Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Kwanza mpo mbeya sehemu gani , tuanzie hapo Mbeya Girl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalifahamu hilo tatizo na sidhaniNaona maswali yangu hujayajibu, ila nilikuwa nataka nihitimishe , huenda mdogo wako akawa na shida inaitwa Autism spectrum disorder au usonji kwa kiswahili.
Moja ya viashiria vyake hasa kwa watu wazima ndo kama ulivyotaja hapo juu ingawa baadhi ya maswali hujajibu.
Mbeya cityKwanza mpo mbeya sehemu gani , tuanzie hapo Mbeya Girl
Nilikujibu labda kama hukufuatiliaNaona maswali yangu hujayajibu, ila nilikuwa nataka nihitimishe , huenda mdogo wako akawa na shida inaitwa Autism spectrum disorder au usonji kwa kiswahili.
Moja ya viashiria vyake hasa kwa watu wazima ndo kama ulivyotaja hapo juu ingawa baadhi ya maswali hujajibu.
Ni tatizo ambalo ni complicated na controversial sanaNilikujibu labda kama hukufuatilia
Nlishawahi kwenda kwenye seminar yake nalifahamu vizuriNi tatizo ambalo ni complicated na controversial sana
Ndo hivyo inaweza kuwa haijamuathiri sana ila kama ana repeated routine, she doesn't care what others feel, and always wants to be alone, she is an autistic.Nlishawahi kwenda kwenye seminar yake
Kama analo ni minor
Nikifikiria sidhani kwasababu yeye hana aibu anaweza hata kuongea mbele za watuNdo hivyo inaweza kuwa haijamuathiri sana ila kama ana repeated routine, she doesn't care what others feel, and always wants to be alone, she is an autistic.
Ndo maana nikasema hii condition ni complicated, viahshiria hutofautiana ila kuna vinavyokuwa common.Nikifikiria sidhani kwasababu yeye hana aibu anaweza hata kuongea mbele za watu
Kwasababu hana dalili nyingi za usonjiKwa nini hudhani?
Ni malezi tu ya kumlea mtoto kimama mama haiwezekan mtoto asome shule eti akiichoka tu anahamishwa. Hana talent yoyote ni ujinga tu aliojaza kichwaniHabari zenu
Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home
Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi hadi nahisi labda anatatizo sisi hatujui kwasababu kashakua mtu mzima, Zamani nilidhani labda utoto ila ndo kwanza anavo kua ndo ana improve tabia zake, muda wote anakua na ki notebook awe nnje amekaa, awe anaangalia movie etc
Ni mengi sana naweza kueleza. Nauliza kwa wenye uelewa anaweza akawa na tatizo kichwani au ni hali ya kawaida
Naongeza
Kama ni shule amesumbua sana hostel alishindwa kukaa kufika alipo fika ni shukran za foundation alio wekewa (last born)
Kasoma shule kama 6 form 1 mpaka 4. Akiichoka anajieleza vizuuuri nakuahidi anaacha utoro. Lakini wapi na amefaulu kwa mpango wa Mungu tu
Kama uhuni hana kabisaaa akitoroka anarudi home kufanya mambo yake
Sasa hizo akili mnazo sema ni zipi
Kawaida tu ... Akiskia anaitika, enheee hapendi kuongea kwa sauti kubwa(kufoka) kwahiyo ukiwa mbal ukiita Dddd anaweza piga simu au atatoka kimya kimyaNdo maana nikasema hii condition ni complicated, viahshiria hutofautiana ila kuna vinavyokuwa common.
Ukimuita jina lake anarespond haraka?
We realized it too lateNi malezi tu ya kumlea mtoto kimama mama haiwezekan mtoto asome shule eti akiichoka tu anahamishwa. Hana talent yoyote ni ujinga tu aliojaza kichwani
Mimi sio psychiatrist au psychologist lakini kwa maelezo yako clearly ni kama dalili za Anxiety Disorders.Mm pia nipo hivo tangu mdogo mpaka chuo na baada ya kumaliza chuo nilipenda kukaa mwenyewe ndo naenjoy naangalia movie naandika mstari utakaogusa moyo wangu, nasoma vitabu naandika kitu ambacho ni applicable kwangu
Kama ni weekend nitanunua mahitaji ijumaa kwahyo weekend yote nitakuwa chumbani naweza nisionekane nje na km naenda choo cha nje nasubiria hamna movement za mtu kuwepo nje ndo niende
Nimepata kikazi cha kujishkiza na interact na watu ila nakuwa nataman muda uishe nikatulie chumbani kwangu na sipend kuonana staffs wenzangu muda ambao sio wa kazi nikimwona kwa mbali nitapita njia nyingine
Tatizo langu mm naogopaga watu hasa ambao sijawazoea naonaga kuliko kwenda mjini kwenye watu wengi bora niende porini na notebook nikasome summary
Naogopaga majadiliano sana maana naweza ongea kitu kwa haraka baadae nikienda kujifungia chumbani nikiwaza au nimeongea vibaya nimemkera inaniumizaga sana au nilitakiwa kusema kitu kwa usahihi ila kutokana na majibu ya haraka nikatoa jibu sio sasa baada ya hapo nitawaza sana nikiwa mwenyewe
Sasa mwenyewe sijui km ni tatizo au sio tatizo ila mm naona hiyo tabia ndo inanipa amani
Upo Kama MimiMm pia nipo hivo tangu mdogo mpaka chuo na baada ya kumaliza chuo nilipenda kukaa mwenyewe ndo naenjoy naangalia movie naandika mstari utakaogusa moyo wangu, nasoma vitabu naandika kitu ambacho ni applicable kwangu
Kama ni weekend nitanunua mahitaji ijumaa kwahyo weekend yote nitakuwa chumbani naweza nisionekane nje na km naenda choo cha nje nasubiria hamna movement za mtu kuwepo nje ndo niende
Nimepata kikazi cha kujishkiza na interact na watu ila nakuwa nataman muda uishe nikatulie chumbani kwangu na sipend kuonana staffs wenzangu muda ambao sio wa kazi nikimwona kwa mbali nitapita njia nyingine
Tatizo langu mm naogopaga watu hasa ambao sijawazoea naonaga kuliko kwenda mjini kwenye watu wengi bora niende porini na notebook nikasome summary
Naogopaga majadiliano sana maana naweza ongea kitu kwa haraka baadae nikienda kujifungia chumbani nikiwaza au nimeongea vibaya nimemkera inaniumizaga sana au nilitakiwa kusema kitu kwa usahihi ila kutokana na majibu ya haraka nikatoa jibu sio sasa baada ya hapo nitawaza sana nikiwa mwenyewe
Sasa mwenyewe sijui km ni tatizo au sio tatizo ila mm naona hiyo tabia ndo inanipa amani
😂😂Na kaombeni hako jamani nimekapenda buree