Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Mwambie huyo uliyempa kuwa una mchumba wako unaetarajia kumuona ataamua mwenyewe la kufanya. Kwanini anabeba mimba na anajua hajaolewa?
 
Kuzaa na mtu sio kigezo cha kuoa nadhani ni suala la ww kua mkwel mapema kwa uyo mwenyemimba uko tayari kulia mtoto ila hauko tayr kumuoa so achague mwenyewe mapema atoe au awe single mother

Ww malengo yako na mchumba wako akuna haja ya kuyakatisha ila uyo alieingia katikati yenu ndo anatakiwa awekwe wazi mapema utalea mimba na mtoto ila huto muoa kwasababu tyr unamchumba
 
Mueleze hali halisi mchumba wako na kumupmba msamaha. Kama anakupenda atakusamehe na mtapanga mikakati ya kumlea huyo mtoto. Akiamua kusepa basi oa wa mimba.
Akikusamehe muoe chapi kisha ndio umchane kuwa ulikuwa na mchumba na umeshaoa.
ACHA UZINZI, kila jambo linamatokeo
 
Tulia mwanawane hapo mbona unacheza kama messi tuu.
Sii unawaoa wote story inaisha ambaye hataki kuwa kwenye threesome marriage na asepe zake
 
Lakin pia vijana mbona mnapenda sana kujiingiza kwenye mattzo na migogoro wakat kondomu zipo

Pekupeku ni tamu ila ni chungu km huna malengo na mtu uyo
Weee uliona wapi mpenda ngono anatumia konddom...huyo ni mpiga nyeto tuu aliye changamka
 
I can guess uliyempa mimba ni kabila la wairaq /wambulu,any way wee mwambie mwenye mimba una mchumba mmeshapiga hatua
 
Nashukuru
 
Nimejisikia vibaya mimi kama mwanamke una date na mtu kumbe ana mchumba tena wako seriously na kila siku anakuaminisha anakupenda daah inauma sana… wengine ambao tunaogopa dhambi za abortion ndio tutajiua wenyewe sijui.. kila mtu ni wa kulaumiwa hapo

But ushaurii kama unampenda uliempa mimba muoe otherwise lazimishaa mpk atoe huo ujauzito sio vyema kumtesa mtoto
 
1. Nenda kwa kushtukiza kwa mchumba wako,
2. Kagua simu yake...
3. Tafuta sababu ya kugombana naye kivyovyote
4. Ugomvi ukitokea iwe sabab ya kumwacha wala usimwambie chochote kuhusu mwenye mimba
5. Baki na mwenye mimba
 
Huyo mwenye mimba oa....naomba namba ya huyo mchumba ako awe wangu basi ntakutoa 10000Tzsh mwisho wa mwezi January
 
usioe sababu ana mimba
Angalia upendo wako wa kweli uko wapi
kama ni yule wa mwanzo tena nenda kamweleze uombe msamaha
Mwambie ndoa sio tena mwakani ni mwaka huu huu umuoe kabisa

GUSA ACHIA,TWENDE KWAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…