Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

Achana nae, ngono za hovyo hazichelewi kukutoa kwenye malengo na hata ukukatafuna hakuna kitu utapata ni kujilisha upepo
 
We usikute moyo na akili vyote hauna,labda ufuate kibofu chako #NoShades
 
Unakopi kazi za watu huko IG afu unakuja kuomba ushauri

Usitujazie server tafadhali….
 
Dada usijiingizie shida ya kudumu kansa hiyo
 
Pumbaf kabisa,
 
yule ni mtunzi tu kama watunzi wengine ana kipaji cha utunzi mzuri na yupo kwaajili ya kuelimisha jamii kupitia utunzi wake.
Anaelimisha au anapiga hela...thru vitabu na hizo chai [emoji848]
 

Kwa maelezo haya bila shaka we daktari utakua na sura na mwili usiovutia, haiwezekani hata kidogo mwanaume afanye huo upuuzi
 
Mara ya mwisho ni juzi , kuna mtu nimemueleza kuwa "mdada akipenda anapenda kweli" .Very sorry binti nakosa neno gani sahihi kwa huyo jamaa but kwa mda wa miaka minne, kiuhalisia na kihisia angekuwa mtu wa kubadilika ashabadilika na mshaendelea na future yenu ila mpaka hapo, ameshindwa kubadilika na hawezi tena .

Ni ngumu kuelewa ila iko hivi mwanaume yeyote ukimtunza kama hivyo daima ni lazima ahisi hujiwezi na huna la kufanya katika mahusiano yenu.

Finally dear friend, if you expect nothing from somebody, you are never disappointed. Mpaka hapo ushakuwa very disappointed, so what is the way foward, achana na huyo jamaa ili utengeneze future yako, usisahau umri unaenda haukusubiri.

Ushauri tu.

TEKERI.
 
Dah umesema wewe ni daktari?akili zako umeuza au?
 
Tumia Moyo maana huna akili
Tumedangwa hapa, kwamba alilipia room ye na mwanamke wake halafu akaenda kwake kupiga picha tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nenda kanisani ukatubu kisha ufanyiwe maombi ya kufungua hicho kifungo maana si kawaida hiyo.
 
Nikuambie kitu huyo jamaa hajaweza kujitambua hayo anayokufanyia ni treilor bado atakuja kukufedhehesha sana mkishafunga ndoa.Yaani njemba umgharamikie kila kitu akufanyie unyanyasaji wa namna hiyo? Piga chini uangalie ustaarabu wako mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…