Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #181
Option ya kwanza bora zaidi nazani..Be you. Ukifanya jambo ambalo si lako ila unalifanya kwa kusudio la kumfurahisha mpenzi,kaka siku ukiachika maumivu yake yatakuwa makali sana. Majuto yake yatakutesa sana. Kama si mtumiaji na hutaki kuwa mtumiaji basi una machaguo mawili;
1. Mkubaliane yeye aendelee kuwa mtumiaji na wewe ukubaliane nalo jambo ilo
2. Uachane nae ikiwa bado mapema.
Maana kipendacho roho hula nyama mbichi mkuu