Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

Learn skills yoyote ya ki digitally jitangaze kama freelancer kweny majukwa ya freelance kama fiver na Upwork
 
Sio kila njia aliyotumia mwenzako akafanikiwa kitu fulani na wewe ukaitumia hio ukadhan matokeo yanaweza yakawa yale yale. Hao waliofanya hivo huwezi kujua nani yupo nyuma yao pengine kuna wanasheria wakubwa ndo mana wanajiamini. Usije shangaa mambo yakawa tofauti kwako😄
 
Wakuu.

Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobovu hata elfu 5 kwa wiki.

Toa Forex, betting
Kuna kampuni ya Kifaransa inaitwa SSD Grid, n kama forex ila h n tofauti. Unaanza na mtaji wa 35$ Then una-trade na kila siku pesa yako inaongezeka, Mm now nna kama siku 24 nna jumla ya 85$.

Take risk then Tulia.
Toa pesa upate pesa.
 
Mtandaoni kuna pesa nyingi sana muhimu kuyajua machimbo tu.

Kuna site za survery nyingi unazoweza kufanya na ukaingiza pesa kwa kiasi kikubwa.Ila site zinazolipa kwa kiasi kikubwa lazima uchange location ya kifaa chako isome USA kwa kutumia proxy

Ukiwa serious kuajiriwa utaona usumbufu wewe kutulia na device zako pc na simu unapiga kazi ndani mwako.

Ngoja nikupe site moja ya uhakika ukiwa na mda wa kufanya task humo kwa mwezi hukosi zaidi ya laki 3 na kuendelea inaitwa uTest

Zipo nyingi anza na hiyo kwanza
 
Mkuu nataka kufanya hiyo no:1 vipi unaweza kunipa Abc zake,yani mtu nikimuunga hawezi kumuunga mtu mwingine
 
Refer Malisa GJ malisa ni mtu ambaye naweza msema mitandao imemtengenezea jina mpaka ikazaliwa taasisi ya kusaidia ambaye yeye ni mkurugenzi wake.


Mimi binafsi nimeweza kutengeneza kikundi kupitia mtandao ambacho sasa kina zaidi ya 10m
Hongera Sana nimependa Sana hatua hii kubwa na nzuri uliofikia

Naomba na Mimi niwe mmoja wa wanakikundi.
 
Hongera Sana nimependa Sana hatua hii kubwa na nzuri uliofikia

Naomba na Mimi niwe mmoja wa wanakikundi.
Hiki kikundi kime base kwa watu wanaotoka kanda moja tu Ingawa wanaishi sehemu tofauti tofauti za ndani ya Tanzania na nje. Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…