Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #121
Hata yeye ananipenda mkuu sio kama mimi ndo napenda pekea anguWatu ving"ang'anizi kama nyie ndo mnakuja kupigwa na kitu kizito mnabaki kulialia.
Poor Brain.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yeye ananipenda mkuu sio kama mimi ndo napenda pekea anguWatu ving"ang'anizi kama nyie ndo mnakuja kupigwa na kitu kizito mnabaki kulialia.
Poor Brain.
Ndo umuache bana unatuchosha. Mwache na starehe zakeMadam ujue kheri angekua akinywa ana tulia hom
Hapana ila anaweza kuja ofisini kabisa kuanzisha vurumai
Haya kila la kheri. PendaneniHata yeye ananipenda mkuu sio kama mimi ndo napenda pekea angu
😥😥😥😥 Daaah we madamu una roho ya ajabuNdo umuache bana unatuchosha. Mwache na starehe zake
Mkuu unajua kuna kitu umeongea hapo kuhusu wa saikolojia nimekielewa sana.Broo apo unakoelekea utaikumbuka hii post.
Fanya hv... kaa nae karib sana, ujue n kwann anakunywa pombe. "Hapo utaelewa kwann anakwambia hujui chochote kumhusu yy".
Ukishajua tatzo, angalia namna ya kulisolve kama kuna uwezekano. Mtaftie hata wanasaokolojia ikiwa ana hali ya kukumbuka mambo mabaya au mateso alopitia kipind cha nyuma.
Suala la ww kuanza kunywa ili uendane nae n kujiingiza kwenye moto ambao hauzimwi kwa namna yyte.
Angalia namna ya kumsaidia kabla na ww haujawa mlevi.
Hii hali na mimi imewah kunikuta kwa manzi flan nlompenda bt yy pombe kwake n kama chakula. Nilijiingiza kunywa ili nimridhishe lkn nlipotea pakubwa hadi nikampoteza huyo manzi. Aliniacha na ulevi wa kutupwa, uchumi ukayumba, nikakosana na jamii na nikaacha hata kwenda kanisani.
Baadae nilitengana nae nikajitafuta nikarud kwenye mstari. So akili n kichwan kwako.
Jadda nimependa kweli..Basi wale alpha males wa mchongo kina Natafuta Ajira and co wanachukia sana wakiona mwanaume mwenzao anampenda mwanamke kiasi hiki pamoja na madhaifu yake hivyo hukimbilia kumuita simp na ujinga mwingine, mkija humu mnavyojifanya kuwachukia wanawake na kuwaita majina ya ajabu sababu ya madhaifu yao utasema mmeoa malaika kumbe huko mliko mna magalasa yenu mmeyafuga na mnayapenda balaa, halafu sisi tukisema ukweli humu kwamba wanaume kamwe hawawezi kuacha kuwapenda wanawake hata wawe na madhaifu gani mnatuita majina ya ajabu na kudhani tunaandika matamanio yetu ilihali sisi tunaandika uhalisia
Mkuu pombe achana nayo... Na hauna sababu ya msingi ya wewe kuanza kutumia pombe.Wakuu salam
Sasa hii issue imekua very seriously..
Nachoka sana. Najaribu kumwelekeza huyu mwenzangu kuhusu pombe but still ignore me.
Ipo hivi tangu nianze mahusiano na huyu antiel D amekua mtu wa kutaka kuni fanya na mimi niwe addicted na pombe kitu ambacho mi dini yangu inakataza...
Achana na dini hata mimi kutumia hvo vitu nilishasema hapana..
Ila tangu niwe nae nimeanza kutumia japo sio sana.
Sasa kila napomshauri aachane na hivi amekua mkali kwangu na kuniambia sijui lolote kuhusu yeye..
Nimejaribu kumkwepa nisiwe natoka nae kunywa mabia sijui mapombe ila inakua ngumu sana maana anaweza kukutafutia kesi tuu ili mnuniane.
Sasa ndugu zangu hii issue na solve vipi kijana wenu..
Issue ni mimi niingie rasmi katika unywaji wa pombe ili niende nae Sawa..
Nb. Usitoe ushauri wa kumuacha still nampenda
Mkuu kuna kitu umeongea hapo nimezingatia sana..Mkuu pombe achana nayo... Na hauna sababu ya msingi ya wewe kuanza kutumia pombe.
Kwa mazingira ambavyo huwa yanakua kwa mwanamke akishakua amelewa, aisee nakuonea huruma.
Nilishawahi kukaa karibu na kakijibaa fulani aisee watu wakilewa wanakuaga viumbe wengine, na wahovy kabisa sijapata kuona, hasa wanawake naonaga kama takataka flani hivi najisikiaga vibaya kweli nilikuaga nashuhudia matendo na kauli/kinywa kichafu tokea hapo nikianaga mwanamke anakunywa pombe huwa namchukulia ni wale wale tu.
Sasa mkuu kama humuachi na yeye haachi pombe basi mwambie ajitahidi anywe pombe kistaarabu... Tofauti na hapo ni majanga.
Kama unaweza kubeba mimba ya mapacha endelea kuzungusha shanga mshamba wewe🚮🚮🚮Nikupapase wapi mkuu.....
Sasa mzee mwenzangu si umejuana nae akiwa na tabia yake iyo ya ulevi.Wakuu salam
Sasa hii issue imekua very seriously..
Nachoka sana. Najaribu kumwelekeza huyu mwenzangu kuhusu pombe but still ignore me.
Ipo hivi tangu nianze mahusiano na huyu antiel D amekua mtu wa kutaka kuni fanya na mimi niwe addicted na pombe kitu ambacho mi dini yangu inakataza...
Achana na dini hata mimi kutumia hvo vitu nilishasema hapana..
Ila tangu niwe nae nimeanza kutumia japo sio sana.
Sasa kila napomshauri aachane na hivi amekua mkali kwangu na kuniambia sijui lolote kuhusu yeye..
Nimejaribu kumkwepa nisiwe natoka nae kunywa mabia sijui mapombe ila inakua ngumu sana maana anaweza kukutafutia kesi tuu ili mnuniane.
Sasa ndugu zangu hii issue na solve vipi kijana wenu..
Issue ni mimi niingie rasmi katika unywaji wa pombe ili niende nae Sawa..
Nb. Usitoe ushauri wa kumuacha still nampenda
Siwezi na sitojarbuKunywa sana pombe full stop
Jibu swali kwanza 😄😄😄😄😄Kama unaweza kubeba mimba ya mapacha endelea kuzungusha shanga mshamba wewe🚮🚮🚮
Kwaiyo wewe hauoni kama ulevi wa mwanamke ni tatizo hapo, ila tatizo ni mwanaume kukataa kukubaliana na tabia ya ulevi ya mwanamke.Basi wale alpha males wa mchongo kina Natafuta Ajira and co wanachukia sana wakiona mwanaume mwenzao anampenda mwanamke kiasi hiki pamoja na madhaifu yake hivyo hukimbilia kumuita simp na ujinga mwingine, mkija humu mnavyojifanya kuwachukia wanawake na kuwaita majina ya ajabu sababu ya madhaifu yao utasema mmeoa malaika kumbe huko mliko mna magalasa yenu mmeyafuga na mnayapenda balaa, halafu sisi tukisema ukweli humu kwamba wanaume kamwe hawawezi kuacha kuwapenda wanawake hata wawe na madhaifu gani mnatuita majina ya ajabu na kudhani tunaandika matamanio yetu ilihali tunaandika uhalisia
Wee mkuu unasema tuuu...Hata kama una dharura kiasi gani USIOE MWANAMKE ANAYEKUNYWA POMBE