Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Option ya kwanza bora zaidi nazani..
Maana kipendacho roho hula nyama mbichi mkuu
 
Maamuzi unayo mwenyewe. Fuata moyo wako wa upendo unakokuongoza
 
Daaah kwanza mkuu naomba nijue wewe ni mtaalamu wa afya sio..?

Maana naona umegusia vitu kitaalamu sana..
Yaani nimesoma kwa makini sana.
Kuna kitu hapa ambacho huwenda mimi nakikosea mkuu
Mimi sio mtaalam wa afya mkuu...

Shida iko na shemeji yetu itabidi aendane na wewe sio wewe uendane nayeye. Kwahiyo ufanyike kazi ushauri huu.
 
Kwaiyo wewe hauoni kama ulevi wa mwanamke ni tatizo hapo, ila tatizo ni mwanaume kukataa kukubaliana na tabia ya ulevi ya mwanamke.
Katika hali ya kawaida ulevi siyo tatizo ila kama ukilewa unafanya vitendo vya hovyo hapo ndio tatizo, sasa siyo kila mtu akilewa hufanya vitendo vya hovyo, halafu unamaanisha ulevi ni tatizo kwa jinsia zote au kwa wanawake tu
 
Ila binadamu tunapenda kuchagua dhambi🙆‍♂️🙆‍♂️
 
sasa kataa ndoa unalia lia nini, kwanini unapoteza muda na akina ant D wakat huna mpango wowote, fanya mambo mengine mkuu
Kumbe we daudi jau wewe....

Hvi unajua kukataa ndoa sio maana kwamba mimi ndo nisijiusishe na mbususu mkuu
 
Kumbe we daudi jau wewe....

Hvi unajua kukataa ndoa sio maana kwamba mimi ndo nisijiusishe na mbususu mkuu
Sio Jau mkuu, huyo mtoto wa watu anategemea future nzuri toka kwako ndio maana alikubali kuwa na wewe pamoja na uchapombe wake, kumbe wewe huna mpango naye na uchapombe wake unakukaraisha si uache tu uishi kibaba paroko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…