Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

Wewe huyo huyo demu wako anajiuza ulaya
Wewe huyo huyo una demu wakishua analindwa mpaka na mabodigadi
Wewe huyo huyo ulipigana kisa 200 na konda
😂😂😂Mkuu kama huna kazi njoo tukate viazi mbona fureshi tu maisha yanaenda
 
Juzi ulisema kuna kazi umetafutiwa na jamaa yako anakusumbua umpe ela mara sasa unafundisha chuo mambo yanaenda kasi kweli
 
Wewe huyo huyo demu wako anajiuza ulaya
Wewe huyo huyo una demu wakishua analindwa mpaka na mabodigadi
Wewe huyo huyo ulipigana kisa 200 na konda
😂😂😂Mkuu kama huna kazi njoo tukate viazi mbona fureshi tu maisha yanaenda
Right now ni lunch break ndo nmepata wasaa wa kuingia Jf
 
Jina lako linafurahisha sana mkuu 😅, ni kama lina kaukweli fulani
 
Hiyo PhD umeipata pataje ?? Ungefika hiyo ngazi ya elimu hayo uliyoyalalamikia yangekuwa ya kawaida maana wanafunzi wenzako kipindi unasoma walikuwa na hizo tabia na walivaa namna hiyo.
 
We bado bikra usijali siku ukipata demu aibu itapungua kidogo hata mimi nilikua kama wewe kilichonikera ni demu hanionei aibu alafu mi na aibu nikaona ni mambo ya kiboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…