proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
PM me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa
Nitakuwa wa mwisho kushauri na ndio itakuwa kupona kwako😀😀Sadala hapana
unahitaji mnyanduano matata, hiyo hali itapotelea kipindi umepiga dog style.. baada ya hapo utakuwa mwepesiii... njoo Pm kwanzaaa mambo mengine batuwe😀Nilijua tu
Mrembo anataka huduma ya kupelekewa moto nini?hahaha mimi team Mamujee, mcheki Mzee wa kupambania au Carrasco putin
Mzee hulali mama.e.Mrembo anataka huduma ya kupelekewa moto nini?
Jitahidi unywe Arvs kwa wakati usiacheNatumaini ni wazima
Sio muandishi mzuri mnivumlie
Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri
Baada ya muda kidogo hivi nikaanza kujihisi homa nikaenda hospitali sikukutwa na tatizo lolote zaidi ya dalili ya mafua nimetumia dawa mafua yakaisha lakini Bado mwili hauko sawa Bado najihis kuumwa lakin siumw kiungo chochote na Bado hayo mambo nilipitia yananikosesha raha sana najihis nimepata sonona maana sio hali ya kawaida ni zaidi ya wiki ya tatu
Sinafuraha,
uchovu kutwa nzima
Nakosa usingizi na usingiz unaisha mapema sanaa
Appatite ya kula imepungua
kuamka kutoka kitandani ni ishu asubhi imekuwa tabu sana
Najitahid kujichangamsha hapa kwenye forum lakin kiukweli naona sio poa mnisaidie namna ya kuignore hii hali
Natanguliza shukrani....!!
Ukitaka ulishinde tatizo lazima ujue chanzo cha tatizoKama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri
Bwanaee purukushani za weekend mwanawane viwanjani unajikuta umechungulia huku. Mi niko poa vipi kipande hiyo?Mzee hulali mama.e.
Kunusa Huku na kule hujambo mzeiya.
Huku mvua tu na radi za kutisha nasubiri tetemeko TU hapa.Bwanaee purukushani za weekend mwanawane viwanjani unajikuta umechungulia huku. Mi niko poa vipi kipande hiyo?
Usijali binti yangu, kitu kidogo sanaNasubiri
Mapenzi! Mapenzi! Mapenzi!Natumaini ni wazima