Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Vipimo viwili Mkuu au ni picha mbili tofauti, anyways mueleze mchumba wako ukweli ili awe huru
 
SIKUAMINI NA LEO TENA NIMETOKA KUCHUKUA VIPIMO NIMEMPIMA HOME IMO WAZEE NASHINDWA KUELEWA CHA KUFANYA NAANZAJE KUMWAMBIA UKWELI MCHUMBA WANGU NA NAJIULIZA HII DISAPPOINTMENT NITAIHENDO VIPI
Acha ujinga , mimba siyo kigezo muoe mchumba wako wa siku nyingi.
Huyo aliyekutegea mimba utakuja kujuta.
 
Sijui nikushauri nin mzee baba, ila pambana uwezavyo usije kuzalisha single mama mwingine.
 
Mkuu nadhani wewe ndo unatakiwa kusema kati ya hao yupi unamuoa?? Kama unaoa wa kwanza huyo unalea mtoto lazima uingie gharama ya kukomboa. Ila angalia usije kuja kujutia baadae
 
Ndomna sijawahi kuamini kwenye uchumba wa muda mrefu, Hawa viumbe watachukua muda wako Kisha wakupige chini ubaki na mpasuko usoweza kuuhimili.
 
Pimeni na HIV na STD zote,
 
Mwambie ukweli yule wa mwanzo
Akikubali kusamehe muoe huyo
Akikataa hata huyo mwenye mimba usimuoe,utajuta huko mbele
Btw acha zinaa ukimwi upo,
Anaweza kuoa wa huyo mpenzi wake wa mwanzo , na still mambo yakawa hovyo.

KWangu mimi priority ni huyo mwenye ujauzito, labda kama hana sifa hata moja ya kufaa kuwa mke.
 
Tunakuja kuwa na kizazi cha ajabu na cha kishenzi sana huko mbeleni. Yaani mtombane wenyewe, mtiane mimba wenyewe hiyo yote ni bila kushirikisha upande wa pili, yamekushinda unalileta kwetu tukupe mawazo ya nin cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…