kijazi07
Darasani ni kipanga tokea aanze kusoma anapasua sana na hata matokeo yake ya 4rm 4 na 4m 6 hakuna aliwah kumfikia pale kweny familia yetu
Atleast huyo ana akili sana darasani huyu shule kafika alipofika kwa kudra za Mungu sijawahi mwona anafight kuhusu shule ndomaana nilikua najiuliza
Nafikiri unamjudge tofauti pia unataka kujua anachofikiria au unachowaza kwa urahisi zaidi, Labda nikwambie kitu itakusumbua sana kuweza kuelewa ni mpaka siku akwambie au aamue kukuelewesha kama anavyokwambia anapohitaji vitu vingine.
Binafsi ninacharacter zinazoendana nae kidogo labda nikwambie kukusaidia usimsumbue pia isikusumbue.
1. Nilikua sipendi shule na nikiwa form two nilitaka niache ila nilikuwa forced mpaka kufika University Level, I was so concerned about money.... Leo hii vyeti vyangu nilimpa mzee na sijawahi kumuuliza pia sina mpango navyo, All of that nastrugle sana kufikia malengo yangu kwasababu nahisi nilipoteza muda mwingi sana shule. SIPENDI KUWA AVERAGE
2. TABIA YA KUANDIA, huwa napenda sana kuandika ila sipendi watu wajue huwa naandika nini, so Kama Kama naandika vitu secret huwa naandika kwa kurukaruka au nachanganya, yaani hakuna mtiririko sahihi wa ninavyoviandika kwamba nikimpa mtu asome kamwe hataelewa ila Mimi najua vyote nilivyoandika. Natamani Kuna kitu uelewe hapa ila nahisi ntakuchanganya
3. Napenda sana kuwa pekeangu yaani hata kuwa na mpenzi naonaga uvivu pia wengi huwa hawanielewi japo huwa najitahidi sana kujichanganya lakini nashindwa Kuna muda najifungia sitaki kuonana na mtu hata miezi inapita Mimi n kusoma na kuandika, Mostly I like Business
Mwisho nikushauri, jaribu kuchukua notebook zake za mwisho au fuatilia upangaji wake wa notebook then zisome zote kwa mtiririko naamini Kuna kitu utaelewa na utajua namna ya kumsaidia. Kuna tatizo tunalo sisi watu wa namna hii, yaani Kuna muda tunahitaji mtu Mwenye Akili nyepesi ya kutafsiri mambo ili kutufanya kuweza kutekeleza yale tunayoyataka.... Ukiweza kuelewa anachokiandika utaweza kumsaidia.