Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Kweli wewe ni Poor Brain kwahiyo mapenz yakakufanya uanze kutumia pombe ili mpate vibe sawa?
Mimi nadhani uendelee tu maana kashakuzidi akili na mapenzi ni kuzoeana na kufanana nawe mzoeshe kumruka ukuta kama kweli una akili zaidi yake😁
 
Astakfillah astakfillah kuruka ukuta yaani kufanya kitendo nyuma na maumbile mkuu..
Wee ni mchawi au
 
Juzi tu nimetoka na pikipiki kariakoo hadi kigamboni ile nafika mtaani nikapata ajali PC yote imeharibika goti limepata majanga nikapiga yowe sio powa ila baada ya harakati za kwenda moi now Nina nafuu sana
Mkuu ulikua TUNGI...
Alafu wewe naonaga mara nyingi wanakuonya uache pombe..

Wewe utaendana na D kumbe
 
Astakfillah astakfillah kuruka ukuta yaani kufanya kitendo nyuma na maumbile mkuu..
Wee ni mchawi au
Sio mchawi ila penzi lenu linaonyesha wazi limejengwa katika misingi ya kumatch vibe nawe ndo mnyonge, pombe inanogesha penzi jaribuni na bangi mtakuja kunishukuru.
 
Ushauri wenyewe ndo huo usioupenda lakini kama na yeye anakupenda inampasa akuelewe hutaki pombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…