Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Mpeleke kwa Mwamposa
 
Pombe ni kama sigara huwezi mlazimisha mtu aache..ataacha mwenyewe kwa matakwa yake.

Solution ni moja tu achana nae ingawa hutaki kuambiwa hivyo basi fata ule msemo usemao ukipenda boga penda na ua lake.
Siwezi tumia dawa yoyote kumfanya achukie pombe madam
 
Mpeleke kwa Mwamposa
Na ni muumini mkubwa wa mwamposa ila uwezi amini kuna siku alinitumia video yupo huko ila alikua anakatika sijui ndo hapo nikaona kumbe huko kwa mwamposa napo jau tuu mkuu
 
Ndege wafananao ndiyo huruka pamoja!
Chagua kusuka au kunyoa! Ukipenda boga penda na ua lake.
Chagua dini au mwenzio!
Kubali kunywa pombe kama yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…