Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Wakuu salam

Sasa hii issue imekua very seriously..
Nachoka sana. Najaribu kumwelekeza huyu mwenzangu kuhusu pombe but still ignore me.

Ipo hivi tangu nianze mahusiano na huyu antiel D amekua mtu wa kutaka kuni fanya na mimi niwe addicted na pombe kitu ambacho mi dini yangu inakataza...

Achana na dini hata mimi kutumia hvo vitu nilishasema hapana..
Ila tangu niwe nae nimeanza kutumia japo sio sana.

Sasa kila napomshauri aachane na hivi amekua mkali kwangu na kuniambia sijui lolote kuhusu yeye..

Nimejaribu kumkwepa nisiwe natoka nae kunywa mabia sijui mapombe ila inakua ngumu sana maana anaweza kukutafutia kesi tuu ili mnuniane.

Sasa ndugu zangu hii issue na solve vipi kijana wenu..
Issue ni mimi niingie rasmi katika unywaji wa pombe ili niende nae Sawa..

Nb. Usitoe ushauri wa kumuacha still nampenda
Muache tu hakuna namna
 
Me napenda mwanamke mlevi akilewa akizima wewe ni kujichomekea 2.me wa kwangi analewa usiku namcjhomeka weee mpaka basi asbh akiamka anasema eti usiku sijamnyandua nimnyandue basi nami nafurahi naingia mzigoni tena nanyanduaa wee mpaka k inapwita
Bila shaka nawewe utakua mlevi mkuu Yo majesty 😆😆
 
Wakuu salam

Sasa hii issue imekua very seriously..
Nachoka sana. Najaribu kumwelekeza huyu mwenzangu kuhusu pombe but still ignore me.

Ipo hivi tangu nianze mahusiano na huyu antiel D amekua mtu wa kutaka kuni fanya na mimi niwe addicted na pombe kitu ambacho mi dini yangu inakataza...

Achana na dini hata mimi kutumia hvo vitu nilishasema hapana..
Ila tangu niwe nae nimeanza kutumia japo sio sana.

Sasa kila napomshauri aachane na hivi amekua mkali kwangu na kuniambia sijui lolote kuhusu yeye..

Nimejaribu kumkwepa nisiwe natoka nae kunywa mabia sijui mapombe ila inakua ngumu sana maana anaweza kukutafutia kesi tuu ili mnuniane.

Sasa ndugu zangu hii issue na solve vipi kijana wenu..
Issue ni mimi niingie rasmi katika unywaji wa pombe ili niende nae Sawa..

Nb. Usitoe ushauri wa kumuacha still nampenda
Ukipenda boga penda na ua lake.
 
Mkuu wewe ni Mr nice guy a.k.a Simp mda sio mrefu atarudiana na X wake utarudi tena hapa kuomba ushauri wa namna ya kuendelea naye akiwa na X wake
Kama ameweza kukubadilisha msimamo kutoka kutokunywa pombe mpaka kunywa ana vingi huko mbeleni atakubadilisha muhimu chunga Yas tuu
 
Back
Top Bottom