Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?

  • Total voters
    53
Nilitaka kuingia mkenge wa kuoa kidogo nijute
Kwa maishq ya sasa kuoa ni kujitafutia matatizo
 
Zamani nikiwa nasoma, nilikuwa nampigia kaka yangu simu namwambia kaka naomba hela nimefulia, alikuwa ananirekebisha ananiambia hujafulia, sema huna hela.

Na wewe mtoa mada tafuta tafsiri sahihi ya kufilisika au tumia neno jingine.
 
Budget kwako na huyo mkewe ndio tatizo,huwezi mtu timamu utumie 20 kwa siku wakati kipato chako ni Cha Kati,hapo lazima uone Dunia chungu
 
Tangu lini masikini akafilisika
 
Zamani nikiwa nasoma, nilikuwa nampigia kaka yangu simu namwambia kaka naomba hela nimefulia, alikuwa ananirekebisha ananiambia hujafulia, sema huna hela.

Na wewe mtoa mada tafuta tafsiri sahihi ya kufilisika au tumia neno jingine.
Unaongea hivi kwasababu hujaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…