Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

Natumaini ni wazima
Sio muandishi mzuri mnivumlie

Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri

Baada ya muda kidogo hivi nikaanza kujihisi homa nikaenda hospitali sikukutwa na tatizo lolote zaidi ya dalili ya mafua nimetumia dawa mafua yakaisha lakini Bado mwili hauko sawa Bado najihis kuumwa lakin siumw kiungo chochote na Bado hayo mambo nilipitia yananikosesha raha sana najihis nimepata sonona maana sio hali ya kawaida ni zaidi ya wiki ya tatu

Sinafuraha,
uchovu kutwa nzima
Nakosa usingizi na usingiz unaisha mapema sanaa
Appatite ya kula imepungua
kuamka kutoka kitandani ni ishu asubhi imekuwa tabu sana
Najitahid kujichangamsha hapa kwenye forum lakin kiukweli naona sio poa mnisaidie namna ya kuignore hii hali
Natanguliza shukrani....!!
Pole sana.
Una umri gani?
Inawezekana ni dalili za kimaumbile kama hujazaa mayai yanahitaji kurutubushwa au unakaribia kukoma hedhi, au unahitaji tu mtu wa kukumassage!
 
Back
Top Bottom