Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Hapo endelea na huyu mwenye mimba huenda ndie uliepangiwa!
Sijajua kwa Nini huyu mwingine hakupata huo ujauzito siku zote hizo mkiwa pamoja
 
Mimba sio ya mwanamke ni ya wote wawili.
Kwhy maamuzi yoyote atakayochukua yamuathiri na yeye pia.
 
Akifanya hivi waganga watakunywa sana supu ya kuku.
 
Aisee.....upo njia panda mkuu ila jiandae tu kuvuna ulichopanda hamna namna hapo.


Extrovert Carlos The Jackal
 
Nyege ziliponza Kichwa😂
 
Umeyakanyaga Babu, ungeomba ushauri kabla hujakutana na huyu uliyemtia mimba.

Anyway apandacho mtu ndicho atakachovuna! Jiandae kwa wajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…