B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Huu uzi utakua mrefu nitajaribu nielezee jsni ya kuingiza pasa katika kila platform ila kw juujuu.Wakuu.
Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku
Toa Forex, betting
Aya chagua mwenyw.
1. Tiktok content creator.
Unapofungua tiktok Acc. Algorithm ita detect umefungulia kutok nchi gani.
Mpaka kufikia hapo kuna Akaunti 2 za tiktok 1 Local Acc y Afrca na 2. International Acc( UK.acada USA)
Ambapo kwa Africa kuna features hutakosa kwny App na International Acc kam nchi mfano USA au UK kun feature wanazo ambaz watumiaj wa Afrika hawana. Maan kuna ubaguzi kwenye hzi platfom hasa kw nchi z Africa hawalipwi vzr au kuna feature hatupewi ( nita Upload pcha uone)
kuipata hio international Acc tumia VPN ukiw una create acc( tembelea video Ytube wanaeleza)
Tuseme usha fungua tiktok App ume Fikisha followers 1000 ( bila hao 1k followers kuna features unakosa. Unawapatje hao 1k ni kum follow mtu na yy a follow back au ingia live za watu)
Pesa unaipataje?
Kwa Acc iliyo funguliw Africa upande w Monetization yake ndo utakutan na hzi feature ndo ztakupa pesa.
Pcha hii hpo
LIVE GIFT ukisha fikisha followers Elfu 1 unaruhusiwa kuingia live na kufungua camera watu wataku Gift kutokana n content unazotoa au mazungumzo yko. Hzo gift ndi znaji convert kwend kweny pesa Tsh
Picha hii hpo inavyo ingiz pesa kupitia kuingia Live
video GIFT= hapa uki upload video mtu akaipend anawez ku kugift na hzo gift zna ji convrt kwenda kweny Pesa Tsh.
SUbscription ( ambapo Tanzania haisopoti hii feature kw sababPay pal hai support TZ). Ila n ku create content ambazo followers wko tu walio subscribe ndo wanauwezo wa kuziona na unapokea pesa kwa fee subscription
ANGALiZO; hio picha n mfano wa subscrption inavyoingiza pesa .
Nimeipata kweny Acc nilio log in kutokea United kingdom ambapo subscription ina fanya kazi. Kwa TZ uki bonyez button ya subscription ina goma inasmema ( your country does not support this feature,ila kwa kenya ina support)
Labda sababu ni
Pesa zote znatoka kwa njia ya Paypal ambapo nchi ya Tanzania Hai support sema kuna watu wanazitoa kw njia za panya. Hapa naiomba JamiiForum mtusaidie KuPaza sauti kwa mamlaka husika kwanini Paypal haifanyi kazi Tanzania.
Kwa upande wa international tiktok Acc.
( na jibu kwa ufupi)
Ukiwa na hio Acc monetization znazokupa pesa ni
WORK with artist ; Apo msanii akitoa ngoma ana kupa tenda y kuitangaza au uifanyie challenge
Creator market place ; Apo unawez kuuza bidhaa au kumtangazia mtu bidhaa
Creator Reward program: apo ukiwa na 10k followrs unatengeneza video content, ambapo ikifik 1M views unalipwa ( kuna sheria na vgezo vyke )
Njia nyngne ni kama za local Acc subscription, video gift na live gift
Pcha hio
Natoa tu mwongozo mtu apate mwanga jinsi hii Tiktok App inavyofanya ingiza pesa. Japo kua kuna sheria zke na vgezo vya kufuata ili upate hio monetization uanze kuingiza pesa. Mwenye kuongezea aongeze.
Njia ya 2
Ni YoutuBe.....