Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Yan nipo njia panda mkuu huyu binti saiv ndo anataka kuanza chuo yan first year nimekuwa nae kwenye mahusiano tangia yupo anasoma advance ila mimi nimempita sana kiumri na kimaisha naifahamu familia yao haiko sawa kiuchumi sasa juzi alikuja kunitembelea mjengoni kwenye maongezi ndo akaniomba hivyo ninacho mpendea ni msikivu sana kwangu na mtiifu sana na siyo mtu wa kuomba hela kabisa hili ndo lililo nivutia tangia mwanzo ndo nikawa nae hadi leo sasa limekuja hili la kuomba nimsomeshe ndo nipo njia panda hapa
Aombe udhamini wa mashirika bnafsi, kuna mikopo ya mama samia na had MO foundation za kudhamini wanachuo
 
Vile wanawake waliosomeshwa na wanaume kisha wakaenda kuolewa na wanaume wengine wanavyoufuatilia huu uzi👇😁😁😁
Eot.jpg
 
Mkuu ushawahi kata gogo huku unalia?
Unaoga huku unalia?

Unaangalia timu yako pendwa bar iwe simba au yanga huku unalia?

Sasa jaribu
Uone
Hawa paka wa bangladesh atakavomaliza anakugeukaje[emoji16]
Watu wanatoa ushauri kwa uchungu sasa mtoa mada kama hauta sikia jua kabisa kitacho tokea
 
Yan nipo njia panda mkuu huyu binti saiv ndo anataka kuanza chuo yan first year nimekuwa nae kwenye mahusiano tangia yupo anasoma advance ila mimi nimempita sana kiumri na kimaisha naifahamu familia yao haiko sawa kiuchumi sasa juzi alikuja kunitembelea mjengoni kwenye maongezi ndo akaniomba hivyo ninacho mpendea ni msikivu sana kwangu na mtiifu sana na siyo mtu wa kuomba hela kabisa hili ndo lililo nivutia tangia mwanzo ndo nikawa nae hadi leo sasa limekuja hili la kuomba nimsomeshe ndo nipo njia panda hapa
Usikivu na utiifu wa kuigiziwa usikuchanganye ukaingia King [emoji146] hutakuja kuamini kama ndyo yule aliyekuwa msikivu atakapoonyesha rangi yake kamili.Hii Dunia mwamini Baba au Mama Yako na Mungu hao wengine achana nao usije jutia
 
Mpeleke chuo watu tukamle huko. Mi nafanya Phd sasa. Mlete nimeshakula sana mabinti wasikivu. Anavyokusikiliza wewe ndo hata mimi atanisikiliza hivyo hivyo. Mlete tumle huku chuo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Hii nakataa, wanakutreat kama hawakujui. Sina hamu, ila ulimwengu unamfundisha na Mungu amsaidie.
Hakuna namna huenda huyu akamshukuru sio wote hufanya hivyo ,kama unamsaidia mtu we saidia TU ndio maisha yalivyo
 
Demu hasomeshwi. Acha kujivesha jukumu la wazazi wake.

Labda kama unamsaidia tu, just like msaada to a stranger, WITH NO expectation of 'pay back'.

Ila kama unaamua kumsomesha kwa 'romantic expectations'... jiandae kulilia chooni in near future! [emoji41]

-Kaveli-
I second this.
 
AlhamduliLlah, leo Waislam wapo Arafa wakitimiza nguzo ya uislam ya Haj.

Tusisahau leo ni siku ya kujiombea na kuwaombea Dua njema wengine wote, tulio hai na waliotangulia.

Pia tusisahau kuwaombea ndugu zetu wasio Waislam, asaa iwe heri nyoyo zao ziione nuru, warudi katika Uislam.

View attachment 2670498
Hovyo sana fisi
 
Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
fanya tu kama unatoa msaada ila usiweke matumaini usijejinyonga siku moja. kwani bei ya kusomesha sh ngapi? kuna watu huwa wanadiscourage kusomesha mwanamke, ukweli ni kwamba, out of ten women waliosomeshwa, ni mmoja au wawili tu huwageuka wapenzi waliowasomesha. nimeshuhudia watu wengi sana wamesomeshwa na wachumba na hadi leo wapo nao kwenye ndoa. nasema ukweli kabisa.
 
Wajinga kama nyie hampaswi shauriwa lolote lile
 
Fanya hvo
Kama unampenda
Na una uwezo wa kufanya hvo
Pia Uwe flexible Kwa lolote
 
Back
Top Bottom