Naomba ushauri: Nilipokuwa nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa

Naomba ushauri: Nilipokuwa nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa

mbona mapovu?

sikujui... umeambiwa jf ni sehemu ya watu kujuana au kupeana attention?

umechangia nami nimekujibu, hoja yangu ni kuwa maisha ukiona imefikia level hiyo ya ugumu means hata hiyo ya kusema kirahisi tu unaomba pesa kwa wazazi unaanzisha biashara si kirahisi hivyo

hoja yako imejibu umalaya tu, unawaza kuwa malaya tu.

Eti achana na mimi... nakujua wewe? au jf ni ya baba yako mnajibizana na ndugu zako tu 🚮
We fala Nini! Malaya mwenyewe unikome,

Usitake tuchambane,

KAZI kwako kuvamia vamia watu ,mfyuuuu,

Huo ubongo wako umejaza umalaya tu eeh,tena unikome fala,

Asubuhi KAZI kudandia,tena ukiona kitu hakikuhush pita hivi nyau,,

Baba yangu unamjua? Mwanaume mzima unakimbilia kutusi wazazi,

Utajua wewe unaishi jf kama popo, mkiwa na mastress yenu mnavamia watu,

Koma,koma,koma.
 
siwezi kubishana na mtu anawaza umalaya🚮🚮🚮
 
We fala Nini! Malaya mwenyewe unikome,

Usitake tuchambane,

KAZI kwako kuvamia vamia watu ,mfyuuuu,

Huo ubongo wako umejaza umalaya tu eeh,tena unikome fala,

Asubuhi KAZI kudandia,tena ukiona kitu hakikuhush pita hivi nyau,,

Baba yangu unamjua? Mwanaume mzima unakimbilia kutusi wazazi,

Utajua wewe unaishi jf kama popo, mkiwa na mastress yenu mnavamia watu,

Koma,koma,koma.
kwenye point zako unasema oh mara ningekuwa mkeo

mara useme nina mtu wangu

unalazimisha tuongelee uanamke wako wakati hujaulizwa ndo akili za malaya zilivyo siku zote.
 
kwenye point zako unasema oh mara ningekuwa mkeo

mara useme nina mtu wangu

unalazimisha tuongelee uanamke wako wakati hujaulizwa ndo akili za malaya zilivyo siku zote.
We fala,huo ni mfano, nishasema (ninge)

Ndiyo Ninae my hubby, nashangaa unatoa povu wewe.
 
Hongera kwa kujenga mkuu
Kama kuna eneo pembeni kwenye nyumba muanze na waifu kulima mbogamboga kukidhi mahitaji ya chakula huku unatafuta kibarua
jishushe fanya kazi yoyote huku unatafuta unayotaka
USIUZE NYUMBA
 
Pangisha nyumba yako na wewe ukapange hata chumba cha hadhi ya chini,ubakiwe na kijimtaji uanze kuuza hata uji huku ukiiseti upya akilli.
 
Chomoa, vijana wa jf tafuteni pesa,
Mtu akitoa mfano wake povu linawatoka,

Umaskkini ni kitu kibaya sana,

Tafuta pesa uje utoe na mfano,
eh pesa imehusikaje hapa mbona unazidi kuudhihirisha umalaya waziwazi

dah kadri unavyozidi kunithibitishia kuwa wewe siyo malaya ndo unazidi kuharibu zaidi

anyway, niandae sh ngapi malaya wa jf
 
Back
Top Bottom