Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

Pole sana.
Una umri gani?
Inawezekana ni dalili za kimaumbile kama hujazaa mayai yanahitaji kurutubushwa au unakaribia kukoma hedhi, au unahitaji tu mtu wa kukumassage!
Wee kumbe inawezekana pia
Ngoja nijichunguze vizuri asante
 
Wee kumbe inawezekana pia
Ngoja nijichunguze vizuri asante
Ndio hivyo.
Wanawake tuna mambo mengi.
Wakati mwingine unahitaji tu mtu wa kukukumbatia, au kukwambia maneno mazuri, au kukutoa dinner.
Ugonjwa unaondoka wenyewe bila hata dawa.

Sasa kwa jinsi maisha yalivyopanda bei, wanaume nao full stress. Hawajui kama hatufanani nao. Wanawake tuna mahitaji mengi
 
Back
Top Bottom