Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

Kama hii stori ni ya kweli basi kuna uwezekano mkubwa wewe ni mwanamke ambaye huamini kabisa kwamba huyu jamaa akitoka kwenye maisha yako basi huwezi kupata mwanaume mwingine ndio maana umechagua kuwa 'mtumwa na mfungwa wake'
 
Run for your life, jinsi unavyong'ang'ana na huyo unajizibia riziki yako. Fungua mlango na riziki zitajifungua zenyewe.

Usipoteze pesa yako aisee mara mia hiyo pesa peleka uturuki kaweke kope tu, what a shame uko that educated but yet you're uneducated.
 
Umerogwa au vp? Nipe namba yko nkupgie tufanye maombi ya kukufungua
 
Msimcheke, nilipitia kitu almost sawa na hiki( kasoro elimu na kumlipia mwanamke mwengine) Nilikuwa naamini atabadilika, tukaowana, mambo ni yale yale.hela huna unapata wapi ijasiri wa kuwa kitombezi?
 
Hakunaga utumbafu wa kiwango hiki hata kama wewe ni zezeta, yaani eti ulipie safari ya Zenji halafu aje na mwanamke wake wewe uishie kupiga picha!?. Unatuonaje lakini kutupiga fix za kitaahira 'namuna' hii??[emoji24]
Anajua yupo na ma baby class humu
 
Hili listoree mbona linazunguka sana mara kwa idd makengo mara wasup...itakuwa ni chai hii
 
niliandika nikafuta nikafuta nikafuta tena nikafuta baada ya kujua umeleta uzi wa idd makengo mxiiuuuu[emoji57][emoji21][emoji21]
Hivi storee za idd makengo ni za kweli....roho yangu inakataa kuziamini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo Idd mwenyewe nahis kama hizo story vingine anatunga,hiv kuna binadamu aliejaa ujinga wa aina hiyo kweli[emoji848]
Muongo sana huyo jamaa...kawakamata wanawake wajinga huko insta

Vitu havina uhalisia kabisa[emoji57][emoji57]
 
Msimcheke, nilipitia kitu almost sawa na hiki( kasoro elimu na kumlipia mwanamke mwengine) Nilikuwa naamini atabadilika, tukaowana, mambo ni yale yale.hela huna unapata wapi ijasiri wa kuwa kitombezi?
Kwahiyo alikuchuna vibaya mnoo?
 
Hakuna mwanamke wa hivi tusidanganyane..😂
 
Mkuu, sikilizia pumbu zako tu.
 
Hivi storee za idd makengo ni za kweli....roho yangu inakataa kuziamini
yule ni mtunzi tu kama watunzi wengine ana kipaji cha utunzi mzuri na yupo kwaajili ya kuelimisha jamii kupitia utunzi wake.
 
dada achana na huyo mpuuzi hafai, hapa nimeongea kama mzazi huyu hakufai.
 
Kama kweli wee umebaki peke yako kwenye stoo ya wanawake wajinga.
 
Muongo sana huyo jamaa...kawakamata wanawake wajinga huko insta

Vitu havina uhalisia kabisa[emoji57][emoji57]
Zaman wakati ndio nmetoka kumfaham ilikua haipiti siku lazima nimsome, ikafika muda nikaanza kuona kabisa hapa sasa tunapigwa nikatemana nae sisomagi tena stori zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…