Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kaka Mungu akubariki ushauri mzuri sanaMbna kwa sasa mambo ni mengi tu.
1. Nunua router tafta unlimited bundle unga wana kitaa
2. Unaweza kuanzisha online tv
3. Kuwa comedian post tik tok
4. Tumia internet kuchambua timu beti
5. Jiunge forex
6. Tumia internet kuongeza elimu yako kitaaluma
7.share ads upate kulipwa
8. Tafuta hela upate hela
Mara nyingi najikuta namaliza bando through tiktoker,WhatsApp and YouTube I wish niingize hela maana natumia sana hela kwa internetDo what you like most… au What are you good at?
Sema hii Pi sijui huu ni mwaka wa ngap ikichimbwa,, nafikiri ilianza sambamba za solana,, leo solana anafanya vizuri na mwakani anatarajiwa kufika 800+Wenzio tunasubiria pi izinduliwe tuhame nch ww upo dunia ip
Ili ufanikiwe lazima ujue kwanza malengo yako ni yapi. Nitakusaidia kidogo japo mimi sijawekeza kwenye project za mtandaoni. Ikiwa nigekua ni mimi nataka kufanya hio project ningejiuliza haya yafuatayoWakuu.
Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobovu hata elfu 5 kwa wiki.
Toa Forex, betting
Tusanue kidogo apo mkuuWenzio tunasubiria pi izinduliwe tuhame nch ww upo dunia ip
Hapana, kuna ambao wamefanikiwa sana kupitia hio. Swala ni ujue mbinu gani utatumia ili kufanikiwa katika jambo lolote mkuuBongo toa hela upewe hela kwa hio ni km unabet tu