonjwa. Najikuta nalia sana hadsa usiku. Silali kabisa.
Kusemanukweli huyu mschana nlimpenda nikampenda nikambadilisha tabia za ulevi aliacha, umalaya aliacha alikuws bint wa kawaida kabisa. Nina mawaisliano na mdogo wake ya karibu na ananipa updates ya kila anachofanya juz weekend karudi saa 7 usiku amelewa na amebeba chupa za pombe nyingi tu, jana kaondoka saa 7 mchana hakurudi. Asonamerudia life alilokua nalo bovu.polepole nimeaanza kurudia hali ya kkawaida japo siwezi kumsahau mpaka nipate replacement.
Kimsingi hayo ndo niliyoyapitia kaka yenu namwomba ssna mungu aniongoze nisilipize kisasi
Sababu kinachoniuma sio yeye kuwa na mwanaume mwingine coz hata tukiwa kwenye relation alikuwa ananitoroka maramojamoja anaenda kulala kwa wanaume, kinachoniuma ji jinsi nilivyojitoa kwake kwa hali na mali nlitumia fedha nyingi nikijua najenga nyumba yangu kumbe nlikuwa najengea jirani, kinachoniuma ni kudanganywa. And namiss moment nilizokuws naye kwangu.